kassim majaliwa

Kassim Majaliwa Majaliwa (born 22 December 1961) is a Tanzanian politician who has been Prime Minister of Tanzania since 2015. He was appointed by President John Magufuli after the 2015 general election. He is a member of the ruling Chama Cha Mapinduzi party and has been a Member of Parliament for Ruangwa constituency since 2010.

View More On Wikipedia.org
  1. KASULI

    Nini matokeo ya Waziri Mkuu Majaliwa kukutana na Bodi ya Mishahara na Maslahi katika Utumishi wa Umma?

    Mapema Januari mwaka huu Waziri Mkuu alitoa ufafanuzii juu ya kile kinachoitwa bodi ya mishahara ilii kurekebisha mishahara iendane na elimu na ugumu wa kazi. Leo ni Desemba hakuna tamko au chochote kipya. ======== Alhamisi, Januari 24, 2019 Majaliwa akutana na wajumbe wa Bodi ya Mishahara...
  2. Roving Journalist

    Uchaguzi 2020 Waziri Mkuu Kassim Majaliwa apita bila kupingwa jimbo la Ruangwa. Akabidhiwa barua na Msimamizi wa Uchaguzi

    Waziri Mkuu na Mgombea Ubunge wa CCM Jimbo la Ruangwa Ndg Kassim Majaliwa akabidhiwa barua ya kupita bila kupingwa jimbo la Ruangwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Halmashauri ya Wilaya ya Ruangwa, Frank Chonya ambaye ni Msimamizi wa Uchaguzi wa Jimbo la Ruangwa, Leo Agosti 25,2020.
  3. Mystery

    Uchaguzi 2020 Kauli ya Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kusema Wagombea wa Upinzani wasiwachafue wagombea wa chama tawala una lengo la kutaka kuwatisha

    Habari kubwa kwenye magazeti ya Leo ni kauli aliyoitoa Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ya kuwapiga mkwara mzito, wagombea wa vyama vya upinzani kuwa wasitumie majukwaa ya kisiasa katika kipindi hiki cha kampeni kuwachafua wagombea wenzao. Ingawa hakuwataja kwa majina wagombea hao, ni dhahiri...
  4. Miss Zomboko

    Kassim Majaliwa: Wanasiasa waeleze yale watakayoyafanya kwenye kampeni na sio kubeza yaliyofanywa na wengine

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amewataka wanasiasa kufanya kampeni za kistaarabu mara kampeni za uchaguzi mkuu zitakapofunguliwa ili kuepuka vurugu zinazoweza kusababisha uvunjifu wa amani nchini. Akizungumza katika ibada ya siku kuu Eid Al Adha Jijini Dar es Salaam, Majaliwa amesema kuwa ni...
  5. Mzukulu

    Je, hizi Ratiba nyingi za Kikazi na Mizunguko za Waziri Mkuu Kassim Majaliwa zinazingatia pia na Kujali Afya yake kama Kiongozi Mwandamizi nchini?

    Napenda sana na mno Uchapakazi wake Waziri Mkuu wa sasa ( Awamu hii ya Tano ) Mheshimiwa Kassim Majaliwa Kassim ila kuna mahala kama vile naona hapako sawa hasa upande wa mlundiko wa Ratiba zake nyingi ambazo zinahusisha Kusafiri kwa Gari au Ndege ndani na nje ya nchi pasipo hata Kupumzika. Je...
  6. Mzukulu

    Selemani Jaffo jiandae Kuulizwa uwe Waziri Mkuu 2020 hadi 2025 uchukue nafasi ya Kassim Majaliwa au uandaliwe kuwa Rais 2025 hadi 2035

    Kuanzia sasa Ndugu Selemani Jaffo jiandae kuwa na Majibu Kamili juu ya hayo Mambo Mawili makubwa niliyokuambia katika headline yangu hapa.
  7. Return Of Undertaker

    Serikali: Kwa sasa Tanzania ina wagonjwa 66 wa Corona nchi nzima ndani ya mikoa 10 na mikoa 16 haina wagonjwa

    Waziri Mkuu wa Tanzania, Kassim Majaliwa amesema hadi kufikia leo mchana, kulikuwa na wagonjwa 66 wa #COVID19 katika mikoa 10 hapa nchini. Akihutubia Bunge JijinI Dodoma, Waziri Majaliwa amesema mikoa 16 ikiwemo Arusha, Pwani, Manyara, Katavi, Rukwa na Kagera haina mgonjwa wa Corona. Ameongeza...
  8. S

    Waziri Mkuu Kassim Majaliwa: Waziri Zanzibar aliyekataa kukaa karantini apelekwa kwa nguvu

    Pia soam - Mbunge amtaka Waziri Mkuu kumchukulia hatua Waziri aliyekataa kukaa Karantini pamoja na kuonesha viashiria vya Corona - JamiiForums - Je, ni kweli kuna Waziri anaugua Corona inafanywa Siri? Tunaficha nini? Hala hala kisa cha mficha maradhi! Truth & Transparency the only way out! -...
  9. Superbug

    Kassim majaliwa na mama Samia suluhu Ni viongozi bora

    Kwa dhati kabisa napenda kuwapongeza Hawa viongozi wawili kwa utumishi wao uliotukuka. Hawajawaangusha waliowateuwa waliowafanyia vetting na mwisho kabisa hawajawaangusha wananchi. At least nyie mnatukosesha sababu ya kuwakosoa na kuikosoa serikali. Kassim majaliwa anasimamia serikali vizuri...
  10. beth

    Waziri Mkuu afuta mnada wa mazao wa TRA

    Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefuta mnada wa nafaka, ulioendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Januari 7 mwaka huu. Ameagiza uongozi wa mamlaka hiyo, kutangaza upya zabuni, baada ya kutoridhishwa na taratibu zilizofanyika awali. Mnada huo unahusisha mahindi tani 5,000 na ngano tani...
  11. beth

    Serikali yakataza wafugaji kuweka alama kwenye ngozi za mifugo, hasa ng’ombe

    Serikali imewakataza wafugaji kuweka alama kwenye ngozi za mifugo yao hasa ng’ombe kwani kufanya hivyo kunashusha thamani ya ngozi za Tanzania, na badala yake imewataka waweke alama za hereni kwenye masikio ya mifugo yao ili kulinda ubora wa ngozi za mifugo yao. Hayo yamesemwa na Waziri Mkuu...
  12. Pascal Mayalla

    Anachofanya Waziri Mkuu sio sawa, sio haki, sio Good Governance! Ni udhalilishaji na kuaibishana!

    Wanabodi, Kwanza naomba kukiri, kuwa ninaunga mkono kwa asilimia 100% juhudi za serikali awamu ya 5 kupambana na rushwa, ufisadi, uzembe na ukwepaji kodi, ili mtindo unaotumiwa na Waziri Mkuu, wetu, Mhe. Majaliwa, Kassim Majaliwa, sio!. Baada ya kukisikia kisanga cha TRA kilichomng'oa...
  13. Mwana Mpotevu

    Rais Magufuli amteua Kassim Majaliwa kuwa Waziri Mkuu wa Tanzania

    Leo ndio siku ambayo Spika wa Bunge atafungua Bahasha yenye jina la Waziri Mkuu na kisha Bunge kuketi kama kikao kumpitisha ama kumkataa Waziri Mkuu Mteule. Tujiunge mahala hapa kwa ajili ya Updates kutoa bungeni Dodoma - Bunge linaanza na kazi ya kwanza kuthibitisha jina la waziri mkuu. Spika...
Back
Top Bottom