kassim majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. N

    Pigo tulilolipata baada ya Rais Magufuli kufariki, tujifunze

    Ndugu zangu nawasalimu Kwa jina la Jamhuri kazi iendelee. Naomba kutoa Mambo ambayo nimeyabaini 1. Rais Samia amekabidhiwa nchi huku akiwa hafahamu aanzie wapi na aiishie wapi 2. Marehemu Magufuli hakuwa anamshirikisha kama makamu wa Rais alijiamulia peke yake 3. Dhana ya mwanamke si lolote...
  2. Pulchra Animo

    Waziri Mkuu hana mamlaka juu ya shughuli za Ofisi ya DPP

    Katika gazeti la Raia Mwema la leo, Jumatano, August 18, 2021, kuna habari kwamba Waziri Mkuu, Majaliwa, amewapa TAKUKURU na DPP siku nne kuwafikisha mahakamani watuhumiwa fulani wa ufisadi. Haya maagizo sio tu ni ya kushangaza, lakini pia ni ushahidi kwamba nchi yetu ina viongozi ambao hawajui...
  3. J

    Waziri Mkuu Majaliwa, aagiza Lusubilo Mwakibibi kufikishwa Mahakamani

    Waziri Mkuu wa Tanzania Majaliwa Kassim ametoa siku 4 kwa Ofisi ya TAKUKURU Temeke kumfikisha Mahakamani aliyekuwa Mkurugenzi wa zamani wa Wilaya hiyo, Lusubilo Mwakabibi na wenzake kwa tuhuma za ubadhirifu wa fedha katika ujenzi wa barabara ya Kijichi Mwanamtoti yenye urefu wa Kilomita 1.8...
  4. The Boss

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa anasimamia nini?

    Samia anasema anajenga uchumi. Nani msimamizi wake mkuu? Majaliwa? Au Mpango? Tofauti ya awamu ya tano na sita kiuchumi ni ipi? Centralisation ni moja ya mambo yalioua uchumi why decentralisation haifanyiki? Why mawaziri bado wanaimarisha centralisation? Mashirika yanaendeshwa na Utumishi...
  5. Shujaa Mwendazake

    Kauli zenye Utata: Kassim Majaliwa ni katika Mawaziri Wakuu waliotudanganya sana nchini

    Ukiacha Taarifa za Kuumwa kwa Mh. Magufuli ambapo tulidanganywa Mchana kweupee tena katika Nyumba ya Ibada, katika siku tukufu. Unadhani jengine lipi ambalo Mh. Kassim Majaliwa alilidanganya Taifa?. Za kwangu hizi...
  6. Behaviourist

    #COVID19 Ruangwa, Lindi: Waziri Mkuu Kassim Majaliwa awataka wananchi kuendelea kuchukua tahadhari dhidi ya COVID-19

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa akihutubia mkutano wa hadhara kwenye kijiji cha Nandagala wilayani Ruangwa, Mkoa wa Lindi, leo Jumanne. Amewasisitiza waendelee kuchukua tahadhari na kujikinga na corona. Source : Mwanahalisi twitter ====== My take Imagine waziri mkuu wa nchi anakusanya watu...
  7. Stephano Mgendanyi

    #COVID19 Kassim Majaliwa: Hakuna mtu aliyelazimishwa kuchanja chanjo ya UVIKO-19

    WAZIRI MKUU WA TANZANIA, NDUGU. KASSIM MAJALIWA: HAKUNA MTU ALIYELAZIMISHWA KUCHANJA CHANJO YA UVIKO 19. Awataka wananchi wapuuze upotoshwaji unaoendelea mitandaoni WAZIRI MKUU Kassim Majaliwa amesema Serikali haijamlazimisha na wala haitamlazimisha mwananchi kuchanjwa chanjo ya ugonjwa wa...
  8. K

    Kumshikilia Mbowe ni ili kuwatisha Lema na Lissu wasirudi Tanzania

    Watu wawili ambao wanaogopwa sana ni Lissu na Lema na siyo Mbowe. Umri na uwezo wao wa kimtandao unaleta wasiwasi kwa wanasiasa wa CCM kiasi kwamba hawataki warudi. Kumfunga Mbowe ni njia ya kuwatisha waogope kurudi Tanzania. Spika wa bunge na waziri mkuu ndiyo vinara wa hili. Waziri mkuu...
  9. Analogia Malenga

    #COVID19 Waziri Mkuu: Wenye miaka 45+ wako kwenye hatari zaidi kupata COVID19

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema watu wenye miaka 45 na kuendelea ndio ambao wanaongoza kwa kupata #COVID19. Amekumbusha umuhimu wa kutumia njia zote kupambana na maambukizi ikiwemo kufanya mazoezi na kula vizuri. Aidha amegusia utaratibu wa kujifukiza ambao ulitumika kama...
  10. Analogia Malenga

