kashfa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JanguKamaJangu

    Karim Benzema awasilisha kesi ya kashfa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa

    Staa wa soka Karim Benzema amefungua mashtaka ya jina lake kudhalilishwa dhidi ya Waziri wa Mambo ya Ndani wa Ufaransa, Gérald Darmanin ambaye alimtuhumu kuwa na uhusiano na Kundi la Muslim Brotherhood ambalo limepigwa marufuku katika Nchi kadhaa zikiwemo Misri, Urusi na Saudi Arabia. Oktoba...
  2. Ritz

    KASHFA kubwa ya usalama wa Israel hawa Mossad kumbe hamna kitu sinema zimetudanganya sana.

    Wanaukumbi. KASHFA kubwa ya usalama wa Israeli: Mwisraeli aitwaye Roi Yifrah, tapeli, aliyeigiza kama mpiganaji wa IOF kutoka kitengo cha Yamam na aliingia Ukanda wa Gaza. Katika kukaa kwake kwa miezi 1,5, aliiba vifaa vya kupigana, silaha, vifaa n.k. Pia alijifanya kuwa mwanachama wa Shin...
  3. DodomaTZ

    Inadaiwa Maganga wa CWT aandaliwa kashfa ya ngono, chongolo ‘style’ kutumika

    Vita vya madaraka ndani ya Chama cha Walimu Tanzania (CWT) imezidi kushika kasi huku kiasi cha watu wanaodaiwa kuwa nyuma ya mkakati wa kuuondoa uongozi wa sasa madarakani, wakitumia mitandao ya kijamii kuwadhalilisha baadhi ya viongozi wa chama hicho. Katika kile kinachoelezwa kuwa sababu ya...
  4. Madwari Madwari

    Je! ni njia gani za kashfa za matapeli wa forex? Jifunze kuhusu njia hizi ulinde pesa zako.

    Watu zaidi na zaidi wanapoingia kwenye soko la uwekezaji, idadi ya utapeli wa uwekezaji inaongezeka siku baada ya siku. Watu wengi hawawezi kupinga mvuto wa uwekezaji wa fedha za kigeni(forex), lakini wana ujuzi mdogo wa soko la fedha, ambayo huwapa matapeli fursa ya kutumia tamaa zao...
  5. R

    Rais Samia arusha dongo kwa Lissu, asema kashfa na matusi kwenye mikutano ya hadhara ni kwasababu ya kuzungumzwa hakuna

    "Tumeruhusu mikutano ya hadhara tukiwa na nia vyama vya siasa vizungumze, wananchi wasikie sera zao, mipango yao, mada zao ili vyama vikue na virudishe wale waliowapoteza. Viweze kurudisha, vyama visimame viwe madhubuti tukienda kwenye uchaguzi kila chama kimejijenga vya kutosha na ndio maana ya...
  6. USSR

    Rais Samia kwa kashfa hii tumbua waziri Ndumbaro na IG, kuokoa pesa za walala hoi

    Mh rais Samia huku mtaani Kuna tuhuma kubwa Sana za ofisi ya IG kucheza dili na mawakili wa serkali kushindwa ki-deal kesi za madai wakandarasi walifutiwa tenda . Kwa Sasa Kila aliyefutiwa tenda akiwa site anadaiwa kuitwa na mawakili wa serkali kijanja kukaa mezani na kukubariana namna ya...
  7. U

    Sekeseke la mkataba wa Bandari za Tanganyika kuuzwa kwa waarabu linaendelea. Je, Bunge limefuta Hansard za majadala wa kupitisha azimio kuunga mkono?

    Huku ma RCs na DCs wakiwa wamepewa maagizo ya kusafisha "image" ya Rais Samia Suluhu Hassan iliyochafuliwa na vumbi la tope la mkataba wa ovyo la kukodisha/kubinafsisha bandari zote za bahari na maziwa makuu yote ya Tanganyika akiziacha za kwao Zanzibar, inasemekana kuwa kumbukumbu (hansard) za...
  8. Mwachiluwi

    Kanisa la KKKT kashfa ya ubaguzi ndani yake

    Hellow Kanisa la KkKT ndani yake lina ubaguzi sana kuanzia kwenye jumiya mpaka kanisani ukaaji wake ndani ya kanisa kuna matabaka badala kanisa kuwafanya watu wawe wa moja badala yake linawatenga Unakuta jumiiya ya inaitwa upend ndani yake wamejaa kimario tu na wote wanapesa tu na katika...
  9. OLS

    Je, hatuogopi kashfa za rushwa na ukwepaji kodi za DP-World?

    Nimeangalia kampuni kubwa 12 za usimamizi wa bandari Duniani, nimegundua DP-World ndio kampuni pekee yenye kashfa ya Rushwa na Ukwepaji kodi duniani. Rank Company Name Headquarters 12 China Merchants Port Holdings Company Limited Central Hong Kong 11 Hutchison Port Holdings Trust...
  10. S

    Tetesi: Mbunge Shangazi ana ubia na Kampuni ya DP World

    MBUNGE, Rashid Shangazi anatajwa kuwa ndiye Dalali wa Kampuni ya DP World inayotaka kuuziwa bandari zote Tanzania isipokuwa za Zanzibar tu, Shangazi alianza kuipigia debe na baadaye kuwaleta nchini na kukamilisha hiyo dili ambalo limezua mgogoro mkubwa Tanzania. Ushahidi wa ni SWALI NA 58 LA...
  11. OLS

    Kama UK ilinusurika kupigwa TZS bilioni 200 na DP World, Tanzania inachomokaje kwenye kashfa za ukwepaji kodi wa kampuni hiyo?

