BUNGENI: Mbunge Hawa Mwaifunga amesema Wizara ya Ardhi imekopa Zaidi ya Tsh. Bilioni 345, bila Kamati kuwa na Taarifa ya Mkopo huo na kuhoji Matumizi na vipaumbele vya Wizara.
Mkopo huo umeidhinishwa kwa matumizi ya Upimaji wa Vijiji 250 kwa Miaka 5 kati ya zaidi ya Vijiji 9,000 vinavyopaswa...
Mwakilishi wa kudumu wa Tanzania katika Umoja wa Mataifa na Balozi nchini Marekani, Prof. Kennedy Gastorn Jumanne alifutwa kazi kutokana na kashfa ya ufisadi ambayo maelezo yake hayakuwekwa wazi.
Uamuzi huo wa ghafla ulikuja miezi kadhaa baada ya Rais Samia Suluhu Hassan kumfuta kazi Waziri wa...
kashfakashfa ya rushwa
kennedy
professor
professor kennedy
rais samia
rushwa
serikali
tanzania
ubalozi
ufisadi
umoja wa mataifa
united nations
uwajibikaji
KASHFA kubwa iliyotokea ya Vifaranga zaidi ya 60,000 kufia Uwanja wa Ndege wa Dar es Salaam vikitokea Ubelgiji hivi ni kweli hadi sasa hakuna wa kuwajibika kutokana na kashfa hii.
Au ndio ule usemi na hili nalo litapita?
Kashfa kubwa yaikumba CCM Kilimanjaro
Uongozi wa chama cha mapinduzi ccm mkoa wa Kilimanjaro umeingia katika kashfa kubwa baada ya kusemekana ya kuwa imefungua akaunti ya siri isiyo rasmi ambayo inatumika kukusanyia michango ambayo inadaiwa kuingia mifukoni mwa baadhi ya viongozi wa chama...
BUNGE jana limeibua Kashfa ya upigaji wa zaidi ya trilioni 1.5 kwenye mradi wa bwawa la nyerere lakini tangu jana tuhuma hizo zimeibuliwa bungeni na mbunge wa kisesa, luhaga mpina nilitegemea zito kabwe ungetoa tamko juu ya suala hilo.
Ukimya wa Zitto Kabwe kwenye mambo mazito kama haya...
MBUNGE wa Jimbo la Mbogwe, Mhe. Nicodemus Maganga amesema watu wote waliohusika kwenye mkataba wa TANESCO na Symbion na kulisababisha Taifa hasara ya Bilioni 350 wakamatwe mara moja kwani watu wote waliohusika na kashfa hiyo wapo.
Maganga amesema hayo Novemba 4, 2022 bungeni Dodoma wakati...
Jeshi la Polisi limeingia katika kashfa nyingine, baada ya askari wake kutuhumiwa kusababisha kifo cha Ulirki Sabas (47), Mkazi wa Kijiji cha Kirongo chini wilayani Rombo, Mkoa wa Kilimanjaro akiwa mikononi mwao.
Tukio hilo linadaiwa kutokea katika Kituo cha Polisi Usseri wilayani humo ambapo...
Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani imelalamikiwa kutompatia matibabu ya upasuaji wa henia ‘ngiri’ Bathromeo Mapunda, kisha kumfukuza hospitalini hapo kwa kukosa Sh250,000.
Awali, Batholomeo (46) aliambiwa atoe Sh450,000 na baada ya kuhangaika sana na kushindwa kufikisha kiasi hicho...
KASHFA YA KAZI YA SENSA MBEYA: UMMA UNASUBIRI KAULI YA KAMISHNA WA SENSA, UONGOZI WA JUU WA CCM NA SERIKALI.
Mantiki (logic) inatutuma tutoe hitimisho hili: kama Katibu wa CCM wa Wilaya ya Mbeya Mjini alimuandikia barua Mtendaji wa Kata ya Ruanda kumtaka awape kazi ya Sensa vijana 10 wa CCM...
