katiba

  1. T

    Je, katiba ina semaje kuapisha viongozi Ikulu ndogo Tunguu Zanzibar?

    Ndugu zangu nielewesheni inawezekana nina tongo tongo ila naona kama kuna jambo halipo sawa na kama lipo sawa basi naona kuna shida ktk katiba yetu. Kwa mujibu wakatiba Tanzania ni muunganiko wa Tanzania Bara na Tanzania visiwani. Na kwa katiba hiyo hiyo inasema patakuwa na Rais wa Tanzania na...
  2. SI KWELI Mbowe: Tumeshindwa, tuelekeze nguvu zetu uchaguzi Ujao

    Tumeshindwa,tuelekeze nguvu zetu uchaguzi Ujao
  3. Pre GE2025 Tundu Lissu: CHADEMA tutazuia Uchaguzi wa mwaka 2025 kama hakutakuwa na mabadiliko kimfumo

    Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa chama hicho hakitaruhusu kufanyika kwa uchaguzi mkuu wa mwaka 2025 endapo hakutakuwa na mabadiliko ya matukio yatakayolenga kuhakikisha chaguzi huru na za haki nchini. == "Kuanzia 2015 hakuna ushindani, hawataki uchaguzi na ukweli wa...
  4. Kamanda Muliro please trade carefully na wananchi. Polisi waishi ndani ya Katiba, Sheria na PGO imani irudi

    Kamanda Muliro nafahamu unasoma hapa jukwaani. Inawezekana mmejiundia ama kujijengea kasumba kwamba wanasiasa wanafurahia kazi yenu ya kutumia nguvu bila mizania. Mmekuwa mkiwakandamiza na kuwadharau sana wananchi wanapoonewa na askari wa chini yenu. Mmejipa majukumu ya kisiasa kinyume na...
  5. B

    Palikuwa na uamuzi na miito ya kutokushiriki chaguzi bila katiba mpya. Ya nini kulia lia sasa?

    Ni kawaida manabii kutokukubalika kwao. Lipi linalotokea kwenye kuelekea chaguzi za 2024/25 kuwa ni jipya leo? Kwamba walienguliwa wagombea, kukavurugwa kampeni, wakakamatwa wapinzani, nk? Kwamba yote hayo ni marudio ya 2019/20? Kwani hoja na makelele ya nguvu yalipotamalaki, hatukuahidiana...
  6. C

    Siasa za Tanzania bila katiba mpya ni sawa na CCM kuumiliki upinzani

    Unajua inasikitisha sana, sijui wanasiasa wa upinzani wanajali zaidi ruzuku au kushika dora? Haya manyanyaso hayatakuja kuisha sababu wanaowatuma polisi kuwanyanyasa wapinzani ni makada wa CCM, hebu fikiri mkuu wa wilaya ni mkuu wa kamati ya ulinzi wa wilaya na RPC yuko chini yake na wote...
  7. Wakati Tanzania katiba sio muhimu, Gaboni wamebadili katiba na hivyo kuhitimisha enzi za Omari Bongo

    Wakati Tanzana raia wanaambiwa kikubwa wanakula wanashiba na wanapata muda wa kujadili Yanga na Simba, Gaboni wameandika katiba mpga na hivyo kuhitimisha utawalala wa Familia ya Bongo. Kumbuka ni hadi yamefanyika Mapinduzi ya amani ndio katiba mpya imepatikana Gaboni, hii inaleta picha kwamba...
  8. Viongozi wa Upinzani DR Congo wapinga mabadiliko ya Katiba yanayoweza kumweka Rais Tshisekedi madarakani milele

    Vyama vya Upinzani vya DR Congo na Viongozi wa Mashirika ya kiraia mwishoni mwa juma walitangaza Muungano wa kupinga mabadiliko ya Katiba ambayo huenda yakamweka Rais Felix Tshisekedi Madarakani kwa muda usiojulikana. Muungano huo uliopewa jina la ‘Uamsho wa Kitaifa’, utafanya mkutano wake wa...
  9. Tuijue Katiba: Rais akifia madarakani, basi makamu wake aliyegombea naye akapigiwa kura anarithi. Je, vipi kama makamu hakupigiwa kura?

