kasarani

Kasarani is a mixed-use neighbourhood in northeast Nairobi. Kasarani is also used in reference to the city's second most populated sub-county with the same name, encompasing various neighbourhoods in the northeastern areas of Nairobi. Located within the larger Kasarani area, the Kasarani enclave is approximately 11 kilometres (7 mi) (7 miles) northeast of Nairobi's central business district off Thika Road.

View More On Wikipedia.org
  1. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Uchunguzi wa BBC Wahusisha Kikosi Maalum cha Ulinzi wa Rais na Vifo vya Waombolezaji Watatu Kasarani

    Uchunguzi mpya wa BBC Africa Eye umeibua maswali kuhusu mauaji ya waombolezaji watatu waliopigwa risasi wakati wa hafla ya kitaifa ya kumuaga aliyekuwa Waziri Mkuu wa Kenya, Raila Odinga, katika Uwanja wa Kasarani mnamo Oktoba 16, 2025. Katika uchunguzi uliotolewa Oktoba 12, 2026, BBC...
  2. I

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Siku ya Walimu Duniani: Waziri Ogamba awaambia Wahadhiri warudi kazini na watii amri ya Mahakama

    Leo, Oktoba 5, 2026, Kenya inaadhimisha World Teachers’ Day katika Uwanja wa Kasarani, chini ya kauli mbiu: “Standing with teachers: 60 years of protecting the profession, advancing its status and shaping our futures.” Lakini kuna kinaya kikubwa. Wakati viongozi wakiwa Kasarani wakisherehekea...
  3. O

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Unga Unaonunua Ni Halisi? DCI Yafichua Kiwanda cha Siri cha Kupakia Unga Unaodaiwa Kuwa Bandia Kasarani

    DCI imevamia godown moja Canaan, Kasarani, na kufichua kile inachodai kuwa operesheni kubwa ya kupakia upya unga wa mahindi kwa kutumia vifungashio vinavyofanana na vya brands maarufu nchini. Watu saba walikamatwa katika operesheni hiyo ya Septemba 15. Ndani ya godown, detectives walipata...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…