katiba mpya

  1. GoJeVa

    SoC02 Katiba Mpya ni haki ya Wananchi, sio huruma ya Watawala

    Katiba ni sheria au kanuni zinazoainisha jinsi ambavyo nchi, chama, au shirika vitakavyoendesha shughuli zao. Kwa upande wa nchi, katiba ni sheria mama inayoainisha misingi mikuu ya kisiasa na kuonesha madaraka na majukumu ya serikali. Katiba za nchi pia huainisha haki za msingi za wananchi...
  2. Hismastersvoice

    Prof. Mukandala hafai kuongoza tume ya katiba mpya

    Tangu awali alipoteuliwa nilisema huyu siye, hiyo ilitokana na yeye kujitambulisha ni muumini wa CCM. Hivi sasa tunashuhudia yeye akitoa maoni kuhusu kuwepo au kutokuwepo katiba mpya, yeye ni mkusanyaji maoni hivyo hatakiwi kuwa mtoa maoni na kama anataka atoe maoni basi inabidi aachie cheo cha...
  3. Mganguzi

    Katiba Mpya ni mradi wa wanasiasa

    Ndio si unajua !! Wanasiasa ndio haswaa!! Wenye mradi wao. Waite wakulima ikulu ,kamwe hawatazungumzia Katiba mpya. Unajua KwaninI hii tu iliyopo imefanya maajabu nchi imepiga hatua kubwa sana kimaendeleo. Waite wavuvi na machinga ikulu waulize mnataka nini, kamwe hawatazungumzia Katiba mpya...
  4. C

    SoC02 Inatisha! Tazama jicho la mtawala na mtawaliwa ndani ya Katiba Mpya

    Hakuna maisha kamili pasi na sheria za kuyaongoza, sheria za Mungu waamini tunamini kuwa zimekamilika lakini nijiulize mimi na wewe je sheria wanazoandaa wanaadamu zitakuwa na ukamilifu milelee? Naomba utunze swali hilo utanijibu wakati ukifika. Hayati Rais Julius Kambarage Nyerere akihutubia...
  5. Miss Zomboko

    Tunisia imepitisha Katiba Mpya inayompa madaraka makubwa Rais

    Tunisia imepitisha katiba mpya, inayompa madaraka makubwa rais, baada ya kufanyika kwa kura ya maoni siku ya Jumatatu, ambayo idadi ndogo ya wapiga kura walijitokeza. Licha ya idadi ndogo ya wapiga kura ambayo ni asilimia 30, kujitokeza kushiriki kwenye zoewi hilo, waliunga...
  6. B

    Mbunge wa Tunduma Frank Mwakajoka akizungumzia mchakato wa katiba mpya

    July 2022 Songwe, Tunduma MBUNGE WA WANANCHI WA TUNDUMA MHE FRANK MWAKAJOKA AKIZUNGUMZIA MCHAKATO WA KATIBA MPYA
  7. chiembe

    Mzee Warioba ameongoza nchi pamoja na mwalimu Nyerere, kwa zaidi ya miaka 30, mbona hakushauri katiba mpya na serikali tatu? Kasubiri amezeeka!

    Baadhi ya watu hujiuliza kwa nini nchi za kiafrika haziendelei, fikiria, Warioba alikuwa mwandani wa Mzee Nyerere, mbona hakuwahi kumshauri katiba mpya, serikali tatu mpaka Nyerere kastaafu?. Ameona yeye ameshazeeka na kuchoka ndio kaona awavurugie wenzake? Mbona hakujiuzuru vyeo vyake ? Au...
  8. Lady Whistledown

    Tunisia: Katiba Mpya yapitishwa kwa asilimia 96.4

    Rasimu ya Katiba Mpya inayomuongezea madaraka Rais Kais Saied imeungwa mkono kwa asilimia 94.6% ya waliopiga kura huku, Wapinzani ambao walisusa kupiga kura wameshutumu Tume ya Uchaguzi nchini humo kwa udanganyifu na kusema hawatatambua Katiba hiyo - Katiba hiyo inadaiwa kumpa Rais mamlaka...
  9. Dr Count Capone

    Wananchi Tunisia washerehekea katiba mpya

    Masaa kadhaa yaliyopita Wananchi wamejitokeza mitaank kusherekea kupatikana kwa katiba mpya nchini Tunisia. Katiba hiyo imepatikana baada ya ile ya zamani kuondolewa na Rais wa sasa Mhe. Kais Saeid hali iliyomfanya kuendesha nchi kwa amri yake kwa muda wa mwaka mmoja. Wakosoaji wanaeleza kuwa...
  10. S

    Bila U-Sri Lanka ama kuchapana kamwe Katiba Mpya iliyo bora haitapatikana

    Katiba bora ni ile inayotoa fursa sawa kwa vyama vya siasa na raia wake kwa ujumla na yenye kumuwajibisha kila anayeikiuka. Hapa nchini kuna vuguvugu la kutaka kuandikwa kwa katiba mpya. Lakini katiba itakayoandikwa kwa mazingira na mwenendo tulionao sasa itakuwa siyo bora. Itakuwa siyo bora...
  11. Erythrocyte

