katavi

The Katavi mouthbrooder (Haplochromis katavi) is a species of cichlid fish endemic to Tanzania where it is found in the Lake Rukwa drainage. This species can reach a length of 9.9 centimetres (3.9 in) TL.

View More On Wikipedia.org
  1. BARD AI

    Katavi: Afungwa miaka 30 kwa kufanya mapenzi na mtoto wake

    MAHAKAMA ya Wilaya Mpanda, imemuhukumu Agustino Michese (59) kutumikia kifungo cha miaka 30 jela kwa kosa kufanya mapenzi na mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16. Hukumu hiyo ilitolewa na Hakimu Mkazi Mwandamizi wa Mahakama ya Wilaya Mpanda Rebeka Mwalusako amesema mtuhumiwa alitenda...
  2. BigTall

    Katavi: Mwanakijiji mbaroni kwa kukamatwa na meno ya tembo

    Mwanakijiji wa Kitongoji cha Ipota, Kijiji cha Ikuba, Wilaya ya Mlele, Mkoa wa Katavi, Shija Ntumbili anashikiliwa na Jeshi la Polisi kwa tuhuma za kukamatwa na meno ya Tembo mawili. Kamanda wa Polisi wa Mkoa wa Katavi, Ally Hamad Makame amewaambia Wandishi wa Habari kuwa mtuhumiwa huyo...
  3. James Hadley Chase

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi

    TTCL imezindua Minara sita ya Mawasiliano katika Wilaya ya Mlele mkoani Katavi ili kuimarisha huduma ya upatikanaji wa Mawasiliano kwa Wananchi. Uzinduzi huo umefanywa na Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Mhe. Nape Nnauye (Mb) ambaye pamoja na mambo mengine amesema Serikali...
  4. JanguKamaJangu

    Ashikiliwa kwa tuhuma za kumbaka na kumtishia kumuua mtoto wake wa kuzaa mwenyewe

    Na Walter Mguluchuma -Katavi Mwanaume aliyefahamika kwa jina la Agustino Mikese Mkazi wa Kijiji cha Isinde Kata ya Mtapenda Halmashauri ya Nsimbo Wilaya ya Mpanda anashikiliwa na Jeshi la Polisi Mkoa wa Katavi kwa tuhuma za kumbaka na kumtishia kumuua mtoto wake wa kumzaa mwenye umri wa miaka 16...
  5. Mapand

    Katavi: Mtoto wa miaka sita ajinyonga akibembea kwenye mwembe

    Mtoto mwenye umri wa miaka sita(6) Tumain Emanuel mkazi wa kijiji cha Ndurumo wilayani mpanda mkoani katavi amekutwa amejinyonga kwenye mti wa mwembe. ======= Mtoto wa miaka sita aliyetambulika kwa jina la Tumaini Emmanuel, amekufa kwa kile kinachodaiwa kujinyonga kwa...
  6. BARD AI

    Katavi: Mkurugenzi MUWASA asimamishwa kazi kwa kununua Pikipiki 30 kwa Tsh. Milioni 114

    Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) imeagizwa kumhoji Mkurugenzi wa Mamlaka ya Maji Safi na Mazingira Wilaya ya Mpanda, Hussein Nyemba kwa tuhuma za kukiuka Taratibu za Manunuzi ya Umma. Nyemba anadaiwa kununua Pikipiki 30 Jijini Dar es Salaam kwa Tsh. Milioni 3.8 kila moja huku...
  7. JanguKamaJangu

    Mkuu wa Wilaya asema "Mkulima atakayekabiliwa na njaa kupelekwa mahakamani"

    Mkuu wa Wilaya ya Mlele mkoani Katavi, Filbarto Sanga, amesema kuwa mkulima yeyote atakayebainika kukabiliwa na njaa atapelekwa mahakamani kutokana na kushindwa kufuata maagizo ya kuhifadhi chakula waliyopewa wakati wa msimu wa mavuno. Akizungumza na wananchi wakati wa uzinduzi wa msimu wa...
  8. J

    DOKEZO TAMISEMI ingilieni kati sakata la walimu kutapeliwa na Afisa Elimu wao huko Katavi

    Walimu waliofanya kazi ya kusahihisha Mtihani wa Kidato cha Nne Kanda ya Nyanda za Juu mwezi Julai mwaka 2022 hawajalipwa pesa yao hadi leo na wamekuwa wakipewa ahadi hewa na bosi wao ambaye ni Afisa Elimu wa Mkoa wa Katavi. TAMISEMI wasaidieni walimu walipwe haki yao maana inaonekana kama bosi...
  9. BARD AI

    Katavi kuna ongezeko la matukio ya ukatili wa kijinsia kwa 12.5%

    Kamanda wa Polisi Mkoa, ACP Ali Makame amesema ongezeko hilo ni kuanzia Januari hadi Septemba 2022 ambapo kulikuwa na matukio 270 ya ukatili kulinganisha na 240 yaliyotokea mwaka 2021. Ametaja sababu zinazoongeza matukio hayo ni pamoja na tatizo la Afya ya Akili na kupungua kwa utoaji elimu juu...
  10. Sir robby

    Taa za disko zafungwa Chumba cha Wagonjwa Mahututi (ICU) Katavi

    Wadau Katika pita pita zangu nimekuta na hii habari, binafsi siamini kama kweli Watendaji wa Serikali ya Katavi wamelikalia KIMYA suala hili hebu tusubiri tuone kama kuna Uwajibikaji kwa Wahusika au Mpaka Waziri Mkuu atoke Japan aende Katavi. ==================== Taa za disko zafungwa ICU...
  11. Lady Whistledown

