Swali la kijinga toka kwa mjinga. Kama hujui maana ya ujinga na mjinga, unaweza kunicheka kwa kuona au kudhani najitukana mwenyewe.
Lakini ukweli wa mambo ni kwamba ujinga si tusi. Binadamu wote wana ujinga.
Hakuna mtu ajuaye kila kitu.
Sasa basi, leo ngoja niulize.
Katika Tanzania yetu hii...
Hii ni tafakuri ya wazi kufahamu tunasimama wapi.
Zanzibar kunazidi kunoga. Bila shaka uchumi wao ukiwamo wa mtu mmoja mmoja kwa sasa unazidi kupaa kwa kasi kuliko popote duniani.
Washukuriwe marais Mwinyi na Samia wana shupavu wa kitanzania.
Uvuvi wa majahazi unaondoshwa na wavuvi sasa...
Wananchi kwa tafsiri sahihi wanataka katiba mpya sasa:
Enyi kina Zitto na wenye kujitanabaisha kuwa katiba mpya si kipaumbele mna mwakilisha nani?
Hekima ipi mpewe na nani nyie?
Au ndiyo la kuvunda?
Hakuna asiyejua kuwa Katiba Mpya ni majumuisho ya mustakabala ulio bora zaidi katika uendeshaji wa nchi kwa wakati husika.
Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kupinga matumizi au ujio wa mustakabala kama huo.
Taabu gani makwetu Tanzania basi?
Kwa hakika ubinafsi uliopitiliza ndiye aliye...
Lakini moja ambalo lazima tukiri lilisaidia kukwamisha jambo hili (mchakato wa katiba), ni kwa kila chama kung'ang'ania maslahi yake. Nadhani huo ndiyo ukweli lazima tuseme - Makamu Mwenyekiti CCM Bara, Abdulrahman Kinana.
Watu wanakuja na mapendekezo, chama kimoja kinasema ndiyo, kimoja...
Ni dhahiri kuwa NCCR, CUF, Chadema na wengine pia wapo wanahitaji katiba mpya sasa.
Katiba mpya itakuwa mustakabala wetu ulio bora zaidi kama nchi. Hayupo mwenye akili timamu anayeweza kuupinga mchakato wake.
Tunaotaka mustakabala mpya tupo chini ya meza. Wasiotaka mustakabala mpya wako juu...
Hakuna asiyejua umuhimu wa katiba mpya katika zama zozote.
Katiba mpya ni mustakabala ulio bora zaidi katika nchi katika wakati husika. Nani anaweza kupinga uwapo wake?
Mustakabala huo hauwezi kuletwa na watawala madarakani katika wakati wowote. Kuwaomba, kuwalilia au kujaribu kuwalaumu kwa...
Hayati John Pombe Magufuli, aliukuta mchakato wa katiba mpya umefika mahali pazuri pa kupigiwa kura.
Hayati Magufuli akazipuuza harakati za miaka nenda rudi za waTanzania zilizolenga kuipata katiba mpya.
Magufuli kwa kiburi na jeuri akasema kutengeneza katiba nzuri itakayowapa mwangaza mpya wa...
Yatuhusu vipi ya hawa na barakoa zao?
Au ya huyu na wahuni wake?
Muhimu tutambue:
1. Wananchi walio wengi wanataka katiba mpya isipokuwa wenye maslahi binafsi na iliyopo.
2. Katiba Mpya haitapatikana kwa miito ya mitandaoni au maneno pekee.
3. Katiba Mpya haitapatikana bila ya watu (sisi)...
Ni mwaka mmoja umepita sasa tangu Mwenyekiti wa CCM atwaliwe na Bwana! Ni kawaida Kwa Nchi yoyote Rais akifia madarakani hutokea mtikisiko!
Hapa kwetu pia kulitokea na Bado kunaenfelea kutikisika!
Hata hivyo huu wa kwetu ni wa kipekee!
Kuna msemo unaitwa kupindua meza ! Labda pengine...
Mijini wanasema kusoma hujui, hata kuangalia picha nako?
Nini kilichojificha kwani? Watu wanataka katiba mpya. TWAWEZA 2017 hawa hapa:
TWAWEZA: Katika Watanzania watatu, Wawili wanataka Katiba Mpya
Msimamo wa CUF, NCCR na CHADEMA unajulikana. Katiba mpya ni sasa.
Kwa msimamo huu:
Ndani ya...
Rais wa awamu ya 4 mzee Kikwete alisema ni Dr Sengodo Mvungi ndiye aliyemshawishi hadi akaanzisha mchakato wa Katiba mpya kwa kuunda Tume ya Warioba.
Kikwete alisema Dr Mvungi alikuwa anapiga kambi hotelini kule Bagamoyo akifanya michakato ya namna ya kuipata katiba mpya itakayowainua...
Ukweli ndio huu. Maana wanataka kuonyesha umma kuwa mpambano wa kudai katiba mpya ni wao tu.
Na kwa mantiki hii inakuwa inaonyesha kuwa wanataka katiba mpya ili wapate madaraka tu na wala sio kwa ajili ya watanzania wote.
Kwanini hatusikii juhudi zao kuwapigia debe, waalimu, wakulima na wavuvi...
Moto wa katiba mpya unawahusu moja kwa moja watawala na watawaliwa. Unahusu haki na usawa wa watu.
Moto huu unahusu utawala bora na mamlaka kwa wananchi.
Moto huu ndiyo ulio pelekea Mh. Mbowe kukaa korokoroni kwa miezi 8. Mbowe ametoka na kazi inapoendelea kupagawa kupo pale pale.
Kwamba...
Mwenyekiti wa Chama cha Wananchi (CUF) Taifa Prof. Ibrahim Haruna Lipumba ameoneshwa kusikitishwa na baadhi ya masuala yaliyowasilishwa na Kikosi Kazi cha kuratibu Maoni ya Wadau wa Demokrasia ya Vyama vingi vya Siasa Nchini kinachoongozwa na Mwenyekiti Prof. Rwekaza Mukandala kwa kueleza kuwa...
Inafahamika kuwa katiba mpya ndiyo ulio mwisho wa CCM kuwa madarakani.
Kwenye katiba mpya CCM ni wepesi kama KANU Kenya au UNIP Zambia. Hawatakaa waikubali hali hiyo.
Ni hivyo hivyo kwa ZANU PF Zimbabwe, RPF Rwanda au NRM Uganda. Bila usawa na haki hawana madaraka.
Kwa sababu hiyo safari ya...
Amesikika Abdul Nondo katika kipindi cha Medani za Siasa Star TV kwa niaba ya ACT, kwamba hata wao wanataka mno katiba mpya.
Pamoja na tofauti zilizopo yumkini Chadema au NCCR au CUF na ACT wanaweza kufikia hatima inayoweza kutuletea sote raha.
Ikumbukwe umoja ni nguvu. Bila kusahau adui yetu...
Ikumbukwe katiba iliyopo iliasisiwa kwa lengo la kuufanya utawala wa CCM kuendelea kudumu.
Kidumu Chama cha Mapinduzi.
Rais gani wa CCM ataafiki uwezekano wa mabadiliko ya katiba ndani ya awamu yake ya kwanza katika 2 anazopewa?
Asijipende vipi mtu huyo?
Inawezekana ni kwa mantiki hiyo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.