katiba

  1. Salahan

    Maoni yangu juu mabadiliko ya katiba kwenye ukomo wa Urais

    Habari wanajamii Kwa mujibu wa katiba yetu inayotumika hadi sasa ukomo wa kugombea nafasi ya urais ni miaka 10 kwa kila kiongozi ikiwa ni awamu mbili yaani uchaguzi wa raisi kila baada ya miaka mitano. Asili hii ya ukomo wa raisi imeasisiwa toka taifa la Marekani "....Utaratibu wa kuweka ukomo...
  2. MGUBA

    MIMI SIDHANI KAMA KATIBA MPYAA ITAKUBALIWA TILL KIHAMA

    Kwa maono yangu kwa nchi kama TANZANIA ili kuluusu katiba mpyaa ni lazima iingie kwenye misingi ya dictator action na sio democracy kama hii ya sasa
  3. Pang Fung Mi

    Watanzania mkijichanganya mkakomaa na katiba mkasahau kuhusu Bandari zetu kuuzwa laana itamea juu yenu

    Wasalaam nyote, Katika mikutano ya chadema hivi sasa ya +255 , swala la kuhamasisha umma kuhusu uhuni wa kuuzwa bandari zetu lipewe uzito kila sehemu, CCM hawana dhamira njema na dhati kwa nchi hii, viongozi wengi ni ni wanachama wa illuminati na freemasons. Msitarajie huruma haitatokea...
  4. Erythrocyte

    Sugu aendelea Kutikisa Chunya, achambua Katiba kama Mhadhiri wa Chuo Kikuu. Wananchi waanza kumuelewa

    Mjumbe wa Kamati Kuu ya Chadema , Joseph Mbilinyi bado yuko Chunya kwa ziara ya kikazi, ambako ameendelea kuelimisha Wananchi kuhusu Umuhimu wa Katiba Mpya ambayo itazaa Tume huru ya Uchaguzi. Sugu ambaye sasa anajulikana pia kama Jeshi la Mtu mmoja, anashangaza wengi kutokana na uwezo wake wa...
  5. Chachu Ombara

    Profesa Lipumba: Hakuna haja ya elimu ya uraia kuandika upya Katiba

    Profesa Lipumba amesema kuwa hakuna sababu ya kutoa elimu ya uraia kwa wananchi kwa miaka mitatu ili kuandika upya Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Profesa Lipumba ameongeza kuwa Tume ya Jaji Warioba ilishatoa ufafanuzi kuwa wananchi wanaelewa aina ya katiba wanayohitaji na hakuna...
  6. K

    Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo ya 2050 itakayofungamanishwa na falsafa ya 4R ya Rais Samia na Katiba mpya italeta MATOKEO MAKUBWA KESHO

    "The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotamkwa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
  7. K

    Maoni: Dira ya Taifa ya maendeleo itakayo fungamanishwa na falsafa za 4R za Rais Samia na katiba mpya, ni matokeo makubwa kesho

    "The best is yet to come"(Obama ,2012) ni maneno yaliyotolewa na Rais Obama katika hotuba yake siku aliyotangazwa mshindi kuongoza Taifa hilo kubwa kabisa duniani kijeshi na kiuchumi kwa kipindi Cha pili mwaka 2012. Ilikuwa ni hotuba ya matumaini makubwa kwa Marekani na Wamarekani. Kwa tafsiri...
  8. Erythrocyte

    Oparesheni 255 yaingia Busega. Mbowe abadilisha lugha ya Katiba Mpya, aanza kuongea kikakamavu

    Hii ndio Taarifa mpya ya leo kutoka kanda ya ziwa ambako oparesheni 255 inatimua vumbi. Muda wa lugha laini kwenye kudai Katiba mpya umekwisha, sasa lugha kali za kikakamavu zimeanza kutumika, huku Mbowe akitahadharisha watawala kwamba Katiba mpya ndio kipaumbele cha kwanza. Hii ni kata ya...
  9. U

    Video: Wakili Boniface Mwambukusi akifafanua kisheria na kikatiba ni kwanini uteuzi wa Naibu Waziri Mkuu ni uvunjaji wa katiba ya JMT ya 1977

    NB: JF Moderators, naomba hii thread ijitegemee. Najua imeshajadiliwa lakini naona huyu wakili kaja kivingine. Tuwape watu nafasi wajadili hoja yake.. Back to the topic; ✍️Ni kweli Rais Ally Hassan Mwinyi aliwahi kuunda ofisi ya Naibu Waziri Mkuu na kumteua Dr Salim A. Salimu kushika wadhifa...
  10. Suley2019

    Jaji Warioba akosoa Serikali kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu

    Waziri Mkuu, mstaafu Jaji Joseph Warioba ameeleza wasiwasi wake kuhusu hatua ya Serikali ya kutaka kuanza kutoa elimu ya Katiba Mpya kwa miaka mitatu, akisema ni muda mrefu kwa mchakato huo. “Tumefikia mahali kama kuna utashi wa kisiasa, tunaweza kuamua juu ya haya mabadiliko, inanipa wasiwasi...
  11. MamaSamia2025

    Ninapendekeza yafuatayo ili kuwezesha Wananchi wengi kuijua katiba yao

    Ninaandika huu uzi bila kuweka itikadi yangu ya kisiasa huku nikiwa na huzuni. Siku chache tumetaarifiwa kupitia wizara ya katiba na sheria kuwa 51% ya watanzania hawajui chochote kuhusu katiba ya sasa. Kwa hesabu za haraka ni kuwa karibu kila familia nusu ya wanafamilia hawajui katiba ya JMT...
  12. Jaji Mfawidhi

    Je, Rais amevunja Katiba kwa kuteua cheo nje ya Katiba?

