Suala la maandamano ni la kikatiba na Rais Samia aliapa kulinda katiba tena akishika Quran kabisa. Iweje atake kuvunja kiapo chake tena kwa kulishirikisha jeshi waivunje pamoja. Hivi yeye isingekuwa kulinda katiba angekuwa raisi kweli?
Jeshi letu mbona liko tofauti na majeshi mengine duniani...
Katika nchi yetu tatizo la msingi siyo sheria za uchaguzi, Tatizo la msingi ni katiba mbovu inayozaa mfumo mbovu wa uongozi na utawala, mfumo mbovu wa haki na mfumo mbovu wa uwajibikaji.
Nashangaa chama kikuu cha upinzani ambacho kinajua wazi kuwa mzizi wa fitina ni katiba mbovu, hakina...
Wanabodi hi ni Makala ya Nipashe ya Jumapili ya tarehe, 29 January 2023
Kwa Maslahi ya Taifa, bado inajikita kwenye Katiba yetu,
Makala ya leo ni kuhusu hiki kinachoendelea Bungeni kwa Kamati ya Bunge ya Sheria na Katiba kupokea maoni ya sheria mpya ya uchaguzi, Mwenyekiti wa Kamati hiyo...
Kila siku huwa naipitia Rasimu hii nikijiuliza hasa ni kitu gani kinafanya inakosa Uthamani mbele ya Watawala na wapinzani au Ni neno Tanganyika lililosheheni kwenye katiba hiyo?
Au Ni serikali Tatu zilizopo kwenye sura ya Sita na Saba ya katiba hiyo na Ibara ya 60 na kuendelea ya katiba...
Joseph Mhagama ambaye ni Mwenyekiti wa Kamati ya Sheria na Katiba ya Bunge, akiongoza vikao vya kupokea maoni juu ya marekebisho ya Sheria za Uchaguzi , amewazuia wadau kumpigia makofi , Katibu Mkuu wa Chadema alipokuwa anawasiliaha Nondo kabambe mbele ya Kamati hiyo .
Yaani Mhagama roho...
Huu ndo ukweli!
Kuna watu wengi wapo kwenye nafasi fulani za maamuzi na uongozi ambao hawana uwezo wa kufanya hizo kazi katika dunia hii ya ushidani.
Ni wakati sasa nafasi za watendaji zikapatikana kwa njia ya ushindani watu waombe wapimwe kutokana na uwezo wao wa kiakili na utendaji na sio...
Jambo la kwanza ni torture. Utesaji wa inmates ambao unafanywa na polisi pamoja na TISS. Kumkamata mtu na kumweka mahabusu au kumweka jela haionekani kwamba ni adhabu ya kutosha kuwashikisha adabu watu.
Jambo la pili, watuhumiwa wa uhalifu wakati mwingine wanalawitiwa huko jela,kama sehemu ya...
Halima Mdee na Easter Bulaya, wakihojiwa na waandishi wa habari, wamesema, Mwenyekiti wa Chama chao amewaalika kuhudhuria harambee ya ujenzi wa kanisa.
Je, Mbowe hana kinyongo nao? kuna dalili hawa watu watasameheana? Je ni nani anakwamisha wasisameheane? Lissu?
Salaam ,shalom!!
Ni Kweli homa ya Uchaguzi imepanda, wengine wameanza kuacha kuongoza vyama na kukimbilia kuanza maandalizi ya kugombea ubunge nk nk.
Wananchi hatufurahii urafiki kati ya chama tawala na vyama vya upinzani, maslah ya Wananchi yapo katika kutofautiana Kwa HOJA kuongeza Kasi ya...
Ado Shaibu ambaye ni Katibu Mkuu wa ACT Wazalendo amefanya mahojiano na Jambo TV Ofisini kwake Alhamisi Desemba 28, 2023.
"Zitto hajang'atuka kwenye Chama, Zitto bado ni Kiongozi kijana na ana nafasi katika Siasa za Tanzania, Zitto ametangaza kuiheshimu Katiba ya ACT Wazalendo kwahiyo ni imani...
Hii ni kinyume na Political Party Act No. 1 of 2019… ni vile tu tunashangilia kuvunja sheria. s.6C(1)(b)..
Haupaswi kushangilia kwa namna yoyote kuona sheria za nchi zikivunjwa..Kifungu kipya cha 6C kimeweka masharti ya mtu kuwa mwanachama wa chama cha siasa, na mojawapo ni umri usio chini ya...
Taarifa yake hii hapa .
Ikumbukwe kwamba Clouds media ndio kile chombo cha habari kilichovamiwa kwa silaha za kivita na yule jamaa aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa DSM , jina lake limenitoka kidogo , mnaweza kunikumbusha .
Wanabodi
Nijitambulishe tena na tena, kuwa japo mimi Paskali Mayalla, ni mwandishi tuu wa Habari wa kujitegemea kwa kujitolea, na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, na kwa sasa mimi pia ni mwanasheria na wakili wa kujitegemea kwa kujitolea, hivyo kupitia uzoefu wangu wa utangazaji...
Haya hapa ni baadhi ya Maelezo ya Jaji .
Kama tulivyotarajia , Jaji ameamua hivi .
====
Mahakama kuu ya Tanzania Kanda ya Dar es salaam imewapa ushindi Halima Mdee na wenzake 18 kwenye kesi yao waliyoiwasilisha Mahakamani hapo dhidi ya Uamuzi wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo CHADEMA wa...
Ni hivi karibuni serikali imezindua mchakato wa kuandika Dira ya maendeleo ya mwaka 2025 - 2050 (au pengine zaidi, kadiri itakavyopendekezwa).
Jambo hili ni jema kwa sababu, kama Taifa, mipango ya maendeleo ya muda mrefu ni muhimu ili kujenga uelewa wa pamoja wa nini tunahitaji na wapi...
Kufuatia taarifa ya Mkurugenzi wa Halmashauri ya Manispaa ya Temeke iliyotolewa na Mkurugenzi Elihuruma Mabelya ikielezea kuhusu Tume ya Utumishi wa Walimu (TSC), kumsimamisha kazi Katibu Mkuu wa Chama cha Walimu Tanzania (CWT), Mwalimu Japhet Maganga, ambaye alikuwa ni mwalimu wa Shule ya...
Asilimia kubwa ya Wananchi wa Tanzania wanataka Katiba Mpya. kabla ya uchaguzi mkuu 2025. Mimi sijaelewa kuna tatizo gani kuhusu Katiba Mpya.
Suala la elimu kwanza kwangu siyo kupaumbel changu sisi wananchi tunataka Katiba Mpya iwe Jua au mvua tunataka Katiba Mpya.
Woga wa nini kuhusu...
Mwenezi wa CCM Komredi Makonda amesema kuhusiana na swala la mbunge wa Babati mh Gekul, CCM ni Chama kikubwa na kina taratibu makini
Kuna Vikao Vya nidhamu na Maadili kuanzia Tawini na kuendelea hivyo kama kuna lolote litathibitika Vikao husika vitachukua hatua stahiki na kama litafika Ngazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.