Kati is an urban commune and the largest town in Mali's Koulikoro Region. The town is situated 15 km northwest of Bamako, Mali's capital, on the Dakar-Niger Railway. In the 2009 census, the commune had a population of 114,983.
Katika Hotuba ya Museveni amejaribu kuelezea matatizo yanayoikumba Afrika lakini pia kaelezea mgogoro wa Sudan akidai Katitka Mikutano ya mapatanisho kati ya waasi wa sudani kusini na sudan kaskazini Al Bashir aliambiwa achague kati ya Kuifanya Sudan ni ya wasudani wote (isiyo ongozwa kidini...
Anayedaiwa kulala na kula Serena kisha kutokomea aachiliwa huru
Habari wana jamvi, awali ya yote nimesikitishwa sana na habari tajwa hapo juu👆 kwani nimejiuliza, je kama menager wa hoteli kubwa kama serena na team yake wameshindwa kung'amua tofauti iliyopo kati ya kesi za jinai na madai, sasa...
Na Mwandishi Wetu
Jopo la Mawakili kumi na nne (14), wataalamu wa takwimu nane (8) na wataalamu wa mitaala watatu (3) kutoka katika kampuni za ushauri elekezi na uwakili zinapanga kuiburuza Serikali Mahakamani kutokana na uamuzi ya wizara ya afya kupitia kurugenzi yake ya mafunzo na...
Amani iwe nanyi nyote.
Kuna jambo moja naliona na si kuona tu
Kila mwenye Biashara analalamika
Wafanyabiashara wa magari wanalalamikia LATRA na TRA Kwa uwepo wa ukwamishshaji na kutengeneza mambo Magumu ili kufungua mwanya wa rushwa, Mifumo kutoingiliana Nikiwa na maana kwamba Unapoanza kufanya...
Salaam shalom!!
Maandiko yanasema vita na uasi ulitokea Mbinguni, ndipo Dunia ikaumbwa tukaletwa hapa Kisha shetani pia akatupwa huku tulipo Ili vita iendelee,
Tafsiri hapo ni kuwa, battle ground ya vita ilihamishiwa duniani, sasa twende mbele kujua mambo kadhaa wa kadhaa.
Mifumo yote ya...
Hizi nyumba mbili moja imejengwa na Tulia foundation na nyingine chini ya Foundation ya Malisa .
Kuna nguvu kubwa kufanya mambo kutoka moyoni
Hingera Malisa Gj pia hongera Tulia
Wakuu habari za wakati huu?
Nahitaji huduma ya tractor au grader kwenye maeneo haya Mkata, Handeni au Tengwe (Tanga)
Kama kuna mdau yoyote anaweza kuniconnect na mtu au kampuni yenye tractor au grader naomba anisaidie tafaadhali, itakuwa vizuri kama nipata wasaliano yao ili tuwasiliane moja...
Binafsi nimefanya utafiti nimejiridhisha pasi na shaka kuwa kile kinachodaiwa kwamba ulikuwa ni mgogoro kati ya Wafanyabiashara wa Wilaya ya Handeni na TRA, hususani Manager wa TRA Handeni mpaka kufikia hatua ya baadhi ya Wafanyabiashara kufunga maduka, ni mpango ulioratibiwa na baadhi ya...
Zikiwa pande mbili kubwa zenye nguvu ambazo ziko tayari kuongoza muundo na mageuzi ya utawala wa hali ya hewa duniani, China na Umoja wa Ulaya zimedumisha mazungumzo juu ya mabadiliko ya hali ya hewa na bioanuwai pamoja na masuala mengine ya kiuchumi na kisiasa. Ili kuimairisha ushirikiano huu...
Rais Xi Jinping wa China anaendelea na ziara yake barani Ulaya, ambako amesisitiza mara nyingi kwamba kama nguvu mbili muhimu duniani, China na Ulaya zinapaswa kuimarisha uratibu na kukuza kwa pamoja ujenzi wa dunia yenye ncha nyingi. Edward Kusewa, mwalimu wa uchumi katika Chuo Kikuu cha St...
Kuna mfanyabiashara mmoja anaitwa Kaburu. Mkazi wa Mganza anajitapa hadharani kuwa yeye hupeleka rushwa kwa huyu hakimu. Na sababu wote ni kabila moja la wachaga basi humsikiliza kwa lolote.
Rushwa zinafanyika hadharani. Kaburu ndio wakala wa huyu hakimu mfawidhi. Wavuvi haramu wanaoingia...
Afrika na Tanzania imepokea maelekezo na misaada mingi sana kutoka nchi na mashirika kutoka nchi za Magharibu lakini umaskini bado umegandamana na ngozi zetu.
Hii inaonyesha kuwa hii sio misaada ya kweli bali ni mitego/chambo tu katika kuporwa rasilimali zetu, sio misaada ya kutukwamua.
Tuamue...
Waamuzi kama Amina na Tatu Malogo ambao wanaonesha dhahiri ushabiki wao na kununuliwa kwao na Simba basi Tz na Africa hatuwezi kufika kokote kwenye Dunia ya michezo.
Jambo hili lilionekana pia kule South Africa baada ya Vyura kukataliwa bao lao la wazi kabisa.
Mechi ya Leo ni wazi kuwa Tabora...
Kwa wale wapenzi wa Hiph-hop wote masikio yetu yameelekezwa kwenye bifu ya Drake na Kendrick. Mpaka sasa kila mmoja ameshatoa ngoma si chini ya 4 na mchuano ukionekana kuwa bado ni mkali.
XXL Magazines wameweka Poll kati ya Drake na Kendrick Lamar, nani kuibuka mshindi?
Mpaka sasa Drake...
Salaam, shalom!!
Utafiti mdogo niliofanya unasema, mnyama huyu nguruwe, akizaa watoto, ukichelewa kuwaondoa, aweza kuwala wote pasi huruma,
Kuna wanyama na ndege walioumbwa wakiwa na utindio, aina Fulani ya ukichaa, mbuni akiwa Mmoja wapo,
Ikiwa mnyama huyu KWELI anaangukia kundi la wanyama...
Kuna huduma muhimu zinapaswa kupatikana kwa gharama ndogo sana kwasababu ya unyeti wake na athari zake kwa Nchi na Uchumi. Mfano huduma ya Intaneti, Matibabu na Elimu kwa ujumla wake. Hizi huduma zilipaswa kuwa zinagharamiwa na Serikali kwa asilimia kubwa sana kupitia rasilimali za nchi.
Mfano...
Mimi ni kijana.. mchangamfu na mcheshi.
Umri wangu miaka 26
Mshahara wangu kwa mwezi ni laki 4.
Natafuta rafiki wa kike,
Comment vizuri nikufate PM
Vidume wajuzi mtanisaidia nipate rafik mchangamfu.
Weekend ya leo Nipo kinyonge sana.
Nimekuta mahali kitabu hiki (pichani) kinauzwa nikakumbuka Title yake inafanana na moja ya kitabu cha mwenzetu Yeriko Nyerere.
Nani kamuigilizia mwenzake? Kisheria imekaaje?
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.