    Rais Amevunja Katiba? Hana Mamlaka ya Kunyang'anya Majukumu ya Waziri Mkuu na Kumgawia Mtu Mwingine.Ingekuwa hivyo Katiba ingeliweka Bayana. Ibara ya 36(1) ya Katiba ya JMT ina mpa mamlaka Rais ya kuunda au kufuta Ofisi katika Utumishi wa Uma.Siyo Kufuta au Kuunda Ofisi katika Ofisi ya Waziri...
  13. M

    Kama ni muhimu kuwa na cheo cha Naibu Waziri Mkuu, kwanini hakiwekwi kwenye Katiba na mafao yake yakafahamika?

    Cheo cha Naibu Waziri kuu hakipo kwenye katiba iliyopo lakini Marais waliotangulia waliwahi kumteua hayati Mrema na Salim Ahmed Salim kukitumikia cheo hicho. Jana Rais Samia kamteua Doto Biteko kuwa Naibu Waziri Mkuu cheo ambacho hakipo kwenye Katiba. Najiuliza kama cheo hiki cha Unaibu Waziri...
  14. Street Hustler

    Naibu Waziri Mkuu majukumu yake Kikatiba ni yapi? Wafahamu waliowahi kuwa Manaibu Waziri Wakuu nchini

    Jamani hili Taifa letu tunaendaje? Vyeo vinakuwa vingi Sana. Ina maana ofisi ya Waziri Mkuu imekuwa kubwa sana mpaka utendaji unakuwa Mdogo na kuamua kuiongeza nguvu kumpa msaidizi vipi? Vipi wizara zilizo chini yake? Ningependa kujua majukumu ya Naibu Waziri Mkuu yatakuwa yapi kwa mujibu wa...
  15. Lord denning

    Kuna tatizo gani Wizara ya Katiba na Sheria mpaka Mawaziri hawakai?

    Kwa kumbukumbu zangu hii Wizara haina Waziri aliyekaa zaidi ya mwaka mmoja na nusu Taingia awamu ya tano mwishoni. Embu tusaidieni wanabodi. Kuna tatizo gani? Mawaziri wa Katiba na Sheria kuanzia mwaka 2015 2015 -2017 Mhe.Dkt Harrison George Mwakyembe (Mb) 2017 - 2019 2019 - 2020 2020 -...
  16. Etwege

    Rais Samia tulikuonya kuhusu January Makamba

    Rais Samia ulionywa sana kuhusu huyu mtu mtafuta madili ya kujaza tumbo lake badala ya kuhudumia wananchi, kiko wapi sasa? Kwa miaka 3 hamna alichokamilisha hata kimoja zaidi ya ngonjera tu za hapa na pale, umeme vijijini haujakamilika hadi leo, licha ya kwamba awamu ya 5 ilibakiza vijiji elfu...
  17. peno hasegawa

    Tanzania bila Maandamano hakuna Katiba mpya kabla ya Uchaguzi Mkuu 2025

    Nimeandika kwa kifupi , nitachangia nikiamka.
  18. JanguKamaJangu

    LHRC, THRDC na JUKATA wasema Kutoa elimu ya Katiba kwa miaka mitatu, itafika 2030 bila Katiba mpya

    Wanaharakati wa Katiba na Haki za Binadamu wamekosoa kauli ya Waziri wa Katiba na Sheria, Dkt. Damas Ndumbaro juu ya kutoa elimu ya Katiba kwa kipindi cha miaka mitatu, wakidai mpango huo unalenga kuchelewesha mchakato na upotezaji wa fedha za umma. Tamko hilo limetolewa na Kituo cha Sheria na...
  19. Stephano Mgendanyi

    Waziri Dkt. Ndumbaro - Zaidi ya Asilimia 50 ya Watanzania Hawaifahamu Katiba

    WAZIRI DKT. DAMAS NDUMBARO - ZAIDI YA ASILIMIA 50 YA WATANZANIA HAWAIFAHAMU KATIBA, ELIMU YA KATIBA KUTOLEWA KWA MIAKA MITATU "Kuna tafiti kadhaa zimefanyika na kubaini zaidi ya asilimia 50 ya Watanzania hawaifahamu katiba na wengine wanasema hata hawajawahi kuiona hiyo katiba, hatari yake ni...
  20. S

    CHADEMA msilete longolongo - Dai dume ni KATIBA mpya na Tume Mpya ya Uchaguzi

    Nina wasiwasi na hawa CHADEMA kuwa ni tawi la CCM ,ukiangalia kwa undani utaona wananchi tumehamishiwa kwenye bandari,mbuga na mambo mengi ambayo mwisho wa siku tunapigwa na kufungwa bao la kisigino. Bila ya madai dume ya kudai katiba mpya na tume mpya iliyo huru ya uchaguzi itakuwa haya...
Back
Top Bottom