Nianze kwa salaam
Natumai wote wazima, ningependa niende Moja kwa Moja kwenye mada ambapo nilikua naomba mnisaidie katiba na memorandum ya mtu mwenye ulemavu katika mikopo ya halmashauri nimejaribu kwenda kwa mawakili lakin wanataka hela nyingi na uwezo huo Sina
Hivo nikaona nije hapa JF Kuna...
Wanabodi
Hii ni C&P ya Barua ya wazi kutoka kwa mwana JF huyu Mwandamizi!.
Sababu ya kuileta Barua hii hapa, ni kuwajulisha wanabodi na Watanzania, kuwa tuna Watanzania wengi ndani na nje ya nchi ambao ni wazalendo wa kweli wa Taifa hili, waliofanya vitendo vya kishujaa, bila kutaka kulipwa...
Upole kuna wakati hauleti mabadiliko hata nyerere alishasema kuhusu uhuru wa Africa. Mnao sema Nyerere alileta amani mjue kwamba amani inakuja na haki. Bila haki hakuna amani
https://youtube.com/shorts/7M_wnltQWao?si=h3MmufJZ-Np0mcJx
Binadamu hasa hawa vijana wanasahau kila siku. Kama Rais Samia asiko tumia muda wake vizuri kwa mambo yanye faida na historia za kitafia atabaki ya majumba na pesa kwake na familia yake lakini nafsi yake itamsuta na Watanzania watamsahau haraka kama Kikwete.
Kama anataka kuacha historia ya...
Kuna watu hapa hawataki kusikia katiba mpya na wanaunga mkono wizi wa kura , hawasemi lolote watu kutekwa lakini cha ajabu wanasema wenyewe ni wazalendo.
Sasa watueleze sababu zao za kufikiria wanalitendea haki taifa hili. Cha ajabu wengine ni usalama wa taifa na Polisi!
Tupeni sababu zetu...
Katika nchi nyingi za demokrasia halisi uongozi wa vyama vya siasa huwa unabadilishwa punde tu baada ya matokeo ya uchaguzi, hicho ndicho kipindi kizuri cha kufanya tathmini ya uongozi kutokana na performance baada ya uchaguzi.
CHADEMA kuwa inafanya mabadiliko ya uongozi mwaka mmoja kabla ya...
Mwaka 2006, Katiba ya Chadema ilifanya marekebisho yaliyoruhusu wanachama kugombea uongozi bila ukomo wakati awali, waliruhusiwa kugombea kwa vipindi viwili vya miaka mitano.
Tukikumbuka Mabadiliko hayo Hayakuwepo Kipindi cha Mtei au Bob Nyanga Makani..
Tujikumbushe Kidogo...
Jumatatu, Juni...
Siasa za Afrika zina matatizo mengi sana, tukubali tu kuongozwa na CCM kikubwa waendelee kutii muongozo wa katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania
Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni, CCM ndicho chama kilicholeta Uhuru wa Tanganyika December 9, 1961 kwa hali ya utulivu bila kumwaga damu kipindi...
Ma Keybord worriour wenzangu, kwa katiba mbovu tulio nayo still bado hata bila chama unaweza anzisha harakati zako kikubwa uwe na watu nyuma yako.
Unaweza hata ingiza watu Barabarani wakinukishe, sasa hili tunashindwa vipi? kwani ni lazima iwe ni ndani ya Chama? na hicho chama kiwe ni CDM...
Wakuu,
Tanzania ndio nchi pekee ambayo mtu anapata madaraka kwanza alafu mafunzo yanafuata baadae
===========================================================
Wizara ya Katiba na Sheria imetoa elimu ya utawala bora na masuala ya kisheria kwa viongozi wa serikali za mitaa na kamati za usalama...
Wakuu...
Kumbe wala hatuhitaji Katiba Ili kuiondoa CCM madarakani kama tulivyokuwa tukiaminishwa,.
Pamoja na Katiba mbovu tuliyo nayo sasa bado CCM wanaweza kung'oka madarakani , Tatizo letu ni Viongozi waroho wa Fedha na vyeo ndio wanaotuponza , wao ndio wanatukwamisha maana wamekubali...
Chama cha Wafanyakazi wa Serikali na Afya Tanzania (TUGHE) kimelalamikia uwepo wa Kanuni inayokiuka Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inayowazuia watumishi wa umma kujihusisha na masuala ya wafanyakazi, jambo ambalo limekuwa kero na kuzuia ukuaji wa vyama hivyo pamoja na kudhoofisha hima...
Hivi vikao wanavyoitisha ni kinyume na katiba ya chama chao.
6.2.1 Kutakuwa na vikao vya aina nne;
(a) Vikao vikuu vya maamuzi ya kisera.
Hii ni Mikutano Mikuu ya kila ngazi ya muundo wa Chama
(b) Vikao vya uongozi vinavyosimamia utekelezaji wa maamuzi ya kisera ya
vikao vikuu. Kamati za...
Ndugu zangu Watanzania, nimeona nitoe maoni yangu machache tunapoelekea kutafuta Katiba mpya na Sheria bora za Uchaguzi. Mimi nilidhani tufanye yafuatayo:-
1. Kiundwe chombo cha kitaifa kitakachoongoza na kuratibu hii movement.
- Chombo hiki kitokane na angalau Watanzania wa makundi...
Kila nikiona mambo yanavyoenda kwenye taifa letu chini ya ccm kuna kila dalili wafuasi wa ccm hawaoni shida yoyote ya katiba tuliyonayo yaani ni kama wameishaifikia nchi ya ahadi.
Ndipo hunijia maswali kwani aliporuhusu mchakato wa mabadiliko ya katiba rais wa awamu ya nne alisukumwa na dhamira...
Pamoja na ukweli kwamba Watanzania tunapenda kujidanganya lakini cha ajabu tunadanganya mpaka vizazi vijavyo.
Bila katiba mpya ambazo zitatoa mfumo imara wa sheria, bunge na utawala bora hatuwezi kuwa na dira ya maana bila hayo.
Huwezi kuweka Dira wakati kiongozi yeyote anaweza kuingia na...
Wanabodi,
Makala yangu ya leo kwenye gazeti la Mwananchi.
https://www.mwananchi.co.tz/mw/habari/siasa/katiba-ya-zanzibar-inavyokinzana-na-ya-jamhuri-ya-muungano-wa-tanzania-4853314
Kuna msemo wa Kiswahili usemao, mchelea mwana kulia , hulia yeye!. Makala hii ni swali "Tanzania ni nchi moja ya...
Tunapojiandaa kuanza kudai Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi napendekeza yafuatayo yafanyike kwanza:-
1. Kiandaliwe kikosi cha utoaji Elimu na uhamasishaji wa umuhimu wa Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi.
2. Kiandaliwe kikosi kitakachorekodi matukio yote ya kihalifu yatakayotokea...
Ndugu zangu Maaskofu, Masheikh, Mapadre, Wachungaji, Manabii, Mitume na Watanzania wote, suala la Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi linatuhusu sisi sote.
Katiba mpya na Sheria mpya za Uchaguzi si kwa ajili ya chama/ vyama vya siasa tu, bali ni kwa ajili ya Watanzania wote.
Katiba mbovu...