    #COVID19 Waziri Mkuu: Tuna wagonjwa wachache COVID-19, tuendelee kuwaombea

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka watanzania waendelee kuchukua hatua dhidi ya COVID-19. Amesema hadi sasa kuna wagonjwa wachache ambao wanatakiwa kuendelewa kuombewa ili kupona. Amesema hayo katika baraza la eid el-adha baada ya swala ya Eid iliyofanyika Msikiti wa Mtoro, Dar es Salaam.
  11. Miss Zomboko

    Waziri Mkuu ametoa siku 15 kwa Wizara ya Madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa Tanzanite

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa, ametoa siku kumi na tano kwa Wizara ya madini kupitia na kufanya marekebisho ya kanuni za uuzaji na uchakataji wa madini ya Tanzanite. Ametoa agizo hilo wakati wa hafla ya kuzindua kituo cha pamoja Cha Tanzanite Magufuli (Magufuli Tanzanite One Stop Center)...
  12. Analogia Malenga

    Kassim Majaliwa: Marufuku Wakuu wa Mikoa na Wilaya kuwa na mabaunsa

    Wakuu wa mikoa na wilaya wameelezwa mambo kadhaa ambayo hawatakiwi kuyafanya katika utekelezaji wa majukumu yao, ikiwemo kutumia walinzi binafsi ‘mabaunsa’ na matumizi ya magari binafsi yanayowekwa nembo ya Serikali. Vilevile, wametakiwa kuacha kutumia vibaya Sheria inayowapa mamlaka ya...
  13. sifi leo

    Tume ya Maendeleo ya Ushirika imechangia upotevu wa matrilioni ya fedha za umma, Kassim Majaliwa kwepa mtego huu

    Nawasalimu kwa salamu ya mama yetu: Kwa wale msiopenda kusoma nyuzi ndefu ntajitaidi kuwakwepa mapema. Taifa la Tanzania lipo katika mtanzuko mkubwa hasa pale Taaluma inapogaragazwa na kundi la WANASIASA tena wanasiasa wachumia tumbo ambao ndio waliojaa kwenye vyombo vya maamuzi. Mfano,mwaka...
  14. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa aonya barua za Serikali kusambaa WhatsApp, Instagram

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema imeibuka tabia ya barua za ofisi za Serikali kuonekana mitandaoni akitaka taarifa hizo kuwa siri. Majaliwa ameeleza hayo leo Jumatano Juni 30, 2021 katika mkutano wa mafunzo ya uongozi kwa wakuu wa mikoa na makatibu tawala Tanzania Bara na...
  15. Nigrastratatract nerve

    Hassan Ngoma wanafanana na Kassim Majaliwa yaani Copy right

  16. LICHADI

    Ziara za Waziri Mkuu zinanitia mashaka, hasa ile ya Mwendokasi

    Kiukweli kati ya viongozi ambao siwaamini wa kwanza ni Mhe Majaliwa, kwa nini nasema hivi... Miezi miwili iliyopita alifanya ziara pale Mwendokasi akakuta hali ni mbaya magari yamekufa pesa zinaibiwa, watu wanabanana kwenye magari yaani alikuta hali mbaya ila cha kushangaza ni miezi miwili sasa...
  17. beth

    Kassim Majaliwa: Serikali imechukua viwanda vyote visivyofanya vizuri

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa, amesema Viwanda vyote ambayo havifanyi kazi vimesharatibiwa na vitatolewa kwa watu wenye uwezo. Ameeleza, Serikali ilichukua Viwanda vyote ambavyo havifanyi vizuri na vinafanyiwa uchambuzi Amesema hayo Bungeni wakati akimjibu Mbunge wa Ndanda, Cecil...
  18. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu Majaliwa ataka madarasa Memkwa kufufuliwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa ameagiza wakurugenzi wa halmashauri zote nchini kuhakikisha madarasa ya mpango wa elimu ya msingi kwa waliokosa (Memkwa) yanafufuliwa. Majaliwa ameyasema hayo leo Jumatano Juni 9, 2021 wakati akizindua Kongamano la kimataifa la miaka 50 ya elimu ya watu...
  19. Analogia Malenga

    Waziri Mkuu: Ili kupata wasanii wengi ni vyema kuimarisha somo la michezo kwa ngazi zote

    WAZIRI Mkuu Kassim Majaliwa ameagiza ufundishaji wa somo la Elimu kwa Michezo ufanyike kwa wanafunzi wote katika Shule za Msingi na kuhamasisha wanafunzi wa shule za Sekondari kusoma somo hilo. Amesema kuwa hatua hiyo itawasaidia watoto kujenga moyo wa kujiamini, kuwa ubunifu, kuongeza...
  20. Shujaa Mwendazake

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa, ungepitia Ripoti ya CAG, wapo wengi mule wa kusimamishwa na wengi kupisha Uchunguzi

    Kassim Majaliwa , Fedha zilizochotwa hazina kwa ajili ya posho ikihisiwa hazikufuata taratibu ni ndogo sana. Ukitaka kusimamisha watumishi wengi Tafadhali rejea ripoti ya CAG , hapo tutakupigia makofi ya kutosha. Hizo ni pesa za mboga tu mkuu.
Back
Top Bottom