Amesema mtazamo wake kuhusu katiba ni kuleta nafuu kwenye maisha ya kila siku mf.
Wanawake wasio na ajira wapewe mikopo bila riba mtu akifa maiti isidaiwe chochote na kijana akihitimu masomo na serikali haijampa ajira baada ya miaka mitano ianze kumlipa nusu mshahara mpaka atakapo pata ajira.
Hawa ccm wanafikiri watanganyika ni wadanganyika. Yaani wachota mabilioni ya Kodiak zetu kuanzisha mchakato wa katiba mpya. Halafu walivyo ona katiba mpya itawatowa madarakan8 wakaamuwa kuzima mchato mzima ,bila hata huruma ya Kodi za Masikini zilizo kwisha tumika. Sasa bila katiba mpya...
Kwa Mkuu wa Polisi Wilaya ya Same,
Kumradhi,
Ninaandika andiko hili kwa lengo la kumtetea Naibu Mhariri wa Gazeti la Jamhuri, Manyerere, ambaye anashikiliwa kwa tuhuma za kupiga picha lori la mafuta lililoanguka. Kwa kutumia hoja zifuatazo za kisheria na kikatiba, ninaomba Manyerere aachiliwe...
Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) waendesha Zoezi la kukusanya maoni ya Wananchi wa jiji la Dar es salaam juu ya katiba mpya
Kipekee napenda kuwakaribisha katika mdahalo wetu wa mchakato wa upatikanaji wa katiba mpya #KatibaMpyaNiSasa
Mariam Othuman, Mkurugenzi wa Chama cha Wanasheria...
CHADEMA, kama chama kikuu cha upinzani, imekuwa ikisisitiza hitaji la Tume Huru ya Uchaguzi na Katiba Mpya kama msingi wa kushiriki uchaguzi wowote. Msimamo huu umetokana na malalamiko ya mara kwa mara kuhusu upendeleo na ukosefu wa uwazi katika chaguzi za awali.
Hoja za Kushiriki
1...
Wakuu,
Nawashangaa nyuki wa mama na utetezi wenu wa kipuuzi, oooh ameruhusu mikutano ya siasa, oooh amerusu vyombo vya habari kuongea vitakavyo, oooh wananchi wanajiachia watakavyo mtandaoni, oooh this ...oooh that, upuuzi mtupu!
Magufuli kuminya Katiba haimpi ruhusa Rais Samia kujifanyia...
Binafsi naomba ku declare kuwa mimi mtoa post ni mshabiki wa Young Afican! Lakini kutokana na masuala yanaoyoendelea Simba nimejiuliza sana maswali ambayo kila ninapotaka jibu naona naweza lipata kupitia Katiba yao ya Simba, nikaona ni vyema nije kwa wadau wenxzangu wa michezo kuomba Katiba za...
Chama cha Umkhonto we Sizwe (MK) kinachoongozwa na Rais wa zamani wa Afrika Kusini, Jacob Zuma kimewasilisha maombi katika Mahakama ya Katiba kuzuia kikao cha kwanza cha Bunge kinachotarajiwa kufanyika Ijumaa Juni 14, 2024 kwa lengo la kuapishwa Wabunge, kufanya Uchaguzi wa Spika na Naibu Spika...
Wakuu kwema?
Serikali sasa huku mnapotupeleka kubaya, na ni uonevu wa wazi wazi kabisa. Yaani mtu anapaza sauti walimu wanadai stahiki zao badala mshughulikie malalamiko hayo mnaedna kumkamata aliyepaza sauti eti katoa taarifa bila kibali kwenye ukurasa wake wa Instagram!
Mtu anahitaji kibali...
Utangulizi. Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ilianzia mwaka 1962, wakati Tanganyika ilipopata uhuru kutoka kwa Uingereza. Katiba ya kwanza ya Tanganyika ilipitishwa mwaka 1962 na ilikuwa na mabadiliko kadhaa hadi Muungano wa Tanganyika na Zanzibar ulipoundwa mwaka 1964, kubuni Jamhuri...
Arusha: Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania
Wakili Gloria Baltazari, mwakilishi wa Mkurugenzi Mtendaji wa TLS, Bi. Mariam Othman akiwakaribisha na kutoa neno kwa washiriki wa Mjadala wa Wazi Juu ya Mabadiliko ya Katiba ya Tanzania unaofanyika jijini DArusha leo tarehe...
Wanabodi,
Hii ni makala yangu, Gazeti la Nipashe ya Leo.
Makala ya leo ni kutoa shukrani na Asante kwa Rais Samia kwa Sheria Mpya ya Uchaguzi, ila Haki ya Watanzania Kuchagua, na Kuchaguliwa, Bado Imeporwa kwa kukasimiwa kwa Vyama vya Siasa. Hili ni ombi, haki hiyo Irejeshwe kwa Wananchi...
Simply watanzania walikuwa bado hawajapevuka, hasa katika kuyaelewa mapungufu yaliyopo, na kipi walichokuwa wakikihitaji kwa wakati ule!
Just simply case!
Namshauri ajitokeze ajipange vizuri aje na hoja za kimsingi ili lawama juu yake zimuondoke, na hatimaye apumue!
Pia soma:
Kwanini Jakaya...
Kama leo imetokea umepata nafasi ya kuwa Waziri wa Katiba na Sheria, ukangalia hali ya masuala ya Kisheria nchini pamoja na mfumo wa utoaji Haki, utaanza na mabadiliko gani ili kuongeza Haki na Uwajibikaji nchini?
Ni mara ya kwanza kuandika kitu humu ila wadau wa jukwaa la katiba naomba kuuliza hivi vile vipengele wezeshi kwa vijana (enabling provision) walivyodai kuwekwa kwenye ile Katiba ya Warioba bado ni vinapewa kipaumbele kuelekea hili sakata la katiba mpya?
Au vijana tushapigwa chini watu...
Pongezi kwa Mabeyo Mkuu wa majeshi Mstaafu kwa kusaidia kutuvusha katika kipindi kigumu, baada ya hapo suala la kuifunga awamu kipindi kinachompa ruhusa ya makamu wa Rais kushika madaraka kwanini ilitokea kizungumkuti na kuamua kubadili gear angani nakuanza awamu mpya awamu ya sita lengo...
Wakuu habari za wakati.
Tunakumbuka yaliyotokea mwaka 2029 kwenye mchakato mzima wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji.
Watendaji ngazi ya mitaa na vijiji walielekezwa kuweka vikwazo kwa wagombea wasiotokana na CC kwa nafasi zote.
Wakurugenzi wa Halmashauri walishirikiana na...
Wakuu, ukweli uko wazi CCM hawaitaki katiba mpya kwasababu ndio anguko lao la kiutawala, pia uwepo wa tume huru ndio msumali wa mwisho kwenye jeneza lao la utawala wa ulaghai.
Muungano huu ni feki na hauna faida kwa watanganyika zaidi ya kuwalalia na kuwanyonya, Kinana hajaweza kujibu hoja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.