katiba mpya

  1. Kamanda Asiyechoka

    Katiba mpya kwa sasa hatuhitaji, chaguzi hatushiriki. Sisi tupotupo na haijulikani tunataka nini. Au tunataka michango tu ya wananchi?

    Kama chama kikuu cha upinzani sisi tunahitaji nini kwa sasa? Katiba mpya ingetupatia tume huru na tungeshinda chaguzi kihalali. Chaguzi zikifanyika hatushiriki hii ni kwa sababu tulishasema hatutashiliki chafuzi za wezi wa kura Sasa chama chetu cha Chadema kipokipo tu na hakina muelekeo zaidi...
  2. Nyani Ngabu

    Hivi ni kweli suala la Katiba Mpya ni suala la Rais kulikubali au kulikataa?

    Kwenye video hii, Tundu Lissu anazungumzia suala la katiba mpya na kudai kwamba Rais [kwa sasa ni Samia Suluhu Hassan] ndiye mwenye uwezo wa kuamua tupate katiba mpya au la! Anzia dakika ya 6:00 - 6:16 hivi. Hivi ni kweli kabisa Rais ndiye mwenye uwezo huo? Tukiachana na mazoea ya kijinga...
  3. Suzy Elias

    Wakati CHADEMA wakidai Katiba Mpya ACT Wazalendo wanataka Tume Huru. Je, Zitto ni laghai wa kisiasa?

    Hivi ninyi watu mnaojiita wapinzani ni nani aliyewaroga?! Kwanini hamuwezi kwenda na agenda moja yenye maslahi mapana kwa wananchi? Agenda ya katiba mpya ni kilio cha muda mrefu kutoka Chadema na hakika wameendelea kupambana,kuitetea na kuisimamia kwa gharama kubwa! Sasa ajabu la mwaka ni...
  4. G

    Katiba Mpya ni hitaji la Wananchi, vyama vya siasa ama?

    Habari zenu wana jukwaa letu pendwa JF. Nimejiuliza swali hili bila kupata jibu la kuridhisha fikra zangu na hivyo ninadhani ni busara kushirikisha wana jukwaa. Madai ya Katiba Mpya ni nani hasa mhusika wake?Je,ni wananchi,vyama vya siasa au? Nauliza kwa kuwa sasa ni dhahiri kuwa...
  5. Kamanda Asiyechoka

    Makamanda tusitegemee Mbowe kudai Katiba Mpya. Tayari ameshaingia kwenye 18 za CCM

    Kauli zake zinatia mashaka makubwa. Tayari ameshatishika na anajipendekeza kwa Rais Samia. Mimi ndiyo maana kwa machungu niliyonayo huwa naamua kusema ukweli. Mbowe tayari amenyoosha mikono juu.
  6. Leak

    Mbowe: Niruhusuni kunyamaza

    Mh Mbowe amesema anaomba watu wamruhusu kunyamaza kwanza kwa kipindi hiki atakapo kuwa tayari atazungumza na taifa na watanzania kwa ujumla! My opinion Mbowe hawatendei haki wafuasi wake na watanzania ambao walimuombea usiku na mchana leo hii anawataka wampe muda wa kunyamaza? Mbowe alitakiwa...
  7. Khadija Mtalame

    Tundu Lissu kufutiwa mashtaka yote na Serikali, Katiba Mpya inahitajika

    Habari wanabodi, Nimekuwa nikifatilia siasa za ndani na nje ya Tanzania yetu hii.kiukweli juzi kitedo cha Mama kufuta mashtaka yote ya TAL ni ishara kwmba tuna katiba mbaya kuwahi kutokea ,amemruhusu aje Tz kama kaweza kufuta mashtaka thats means anaweza mpa yoyote yule mashtaka. Tubadili...
  8. Nyendo

    Mbowe na Wenzake 3 wakutwa na kesi ya kujibu. Kesi imeahirishwa hadi Machi 04, 2022 watuhumiwa kuanza kujitetea

    Mahakama Kuu Divisheni ya Rushwa na Uhujumu Uchumi leo Februari 18, 2022 inatarajiwa kutoa uamuzi kama Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe pamoja na Washtakiwa wengine watatu wana Kesi ya Kujibu au Hapana. Ile siku iliyosubiriwa ya kutolewa maamuzi kesi Mbowe na wenzake 3 kama wana kesi ya...
  9. B

    Rais Samia umenifurahisha sana kwa maamuzi makubwa uliyofanya kwa maslahi mapana ya Taifa

    1.Mhe Rais naomba kuchukua Nafasi hii binafsi kukushukuru Kwa maamuzi makubwa uliyofanya Kwa maslahi mapana ya Taifa. Mimi ni mwana Chadema na siku zote msimamo wangu utabaki kuungana na wanaotenda haki na wanaostawisha Taifa na Dunia. 2. Mhe. Rais nina watoto na wajukuu, naamini wewe pia una...
  10. Erythrocyte

    Rukwa: Polisi Wazuia Kongamano la Katiba Mpya, Askofu Mwamakula aahidi Kupatikana kwa Katiba mpya hivi karibuni