    Kuna ibara kwenye Katiba ya Tanzania kwamba endapo Rais aliyeko madarakani akakosa uwezo wa kuendelea kuongoza, basi Makamu wake ambaye amepigiwa kura na wananchi wakati wa uchaguzi mkuu atachukua nafasi yake! Tuelimishane hapa! Vipi Kama Makamu wake alipatikana bila kupigiwa kura na wananchi...
  10. R

    Kwa KATIBA hii ya sasa, hakuna Jaji anayeweza kutoa maamuzi ya haki hasa pale "anapopigiwa simu" na EXECUTIVE

    1. Ujaji ni "fadhilia" ya Executive arm 2. Bado kwa nyakati za KATIBA hii, hakuna jaji anyeweza kutoa maamuzi dhidi ya Bunge. Lazima apigiwe simu kama alivyosema Rostam. 3. Kuna kesi nyingi duniani from common law jurisdiction, ambazo mahakama iliingilia bunge ilipothibitika kuwa Spika...
  11. Katiba na Sheria yawakutanisha Wadau kujadili utekelezaji wa mikataba ya Haki za Binadamu

    Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu pamoja na Mkataba wa Haki za Wanawake barani Afrika...
  12. T

    Kutoka Kenya: Mchakato wa wenzetu kumng'oa Naibu Rais unaumbua ubovu wa katiba yetu

    Kwa kadri nilivyofuatilia Mchakato wa kumng'oa Naibu Rais wa Kenya nimejifunza kwamba tuna kazi kubwa sana ya kufanya ili kupata katiba inayolinda maslahi ya wananchi. Yaani hapa kwetu ukiwa wewe ni Mbunge Rais hata Diwani ukikosana na mwenyekiti wako wa chama akakufukuza uanachama basi...
  13. A

    Mapungufu ya katiba ya JMT

    Katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ya mwaka 1977, licha ya kuwa msingi wa utawala na sheria nchini, imekuwa ikikabiliwa na changamoto kadhaa ambazo zimeibua mijadala kuhusu umuhimu wa kuifanyia marekebisho au kuandika katiba mpya. Baadhi ya mapungufu yake ni pamoja na: 1. Madaraka...
  14. Kipengele gani cha Katiba ya Tanzania kinachopiga marufuku uraia pacha?

    Ni sehemu gani katika Katiba ya Tanzania inaposema ukiwa raia Mtanzania ukachukua uraia wa nchi nyingine unakuwa umepoteza uraia wa Tanzania?
  15. Sitashiriki chaguzi za serkali za mitaa wala serikali kuu mpaka KATIBA mpya yenye maoni yetu itakapothaminiwa.

    Tunataka Katiba Mpya,hatutaki uchafuzi tena kinachofanyika ni kiini macho. Waziri Mchengerwa hastahili kusimamia uchaguzi kutokana na kuwa mwanafamilia wa Rais ambaye ni mwenyekiti wa chama kinachowania serkali za mitaa na serkali kuu.
  16. G

    Ni halali kwa katiba ya CCM kuchapisha fomu moja tu kwa ajili ya Samia kugombea urais 2025?

    Katiba ya CCM inaruhusu ubakwaji huu wa demokrasia ndani ya chama? Kama Samia anaupiga na kuutwanga mwingi, anaogopa nini kushindana na wanachama wenzake?
  17. K

    Naungana na Dkt. Lwaitama kuhusu Katiba Mpya

    Kwanza niwashukuru wale wate waliotoa mada na waliotoa maoni kwenye Kongamano lililopangwa na TLS. Ahsanteni sana. Kipekee naungana na wazo la Dr. Lwaitama kuwa ni muda muafaka suala la Katiba mpya lianze na wakati wa kuandika katiba hiyo wasijumuishwe Vyama vya Siasa na jukumu hili waachiwe...
  18. Pre GE2025 Katiba ya Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania iko wazi katika ibara ya 40 inamruhusu Rais Samia kugombea 2025

    Tuyaeewe maandiko ,binafsi sio mfuasi wa hao CCM lakini ukisoma vizuri ibara ya 40 inamruhusu mama Samia kugombea 2025 tuache upotoshaji Rais Samia kakaa ofisi zaidi miaka 3 hivyo haruhusiwi kugombea 2030 ila kwa kipindi kimoja 2025 anaruhisiwa Soma Pia: Naombeni kujulishwa kifungu...
  19. Ubovu wa Katiba kumuondoa madarakani naibu wa Rais Kenya

    Ni baada ya kuonekana akimuhujumu Rais, akihubiri na kuchochea chuki na migawanyiko ya kisiasa yenye mirengo kikabila na upendeleo wa watu wa kabila na eneo lake la Milima Kenya. Naibu wa Rais amekiuka sheria na misingi ya kikatiba ya Kenya ya kua nembo ya umoja wa Taifa na kiunganishi cha...
  20. Pamoja na katiba kutoa kinga, kama haya yalitokea kwa National Audit Office, si kuwa yanatokea kwenye NEC pia?

    Kikatiba the National Audit Office imelindwa sana ili isiingiliwe kabisa na mamlaka ya juu ya nchi. Lakini kwa mujibu wa Prof. Assad, ofisi hiyo iliingiliwa. Sasa mwaka huu na mwaka kesho tuna uchaguzi, je, NEC, yaani Tume ya Taifa ya Uchaguzi ambayo kikatiba ni huru na haiingiliwi na mamlaka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…