Nakumbuka kipindi cha mchakato wa Katiba, Prof Issa Shivji akitoa Darsa kwa Viongozi wa Vyama vya Siasa, alisema Wananchi wengi hawana Elimu ya Katiba na kusema Ukienda kuwahoji wanataka Katiba ipi, jibu lake atasema Sijui Katiba, hivyo hautapata hiyo Katiba unayoitaka kwasababu umekwenda kuhoji...