    Hivi ndivyo ilivyokuwa baada ya Polisi wenye mitutu kufika kwenye ofisi za Chadema Mkoani humo na kuzuia Kongamano kubwa la Katiba mpya lililokuwa na wazungumzaji kadhaa, akiwemo Baba Askofu Mwamakula. Hata hivyo Baba Askofu Mwamakula amewaahidi Wananchi mkoani humo kwamba Katiba Mpya...
  11. mtimawachi

    Rais asibughudhiwe pindi amalizapo wakati wake, aachwe apumzike

    Habari wanajamvi! Nazungumzia Rais kushitakiwa amalizapo muda wake (kama alifanya makosa akiwa madarakani). Asili ya sisi Waafrika (watu weusi) ni kupenda kukomoana, majungu na visasi. Inawezekana kabisa ukiwa madarakani ukafanya/ukasimamia jambo kwa mujibu wa taratibu lakini kwa kufanya...
  12. Idugunde

    Picha: Kama kawaida vijana wa Bavicha wakigongea Kahawa mitaani Bukoba Kwa kisingizio Cha Katiba mpya. Kwa Sasa wanahali ngumu sana kiuchumi

    Kila mtu anajua fila kuwa Chadema inawakati mgumu sana, sasa imefikia kiasi Cha kupiga mizinga vijiweni
  13. Erythrocyte

    Katavi: BAVICHA yasambaza moto wa Katiba Mpya kwenye vijiwe vyote vya Kahawa na Tangawizi

    Huu ndio Mtiti ambao hawa vijana wameamua kwenda nao kwa sasa, huku taarifa zikionyesha kwamba kila wanapoingia wanashangiliwa mno. Katavi yote inawaka moto wa Katiba Mpya. Kwa hali ilipofikia si rahisi tena kuzuia Katiba Mpya. Mungu ibariki Bavicha.
  14. NostradamusEstrademe

    Mjadala wa katiba mpya

    Japo mchakato wa katiba haujaanza lakini sio vibaya kuanza kujadili kwenye mitandao ya kijamii. Kwa upande wangu ningeambiwa nitaje vitu ambavyo vingewekwa kwenye katiba mpya mimi ningesema hivi:- 1.Mkuu wa jeshi la polisi asiteuliwe na raisi pafanyike usaili 2.Kuwa waziri sio lazima uwe mbunge...
  15. M

    Rais Samia usikubali. CCM walikataa Katiba leo wanataka Katiba Mpya, walidhani Katiba ni ya CHADEMA tu

    Leo maji yamewafika shingoni wanakosa jinsi ya kukutoa madarakani wanaanza kujipitisha huku wakisema katiba mpya inahitajika, walidhani mfumo dume utadumu milele hawakujua mungu ndiye apangae. Sasa hivi wa CCM wanaumizwa na katiba kuliko wana Chadema.
  16. J

    Ras Mtimanyongo: Zitto yuko sahihi Wanasiasa wadai Tume huru ya Uchaguzi, Katiba Mpya itadaiwa na Wananchi pale itakapohitajika

    Msanii wa miondoko ya Reggae Ras Mtimanyongo amesema hakuna mwananchi aliyewatuma wanasiasa kudai katiba mpya kwa niaba yao hivyo wasiwaingilie. Ras anasema Zitto Kabwe yuko sahihi kwa 100% kinachowahusu wanasiasa kwa sasa ni Tume huru ya uchaguzi. Maendeleo hayana vyama!
  17. Mshana Jr

    Kuwa sehemu ya historia ya katiba mpya kwa kuweka maoni yako hapa

    Katiba mpya yaja na hili sio jambo geni wala la kubahatisha tena. Tumetoka mbali na tumepitia mengi mabaya na mazuri ya kushangaza na ya kuleta matumaini pia. MOJA LILILO WAZI ni kwamba KATIBA MPYA haizuiliki tena! Jamii Forums ni mtandao tegemewa kwa mengi hapa Tanzania hasa linapokuja suala...
  18. Idugunde

    Huu ni wakati wa Watanzania kudai katiba mpya, wasipodai taifa lao litaibiwa kama shamba la bibi.

    Katiba mpya itazuia mapungufu ya kila aina ambayo yanasabisha hili taifa kuibiwa na kuporwa kama shamba la bibi. Katiba mpya itawapa wananchi nguvu ya kuzuia, kurekekebisha na kukataa uovu wa kila namna ndani ya taifa lao. Mfano kukaataa na kupinga utawala unaokumbatia ufisadi kwa kuzuia au...
  19. E

    Kayiba Mpya ni mwarobaini wa mihimili kuheshimiana bila kijali vyama

    Ndugu wanajukwaa nawasalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Taifa la Tanzania kwa sasa tunahitaji katiba mpya. Uhitaji huu ni wa lazima kwasababu wote tumeshuhudia jinsi ambavyo mihili miwili haiko huru. Haiwezekani spika unazungumza kama muhimili halafu muhimili mwingine...
  20. I am Groot

    Chalamila akanusha uvumi ulioenea asema sitaki katiba mpya wala marekebisho ya katiba

    Albert Chalamila amesema hataki katiba mpya wala marekebisho yake. Ameeleza hayo akikanusha habari zilizotolewa na baadhi ya vyombo vya habari kwamba anaunga mkono mabadiliko ya katiba. "Wala sihitaji hiyo katiba mpya, wala sihitaji hayo marekebisho,"- amesema Chalamila. Pia soma > Chalamila...
Back
Top Bottom