    Katavi: Watumishi 4 wasimamishwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 300 za Ujenzi wa Hospitali

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wanne walioiingizia serikali hasara ya shilingi milioni 300, kwa kujenga majengo ya hospitali ya wilaya ya Nsimbo chini ya kiwango na fedha zingine kutokujulikana matumizi yake. Mrindoko amefikia hatua hiyo...
  12. Lady Whistledown

    Katavi: Watumishi 4 wasimamishwa kwa Ubadhirifu wa Tsh. Milioni 300 za Ujenzi wa Hospitali

    Mkuu wa mkoa wa Katavi Mwanamvua Mrindoko, ameagiza kusimamishwa kazi kwa watumishi wanne walioiingizia serikali hasara ya shilingi milioni 300, kwa kujenga majengo ya hospitali ya wilaya ya Nsimbo chini ya kiwango na fedha zingine kutokujulikana matumizi yake. Mrindoko amefikia hatua hiyo...
  13. Roving Journalist

    Mtendaji Katavi aliyeomba Rushwa ya 200,000 ahukumiwa miaka mitano jela

    Mahakama ya Hakimu Mkazi Wilaya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi imetoa hukumu katika Shauri la Jinai Na. CC. 72/2021 dhidi ya Florence Noel Malilo (Kaimu Afisa Mtendaji Kijiji cha Mapili, Halmashauri ya Wilaya Mlele). Mshtakiwa alishtakiwa kwa makosa ya kuomba na kupokea rushwa ya shs. 200,000...
  14. Lady Whistledown

    Katavi: Afisa Ardhi ahukumiwa kwenda jela Miaka 2 kwa tuhuma za Rushwa

    Afisa Ardhi Msaidizi wa Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda, Japhet Noberth MweziMpya, amehukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya TSH.200,000 kwa tuhuma za kuomba na kupokea rushwa ya TSH. 70,000 Katika Hukumu hiyo ya shauri la jinai Na. CC. 90/2022 iliyotolewa Agosti 30, 2022 na Hakimu...
  15. JanguKamaJangu

    Katavi: Muongoza watalii ahukumiwa miaka mitatu jela kwa kuomba rushwa

    TAKUKURU mkoa wa Katavi katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Mkoa, Agosti 24, 2022 imefungua shauri la jinai Na. CC. 95/2022 dhidi ya Elisha Christopher Mashamba ambaye ni muongoza watalii katika hifadhi ya misitu ya Tongwe East - Nkondwe Waterfalls Camp. Ameshitakiwa kwa makosa ya kuomba na...
  16. JanguKamaJangu

    Makarani wa Sensa Arusha, Katavi waporwa vishikwambi

    Makarani wawili wamejikuta katika wakati mgumu baada kuporwa vifaa vyao vya kukusanyia taarifa maarufu kama vishikwambi na vibaka. Tukio la kwanza limetokea jijini Arusha ambapo karani aliyetambuliwa kwa jina la Saraphia Kiwango ameporwa kishikwambi chake alipokuwa akielekea kuanza kuhesabu...
  17. Lady Whistledown

    Katavi: Ashikiliwa na Polisi kwa kupanga njama za mauaji ya Mchepuko wa Mkewe mdogo

    JESHI la Polisi mkoani Katavi linamshikilia Machia Mbasa (65) kwa tuhuma za kudaiwa kulanjama za kujaribu kumuua Mabula Ntemange (37) huku chanzo kikitajwa kuwa ni wivu wa mapenzi. Akizungumza na Waandishi wa Habari, Kamanda wa Jeshi la Polisi mkoani Katavi Ali Makame Hamad, amesema tukio hilo...
  18. JanguKamaJangu

    Wafuasi wa CHADEMA waliokabiliwa na kesi ya mauaji waachiwa huru Katavi

    Aliyekuwa Diwani wa Kata ya Isengule Mkoani Katavi, Ocsar Sangu na wenzake watano ambao ni wafuasi wa CHADEMA waliokaa mahabusu kwa miaka minne wameachiwa huru baada ya kubainika hawana hatia Walikuwa wanakabiliwa na tuhuma za kuwaua wafanyabiashara waliokuwa wakinunua mazao katika Kijiji Chao...
  19. BigTall

    Katavi: Wanaume wanaogopa kuwawezesha kiuchumi wake zao wanaamini watakuwa jeuri

    UMESIKIA ishu ya baadhi ya wanaume wa Kijiji cha Mapili Kata ya Ilela, Halmashauri ya Mlele mkoani Katavi? Kama hujasikia ipo hivi, kumbe wanatamani sana kuwawezesha wake zao kiuchumi, lakini wanashindwa kuwawezesha kiuchumi wakihofia wanawake hao kubadilika na kutowasikiliza wakiwa na kipato...
  20. JanguKamaJangu

    Katavi: Mila, desturi chanzo cha mimba na ndoa za utotoni

    Halmashari ya Wilaya ya Mlele Mkoani Katavi inadaiwa kukithiri kwa tatizo la mimba na ndoa za utotoni huku chanzo chake kikitajwa kuwa ni uwepo wa mila na desturi za baadhi ya makabila wanaoishi katika eneo hilo. Tatizo hilo limebainika wakati shirika lisilo la kiserikali la Marie Stopes...
Back
Top Bottom