    Mzee Cleopa Msuya naye ataka Katiba Mpya

    Waziri Mkuu mstaafu Cleopa Msuya, leo amefika kwenye Kikosi Kazi cha Rais cha kukusanya maoni yanayohusu Katiba Mpya, ambapo mzee huyo hakumung'unya maneno, amewapasulia wazi wajumbe wa kikosi kazi hicho kwamba Katiba Mpya ni sasa hivi. Mzee Msuya amesema kwamba ifike wakati sasa tuhitimishe...
  12. Getrude Mollel

    Katiba Mpya haiwezi kupatikana kabla ya 2025 na CHADEMA haitosusia Uchaguzi Mkuu

    Niliwahi kusema hapa vyama vyama vyote vya siasa vimetokana na CCM. Ni kama vile madhehebu mengine ya dini ya kikristo yalivyomeguka kutoka Katoliki. CCM ni chama kikubwa sana barani Afrika, hivyo hakuna chama hata kimoja Tanzania kinaweza kukitingisha. CCM ni kweli wamesema kwamba wanategemea...
  13. CM 1774858

    Shaka Hamdu Shaka: Katiba Mpya sio Agenda mpya kwa CCM, Wenye Agenda ya katiba mpya ni CCM

    Katibu wa halmashauri kuu ya Nec Itikadi & Uenezi Ndg Shaka Hamdu Shaka amesema, " Agenda ya katiba mpya sio ngeni ndani ya CCM, na wakati wote ni CCM ndio imeratibu maswala yote, " Aidha kiongozi huyo wa juu kabisa wa Chama cha Mapinduzi CCM Tanzania amewataka Watanzania kufahamu kuwa CCM ni...
  14. Lady Whistledown

    Tunisia: Mkuu wa Kamati ya Mapendekezo ya Katiba Mpya alaani Rasimu iliyochapishwa na Rais Kais Saed

    Sadok Belaid, Mtaalamu wa Katiba na Sheria na aliyekuwa Msimamizi wa Uundwaji wa Katiba mpya nchini humo amesema waraka wa mwisho wa Rasimu ya Katiba uliochapishwa na Kais Saied wiki iliyopita ni hatari Amesema kuwa baadhi ya vifungu vinaweza kufungua njia kwa utawala wa kidikteta na rasimu ya...
  15. Sky Eclat

    Jamaa anasa dis train ya Katiba Mpya kwa mbele ya behewa

  16. J

    CHADEMA wameshatolewa kwenye reli, Vita ya ufisadi na Katiba Mpya siyo sera zao tena

    CCM wanajua siasa na kimsingi ndio chama pekee cha siasa nchini. Jiulize baada ya CCM kuzitekanyara sera za Chadema ile Vita ya mafisadi iliyoasisiwa na Dr Slaa ft Tundu Lissu pale Mwembe Yanga na hii ya Katiba mpya sasa Ufipa wamebki na nini? Mambo ya Katiba mpya sass CCM imeyabariki na...
  17. J

    CCM wanawacheza mchezo gani haswa? Maana hata iweje hawana nia na Katiba Mpya kabisa

    Wakuu jana CCM wametoa press na kusema kuna haja ya kufufua mchakato wa Katiba mpya Katiba mpya ambayo imekuwa kilio cha muda mrefu cha wapinzani na wataka mabadiliko nchini, inatarajiwa kukuza demokrasia, kuleta uwajibikaji, ugatuaji wa madaraka na ufanisi wa kuendesha serikali Sasa CCM ambao...
  18. benzemah

    CCM Kukubali Mjadala Katiba Mpya, Tumpongeze Rais Samia

    Wakati fulani mwaka 2018, aliyekuwa rais wa Tanzania, Dkt John Pombe Magufuli akizungumza katika kongamano la kujadili hali ya siasa na uchumi alisema "SERIKALI YAKE HAINA MPANGO WA KUANZISHA UPYA MCHAKATO WA MAGEUZI YA KIKATIBA KWA SABABU KUNA MASUALA MENGINE YENYE KIPAUMBELEKWA SERIKALI"...
  19. kavulata

    Awamu ya tano ni chachu ya uharaka wa Katiba Mpya

    Hakuna mtanzania mpenda haki anayetamani kuona katiba hiihii tuliyonayo inakutwa na kutumiwa na kiongozi anaefanana hata kwa nusu tu na yule kiongozi wa awamu ya tano (RIP). Awamu ile ni sawa na kusema kuwa nchi ilikuwa imetekwa na watu kutoka sayari nyingine. Ni katiba ambayo kila mtu...
  20. P

    Wabunge 19 ni sawa na watumishi hewa kwa kuwa hawatambuliki kokote

    Ndugu zangu watanzania, Salaam Mimi nawauliza tuu wavuja jasho wa nchi hii tunaonyonywa sana na kitu inaitwa CCM! Ikiwa kina Mdee na wafuasi wake hawatambuliki popote pale kisheria na hata kikanuni zozote zile za wao kuwepo Bungeni mpaka sasa...! Kwa maana nyingine, kodi yangu Mimi...
Back
Top Bottom