Kupitia maandamano, kwamba tumejifunza hatuna jeshi la polisi lenye uwezo wa kudhibiti watu 5Mil tu walioamua kutafuta haki yao.
Ili kufanikisha maandamano ya watu mil 5 tu , ni lazima Chadema mtengeneze main Objective ambayo ndio tatizo kuu la Tanzania na hiyo Objective itamgusa kila...
Mwenyekiti wa CHADEMA-Taifa, Freeman Mbowe amesema ili Demokrasia ionekane kuwa na maana inapaswa kutambua Haki na hilo linawezekana kukiwa na Utashi wa Kisiasa ambao hasa unatakiwa kutoka kwa waliopewa dhamana ya kuliongoza Taifa.
Akizungumza katika Mkutano wa Kituo cha Demokrasia Tanzania...
Ndugu wananchi hususani "Paskali" kumekuwa na juhudi mbali mbali za kukitaka Chama Tawala kuweka mazingira mazuri ya uongozi Kwa kuwa na Katiba Mpya na yenye kuakisi Hilo. Zaidi ya hadithi njoo uongo koleaau kwakuwa wao ndio waneshikulia siri zao na uwazi wa kila moja wetu (mpini Sisi...
Hivi majuzi, tulishuhudia upatikanaji wa kiongozi bila kupingwa. Hii haikutosha, kwani kuna mmoja pale kaskazini ambaye katiba iko wazi akimaliza misimu miwili anaachia wenzake, lakini ghafla kaongezewa miaka kadhaa.
Hii inafanya baadhi ya watu kujiuliza Je, wale Wachaga ni wajinga kweli, au...
HUYU NI MBOWE YUPI?
Huyu MBOWE wa CHADEMA hii ya baada ya kutoka Ikulu kuongea na MAMA kwa siri; sio yule Mbowe wa CHADEMA ya Bunge Maalum la Katiba.
Huyu ni MBOWE mwingine kabisa na wa tofauti; ambaye ameifanya CHADEMA ya sasa iwe Kibogoyo isiyoweza tena kung'ata. Hovyo kabisa!
Yes! Ni MBOWE...
Katika muktadha wa siasa na utawala wa Tanzania, suala la uteuzi wa watu kutoka maeneo mbalimbali kuwa viongozi katika maeneo mengine linaweza kuleta maswali mengi kuhusu utaifa, utamaduni, na ushirikiano wa kikabila.
Katika kesi hii, mtu aliyezaliwa Zanzibar na kuwa raia wa Zanzibar...
Wanabodi,
Japo mimi ni mwandishi tuu wa habari na mtangazaji wa kujitegemea kwa kujitolea, nimegundua kumbe wito wangu ni ualimu, kufundisha watu, hivyo from time to time nitakuwa napiga humu darasa la bure la katiba, sheria na haki.
Somo la leo ni kuhusu halali, batili na batilifu, ambapo kuna...
Ndani ya Chadema ni jambo lisilotarajiwa kutaka mwenyekiti Mbowe "aondolewe"...
Nje ya Chadema ni jambo la hovyo kutaka hayo.
Katiba ya Chadema iheshimiwe
Katiba ya CCM nayo hivyo.
Vijana wenzangu tuheshimu katiba ya nchi.....
Kwani akina Zitto Kabwe walipotaka uongozi ndani ya CDM kwa njia...
Kama ukiwa msituni kuchanja kuni kwa ajili ya kuwapikia watoto wako chakula, mara akajitokeza nyati anayetaka kukurarua na kukuteketeza, kuna mambo manne yanaweza kufanyika. Nayo ni:
Kukimbia, kama una uhakika unayo kasi kubwa kuliko kasi ya nyati huyo; au
Kupanda mti mrefu au kuingia kwenye...
Ni kujichanganya kama unapenda nchi lakini hupendi katiba mpya wala demokrasia. Kwa wale wanaosema wanapenda nchi ni wazalendo lakini hawataki katiba ambayo itasaidia nchi yetu kuwa nchi bora zaidi.
Lakini cha ajabu hawataki Watanzania wengine wawe na Uhuru na Demokrasia. Sasa ni kweli watu wa...
UTANGULIZI MISINGI YA KATIBA
KWA KUWA SISI wananchi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, tumeazimia kwa dhati na kwa dhati kujenga katika nchi yetu jamii inayozingatia misingi ya uhuru, haki, udugu na maridhiano:
NA KWA KUWA kanuni hizo zinaweza tu kutekelezwa katika jamii ya kidemokrasia...
Jana wakati wa maadhimisho ya miaka 60 ya JWTZ ulitutaka wananchi kulinda na kuheshimu katiba katika kulinda nchi.
Kilichonishangaza ni kuwa ni wewe mwenyewe uliwahi kusema katiba ni kitabu tu wakati viongozi wa vyama vya siasa walipokuwa wakijadili umuhimu wa kupata Katiba mpya ili kuendeleza...
Katika kuzungumzia mamlaka ambayo yanaweza kutolewa kwa Rais wa Tanzania katika Katiba mpya, inahitajika kufikiria juu ya uwiano kati ya nguvu za kiutawala na uwajibikaji wa serikali. Hapa kuna baadhi ya mawazo kuhusu mamlaka hayo:
1. Kupunguza Mamlaka ya Kuteua: Rais awe na uwezo wa kuteua...
Katika mapendekezo ya katiba mpya nchini Tanzania, kuna maeneo kadhaa ambayo watu wengi wanapendekeza yafanyiwe marekebisho. Haya ni baadhi ya mambo muhimu:
1. Mipaka ya Madaraka ya Rais: Pendekezo ni kupunguza nguvu za madaraka ya Rais ili kuwe na uwiano bora wa madaraka kati ya mihimili...
Kwa katiba yetu ilivyo, Rais anaweza kusema kuwa kuanzia leo Tanga, Dar, Pwani ni sehemu ya Zanzibar kama alivyoamua kuwa ngorngoro ni sehemu ya wazi!
TUPAMBANIE KATIBA MPYA
Nyerere alijua kabisa na alisema hadharani kuwa katiba hii ni mbovu, akiingia RAIS mpumbavu anaweza kuwa dikteita wa kufa mtu! Na bado akaiacha hivyo hivyo na sasa inazalisha madikiteita!
Rais-Mfalme
quotes
Tangu angalau tuwe Jamhuri mwaka 1962, Rais wa nchi yetu amekuwa na mamlaka makubwa...
Naona ipo haja ya baadhi ya nyadhifa kutofunganishwa na siasa, binafsi ningependa rais, waziri na wabunge tu ndiyo wangefaa kuchaguliwa na watumishi waliobakia watokane na michakato ya uchaguzi wa sifa.
naibu waziri,waziri,madc na marc hii nguvu ingepokonywa pamoja na uteuzi wa wakurugenzi na...
Kwa wenye kutazama vitu kwa jicho la tatu watagundua toka Mwambukusi achaguliwe kama Rais wa TLS ni kama ilikuwa inageuzwa kuwa tawi la CHADEMA.
Kwa uteuzi wa jana wa Prof. Kabudi kama waziri wa katiba na Sheria, Mwambukusi hana kwa kufurukuta tena, mtaalamu mbobezi wa sheria anaenda...
Wanabodi
Kama kawa, kila nipatapo fursa hushuka na kwa maslahi ya taifa ambazo huwa na swali, jibu utatoa mwenyewe.
Swali la leo ni kuhusu kuijua katiba yetu. Je wajua kuwa kila kura Iliyomchagua Rais Magufuli kwenye ule uchaguzi mkuu wa 2020, pia Ilimchagua Samia?. It's not right kusema Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.