Katiba Mpya imekuwa ndo wimbo pendwa kwenye midomo ya wanasiasa wengi kwasasa kwahiyo na mie Mtanzania Mnyonge, Msaka Tonge, Niliyesoma shule ya Saint Kayumba ya Kidumu na Ufagio kisha Sekondari ya Kata naomba kwenye hiyo Katiba Mpya Kama kweli itakuja basi iwepo sheria ya kuwanyonga Mafisadi...