katavi

The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Festo Mariki Ahitimisha Ziara na kugawa Milioni 29 Katika Kata Zote 58 za Mkoa wa Katavi

    MBUNGE MARTHA FESTO MARIKI AHITIMISHA ZIARA NA KUGAWA MILIONI 29 KATIKA KATA ZOTE 58 MKOA WA KATAVI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki amehitimisha ziara yake ya kutembelea Kata 58 za Mkoa wa Katavi katika Kata ya Majimoto na Kasansa zilizopo Halmashauri ya Wilaya ya...
  2. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi

    Mbunge Martha Mariki Atoa Zaidi ya Milioni 4 Kusaidia Ujenzi wa Ofisi za CCM Wilaya - Katavi MBUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Mariki ametoa Mifuko 50 ya Simenti kwaajili ya Kusaaidia Ujenzi wa ofisi ya Chama Cha Mapinduzi [CCM] Wilaya ya Mlele. Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  3. Stephano Mgendanyi

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT

    Wabunge viti Maalumu Katavi watoa Milion 6 Maendeleo ya Chama na UWT. WABUNGE wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi wametoa shilingi Milioni 6 Kwaajili ya kusaidia Maendeleo ya Chama na Jumuiya ya UWT ili kuhakikisha Chama na Jumuiya ya UWT zinaendelea kuimalika. Wabunge wa Viti maalumu Mkoa wa...
  4. B

    KATAVI: Wananchi walia upandishwaji nauli kiholela

    Wanachi mkoani Katavi, wameiomba Serikali kuingilia kati tabia ya madereva wa vyombo vya usafiri mkoani humo kupandisha nauli bila kufuata utaratibu uliowekwa na Mamlaka ya Udhibiti Usafiri Ardhini (LATRA). Tabia hiyo ya kupandisha bei inadaiwa kuanza siku za hivi karibuni baada ya serikali...
  5. BARD AI

    Mafuta ya Petroli na Dizeli yaadimika vituoni mkoani Katavi

    Shughuli za usafirishaji wa abiria kupitia usafiri wa pikipiki na bajaji mkoani Katavi zimesimama kutokana na ukosefu wa mafuta ya petrol na dizeli kwenye vituo vya kuuzia mafuta, hali iliyowaathiri madereva wa vyombo hivyo kukosa mahitaji ya familia zao. Wakizungumza na mwananchi leo...
  6. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki achangia Milioni 5 ujenzi zahanati ya Kajeje Kata ya Kanoge, Katavi

    Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 24 Julai, 2023 amefanya ziara katika Kata ya Kanoge Mkoa wa Katavi na kukabidhi Shilingi Milioni tano (5,000,000) kwaajili ya kuchangia Ujenzi wa Zahanati Jengo la Mama na Mtoto katika Kijiji cha Kajeje Kata ya Kanoge. Aidha...
  7. Stephano Mgendanyi

    Wananchi wa Katavi Wamshukuru Rais Samia kwa Huduma ya Maji

    MHE. MARTHA MARIKI - WANANCHI WA KATAVI WAMSHUKURU RAIS SAMIA KWA HUDUMA YA MAJI Mbunge wa Viti maalumu Mkoa wa Katavi Martha Mariki ameishukuru serikali kwa kuwaletea Huduma ya Maji safi na Salama wa kazi wa Kata ya Mwamkulu Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi. Mhe. Martha Mariki Akiwa katika...
  8. Stephano Mgendanyi

    Mbunge Martha Mariki Achangia Milioni 29 Kuinua Uchumi wa Wanawake Mkoa wa Katavi

    MHE. MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 MAKUNDI YA AKINA MAMA MKOA WA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki ameendelea na ziara yake katika Kata mbalimbali za Mkoa wa Katavi huku akikabidhi Shilingi Milioni 29 za kuwawezesha wanawake...
  9. Nyankurungu2020

    Afunga ndoa na wanawake watatu kwa mkupuo. Jamaa atafaidi sana

    ATHUMANI Yengayenga (35), mkazi wa Shanwe Manispaa ya Mpanda mkoani Katavi, amewashangaza watu wengi kwa kuamua kufunga ndoa na wanawake watatu kwa siku moja huku akidai lengo lake lilikua ni kufunga ndoa na wanawake wanne kwa siku hiyo. -- “Mpaka nafikia hatima ya kuoa wanawake watatu si...
  10. Stephano Mgendanyi

    Milioni 29 Zatolewa na Mbunge wa Viti Maalum Katavi Kuwainua Wanawake Kiuchumi

    MBUNGE MARTHA MARIKI ACHANGIA MILIONI 29 VIKUNDI VYA WANAWAKE KATA ZOTE ZA KATAVI ILI KUJIKWAMUA KIUCHUMI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi, Mhe. Martha Festo Mariki tarehe 03 Julai, 2023 ameanza ziara rasmi kutembelea Kata zote za Mkoa wa Katavi na kuzungumza na wananchi. Katika ziara...
  11. Stephano Mgendanyi

