Waziri Mkuu, Kassim Majaliwa amefuta mnada wa nafaka, ulioendeshwa na Mamlaka ya Mapato Tanzania (TRA) Januari 7 mwaka huu. Ameagiza uongozi wa mamlaka hiyo, kutangaza upya zabuni, baada ya kutoridhishwa na taratibu zilizofanyika awali.
Mnada huo unahusisha mahindi tani 5,000 na ngano tani...