    Kampuni ya DP World, ilikabiliwa na tuhuma za kukwepa kodi kutokana na upunguzaji wa thamani wa pauni milioni 80 (244,497,600,000TZS) kwa ardhi iliyo nunuliwa kwa ajili ya bandari kubwa kwenye Mto Thames huko Uingereza. Eneo hilo, linalojulikana kama London Gateway, lilinunuliwa kutoka kwa...
  12. D

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson

    Kashfa kubwa ya rushwa Bunge la Tulia Ackson January Makamba ameandika historia. Kiwango cha hii rushwa hakijawahi kutokea tangu Tanzania ipate uhuru. Akiwa mtoa rushwa mkuu, January Makamba, amehonga Bunge zima la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania akiwa waziri Je, ndoto yake ya kuwa Rais...
  13. KING MIDAS

    DOKEZO Kashfa kubwa kanisa la KKKT Dayosisi ya Mashariki na Pwani. Kanisa latumika kuwauzia mashamba hewa waumini wake. Ekari feki 15,000 ziliuzwa

    Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Dayosisi ya Mashariki na Pwani limeingia kwenye kashfa kubwa ya utapeli baada ya makanisa yake ya Kijitonyama, Salasala, Mwenge, Ubungo na Mbezi Beach kuwauzià waumini wake mashamba feki yaliyopo Bagamoyo. Mashamba hayo yenye zaidi ya heka 15,000 yalikuwa...
  14. R

    Kashfa za wizi na ufisadi zazidi kumuandama Mbunge Luhaga Mpina

    Baadhi ya wavuvi waliochomewa nyavu zao wakati Mpina akiwa Waziri wa Mifugo na Uvuvi wameomba achukuliwe hatua na kuwalipa fidia. Wakati hilo likiendelea baadhi wametaka CCM isimpe tena nafasi ya kugombea Ubunge mwaka 2025 baada ya kushiriki kupora ardhi zaidi ya hekari elfu moja na...
  15. SYLLOGIST!

    Trump awajibishwa kwa kashfa ya unyanyasaji wa kingono, Kumlipa E. Jean Carroll $ 5 milioni

    federal jury in New York found former President Donald Trump liable for battery and defamation in a civil trial stemming from allegations he raped the writer E. Jean Carroll in a department store dressing room in the mid-1990s. She was awarded $5 million total in damages. The jury, made up of...
  16. MamaSamia2025

    Mke wa rais Mstaafu Zambia, Esther Lungu katika kashfa nzito ya $400,000

    Leo mitandaoni hasa ile ya Zambia kumekuwa na habari kubwa ya polisi kwenda na kuzingira nyumbani kwa Rais Mstaafu wa Zambia, Edgar Lungu kufanya ukaguzi kwa jambo ambalo halikuwekwa hadharani. Makada wengi wa kilichokuwa chama tawala, Patriotic Front (PF), walijikuta wakikusanyika kwenye makazi...
  17. J

    Mwigulu na Ndumbaro wajiuzulu kashfa ya kufuta madai ya Serikali Bilioni 19.7

    Mbunge, Luhaga Mpina amesema bungeni kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, Dk. Damas Ndumbaro amewasilisha taarifa ya uongo bungeni na kulisingizia Bunge kuwa lilipitisha Azimio la Bunge la kusamehe hasara na upotevu wa mali za Serikali zenye thamani ya Bilioni 19.7. Hii inakuwa ni kashfa nyingine...
  18. Bujibuji Simba Nyamaume

    Wanaume ndio chanzo cha ma single mother, lakini kashfa, dharau, matusi na kebehi husukumiwa wanawake. Tuwe na heshima kidogo

    Wanawake wamekuwa ni wahanga wakubwa wa mahusiano hapa chini ya jua. Unampa mimba mwanamke, unakataa mimba, halafu kesho unategemea aweje kama sio single mother? Mwanamke kafiwa na baba watoto wake unategemea nini? Kwanini uje hapa JF kuwatukana na kuwasimanga single mothers? Hebu tujaribu...
  19. GENTAMYCINE

    Chuo fulani Kilichoungua leo kina Kashfa Nzito, ila Kinalindwa na Mtanzania Muhimu sana

    Mmiliki wa Jengo hilo ( aliyewapangisha Wahanga wa Moto Mkubwa uliotokea ) ni Mzee Mwamba, ila anayekisimamia kwa sasa ni Mkewe Profesa Mwamba wa Chuo Kikuu fulani ambaye pia ni Rafiki wa Karibu mno na Mtanzania Muhimu ambaye hivi Karibuni tu amemfanya kuwa ni Mmoja wa Washauri wake Wakuu na...
  20. F

    Juma Raibu atishia kumtwanga risasi diwani mwezake

    Miezi michache baada ya kuvuliwa umeya kutokana na kashifa ya kudaiwa kuhudhulia sherehe ya siku ya kuzaliwa kwa mmoja wa wanumme wanaodaiwa kuwa katika mahusiano ya mapenzi ya jinsia moja, aliyekuwa meya wa Manispaa ya Moshi, Juma Raibu ameingia katika kashifa nyingine tena, akidaiwa...
Back
Top Bottom