    Bilioni 18.4 SUA Kujenga Chuo cha Kilimo Mkoa wa Katavi, Mpimbwe

    SHILINGI BILIONI 18.4 SUA KUJENGA CHUO CHA KILIMO KATAVI HALMASHAURI YA MPIMBWE Katika kipindi cha maswali na majibu Bungeni Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Katavi Mhe. Martha Festo Mariki ameuliza Wizara ya Elimu, Sayansi na Teknolojia Maswali yaliyojibiwa na Naibu Waziri wa Elimu, Sayansi na...
  12. M

    Nahitaji mashamba, Mlele Lindi

    Wadau, Naitaji mashamba ya kununua katavi wilaya ya mlele hasa, naombeni connections. Pia naomba kujua upatikanaji wa mifugo huko na bei zake hasa ngombe, mbuzi na kuku wa kienyeji. Ahsanteni.
  13. Roving Journalist

    Songwe: Daraja la Mto Momba linalounganisha Songwe, Rukwa, Katavi na Malawi, na barabara ya Mpemba hadi Isongole 50Km yakamilika

    Serikali kupitia TANROADS Mkoani Songwe imekamilisha miradi mikubwa ya Kitaifa ya Barabara ikiwemo Daraja la Mto Momba ambalo limekuwa kiungo Muhimu kuunganisha Mikoa ya Songwe Rukwa na Katavi na barabara ya Mpemba hadi Isongole 50Km inayounganisha Tanzania, na Malawi. Akizungumza na Waandishi...
  14. Stephano Mgendanyi

    Bupe Ahoji Ujenzi wa Barabara Inayopitia Mbuga ya Wanyama ya Katavi

    BUPE MWAKANG'ATA - AHOJI UJENZI BARABARA INAYOPITA MBUGA YA WANYAMA KATAVI MASWALI NA MAJIBU BUNGENI Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Rukwa Mhe. Bupe Mwakang'ata katika kikao cha bajeti Bungeni kwenye kipindi cha maswali na majibu ameuliza swali lililoelekezwa Wizara ya Ujenzi na Uchukuzi. "Ni...
  15. DodomaTZ

    Katavi: Ajinyonga chumbani kwa Watoto wake

    Mtu mmoja aliyefahamika kwa jina la Eden Mwakipesile (49) mchimbaji mdogo wa madini ya dhahabu Mkazi wa Kijiji cha Ibindi Wilaya ya Mpanda Mkoa wa Katavi amekutwa akiwa amejinyonga hadi kufa ndani ya chumba cha kulala watoto wake kwa kutumia Kamba. Diwani wa Kata hiyo ya Ibindi Daniel Peter...
  16. DodomaTZ

    Watoto wanaojihusisha na vitendo vya uhalifu wakamatwa mkoani Katavi

    Jeshi la polisi mkoa wa limewakamata watoto 15 ambao wanaojihusisha na makundi ya uharifu huku wakiwa na umri Mdogo ambayo yamekuwa yakijukiana kwa majina ya Damu chafu na Manyigu na kuwa tishio kwa usalama wa Wananchi. Kamanda wa Polisi mkoa wa Katavi Ali Hamad Makame amesema watoto hao...
  17. DodomaTZ

    DOKEZO Mpanda hali ni mbaya, Watoto wengi hawaendi shule, wanaingia mtaani kufanyabiashara, Serikali iko wapi?

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbalimbali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za kuboresha...
  18. BigTall

    Wanafunzi wageuka kuwa wafanyabiashara Katavi

    Hali ya biashara ya vyuma chakavu na matunda mbambali inaendelea kushamiri katika Manispaa ya Mpanda Mkoani Katavi na imekuwa ikifanywa kwenye maeneo mbambali ya Manispaa hiyo na watoto wadogo ambao wanapaswa kuwa Shuleni kwenye shule za Msingi. Licha ya Serikali kufanya jitihada kubwa za...
  19. BARD AI

    Katavi: Ugonjwa wa Surua umeua Watoto 12 Wilaya ya Mlele

    Jumla ya watoto 12 wamefariki kwa ugonjwa wa Surua, katika wilaya ya Mlele tangu Desemba 2022, mkuu wa wilaya Majid Mwanga ameiambia BBC. Aliongeza kuwa watoto 847 wameambukizwa ugonjwa wa surua wilayani humo kati ya Desemba na Februari. Wahudumu wa afya kufikia sasa wamewachanja watoto 16,480...
  20. ChoiceVariable

    Katavi: Wanaume wamewasusia wanawake kushiriki mazishi ya watoto kutokana na imani za kishirikina

    Hamjambo? Wanaume wa kitongoji cha Namanyere kwenye mji mdogo wa Majimoto mkoa wa Katavi wamesusia wanawake kushiriki maziko ya watoto wanaofariki kwa madai kwamba vifo ni vya ushirikina unofanywa na wanawake. === Kwa utamaduni wa maeneo mbalimbali nchini Tanzania...
Back
Top Bottom