Hospitali ya Wilaya ya Kisarawe Mkoa wa Pwani imelalamikiwa kutompatia matibabu ya upasuaji wa henia ‘ngiri’ Bathromeo Mapunda, kisha kumfukuza hospitalini hapo kwa kukosa Sh250,000.
Awali, Batholomeo (46) aliambiwa atoe Sh450,000 na baada ya kuhangaika sana na kushindwa kufikisha kiasi hicho...