Boris Johnson akiwa na Rishi Sunak na Sajid Javid Bungeni, Picha na PA.
Mawaziri wawili waandamizi wa serikali ya Uingereza jioni hii wamejuzulu nafasi zao.
Mawaziri hao ni waziri wa fedha Rishi Sunak na waziri wa afya Sajid Javid.
Katika barua zao za kujiuzulu mawaziri hao waandamizi...
Wana JF Wakulima tunataka kuona bei ya mbolea inashuka nchini, pia tunataka kuona mikakati ya Serikali ya kushusha bei ya mbolea lakini maelezo aliyoyatoa Waziri Bashe hayaleti unafuu wowote kwa wakulima.
Tatizo la Bei ya mbolea kupanda haliwezi kumalizwa na ruzuku kwani ruzuku inayotolewa...
Kwema Wakuu!
Kuna vitu bhana licha ya kupewa kashfa kadhaa na watu au Wataalamu WA Afya au Watu wa dini lakini ukijiingiza katika kumi na nane zao ujue kutoka sio kazi ndogo, yaani hutatoka kirahisi. Vitu hivyo ni;
1. Punyeto
Wengine mpaka wameoa lakini wameshindwa kuacha hii kitu.
2...
Rais wa Malawi Lazarus Chakwera amemvua Makamu wake Saulos Chilima mamlaka yote aliyokabidhiwa baada ya Makamu huyo kutajwa katika kashfa ya ufisadi ya Dola za Marekani Milioni 150 sawa na Tsh. 349,499,992,650 iliyohusiana na kandarasi za serikali 16 zilizohusisha kampuni zake 5.
Ripoti ya...
"Miaka ya sitini, miaka ya sabini na miaka ya themanini vijana walikuwa wanahudumia wazee na watoto. Hali haiko hivyo sasa. Kwa sasa, wazee ndio wanahudumia vijana na watoto wao" - @mwigulunchemba1
Chanzo: EastAfricaRadio
Nijuavyo ni kwamba hakuna Kijana ambaye anapenda Kutowajali Wazazi au...
Juma Raibu aliyevuliwa Umeya wa Manispaa ya Moshi Mkoani Kilimanjaro, amechukua tena fomu ya kuomba kuteuliwa na CCM ili awe Mgombea wa kiti hicho kwa mara nyingine.
Itakumbukwa kwamba Juma Raibu alivuliwa cheo hicho mwezi April 2022 baada ya kupigiwa kura ya kutokuwa na Imani naye, ambapo kura...
HISTORIA NI MWALIMU; MH AUGUSTINO LYATONGA MREMA ALIVYOWIKA NA KASHFA YA LOLIONDO UCHAGUZI MKUU WA URAIS MWAKA 1995.
Leo 10:15 hrs 12/06/2022
Issue ya Wamasai Ngorongoro imemuibua Tundu Lissu na kashfa ya Loliondo,kwanza kabisa suala la kashfa ya Loliondo lilikuwa ni zito sana, shukrani kwa...
Wafanyabiasha vinara wa dawa za kulevya aina ya Mirungi kutoka Nchini Kenya waliokamatwa na magunia 15 mei 14 mwaka huu katika Mji wa Namanga, wanadaiwa kuachiwa katika mazingira ya utata, usiku wa manane huku gari lililokuwa likisafirisha mihadarati hiyo likitoweka kituo cha polisi ...
Nimeshangaa sana kuona kwenye mitandao ya kijamii Zitto akijinasibu kuwa eti ana uwezo, elimu na kila hali ya kuwa rais wa JMT.
Watanzania wengi wanajua kabisa hafai hata kiduchu maana ni oppoturnist, mpenda fedha na mnafiki.
Nani atampa kura yake Zitto Kabwe?
Huko nyuma ziliwahi kuwekwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.