katibu mkuu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tlaatlaah

    Kongole nyingi sana kwa Dr. Nchimbi kazi yako inaonekana baba

    Chama kimetulia, chama kina kubalika, chama kinaaminika, chama kimeimarika mno. Ruvuma na Songea wamedhihirisha kwamba wewe Dr Emmanuel Nchimbi katibu mkuu CCM Taifa, ni agenda ya Taifa na karata muhimu ya chama, wanainchi na serikali baada ya Dr. Samia Suluhu Hassan kuhitimisha majukumu yake...
  2. Waufukweni

    Boniphace Mwabukusi: CHADEMA njia waliyoitumia ni sahihi, hata Katibu Mkuu wa CCM anakubali kuna shida

    Rais wa Chama cha Wanasheria Tanganyika (TLS) Wakili Boniface Mwabukusi ameeleza kuwa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kilikuwa sahihi kutumia njia ya maandamano kufikisha ujumbe pamoja na kushinikiza serikali pamoja na jeshi la polisi kutoa majibu na kuwajibika juu ya kupotea na...
  3. L

    Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Aimiminia Sifa Na Pongezi Tanzania kwa Kuwa Kinara wa Amani Barani Afrika.

    Ndugu zangu Watanzania, Katibu Mkuu wa Umoja wa Mataifa Mheshimiwa Antonio Guterres Ameimiminia sifa na pongezi kubwa sana Tanzania chini ya uongozi shupavu, imara na madhubuti wa Rais wetu mpendwa na Jemedari wetu kipenzi Mheshimiwa Daktari Mama Samia Suluhu Hasssan kwa kuwa Kinara wa Amani...
  4. Waufukweni

    Pre GE2025 John Mnyika: Rais Samia lazima aondolewe Madarakani Uchaguzi Mkuu ujao

    Katibu mkuu wa CHADEMA, John Mnyika, amesisitiza kuwa ni lazima Rais Samia aondolewe madarakani katika Uchaguzi Mkuu ujao. Mnyika anasema kuwa Rais ameshindwa kusikiliza sauti za wananchi na Jumuiya za Kimataifa, ambao wamepaza sauti kuhusu tishio la amani nchini kufuatia kifo cha Ally Kibao...
  5. B

    Swali kumhusu Lissu lamkera Katibu Mkuu DP

    Clip inajieleza wazi: Kulikoni kiongozi huyu kukasirishwa mno na swali hili?
  6. R

    Viongozi wa CCM na kauli kinzani kwenye suala la utekaji, wananchi wabebe lipi?

    Salaam, Shalom! Sintofahamu inaendelea katika vyama vya siasa, wakati huu ni chama cha kijani. Katibu Mkuu wa chama cha kijani ametoka mbele na kukubali kukaa meza moja na kupata picha ya pamoja na katibu mkuu mwenzie wa chama cha bluu, akaenda mbali zaidi kwa kukemea mauaji ya wananchi...
  7. S

    Katibu Mkuu wa CCM, Dr. Emmanuel Nchimbi, jitokeze kujibu hoja hizi za Bonifa Jacob alizozitoa kupitia mtandao wa X

    CCM ILITELEZA HAPA, IKAANGUKIA HAPA...! Nimemsikiliza Dr.Emmanue Nchimbi kwa zaidi ya mara tano kwa utulivu mkubwa sana. CCM naijua lakini Dr. Emmanuel Nchimbi namfahamu vizuri sana. Binafsi sioni ghilba wala ulaghai nikitazama “demeanour” yake na facial expression yake haina chembe ya uongo...
  8. Tango73

    Kocha wa Taifa Stars awe na hadhi ya Waziri, Katibu Mkuu AU na siyo hadhi ya katibu kata

    Taifa stars ni timu pekee yenye wapenzi wengi sana kuliko ilivyo kwa Simba na Yanga. Kocha yeyote ambaye atateuliwa kuifundisha timu yetu ya taifa stars lazima awe amesheheeni sifa nzuri za mafanikio huko alikotoka na hata kwetu hadhi yake iwe ya kibalozi, uwaziri au katibu mkuu African unity...
  9. B

    Ridhiwani Kikwete ashiriki ziara ya Katibu Mkuu wazazi- Bagamoyo, aeleza utekelezaji wa Ilani ya CCM na ushiriki uchaguzi Serikali za mitaa

    Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu - Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Ridhiwani Kikwete ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Chalinze lililopo Wilaya ya Bagamoyo mkoani Pwani ameshiriki kupokea Ugeni wa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi Taifa Cde Ally Salum Hapi katika wilaya ya Bagamoyo...
  10. Determinantor

    Pre GE2025 Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kukimbia mdahalo

    Naunga mkono Katibu Mkuu wa CCM kutokushiriki mdahalo huru, huu huenda ukawa mtazamo Wangu binafsi tu. 1. Nchimbi aliona sio vyema kubeba Aibu kama yeye binafsi 2. Huenda haamini Sana kwenye uongo (msisitize "huenda") 3. DHAMBI ya Uongo ni Mbaya na karma yake haiwezi kukuacha huru KAMWE 4...
  11. P

    Pre GE2025 Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa: Nchimbi kaingia mitini, wengine wagoma kushiriki!

    Fuatilia live Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM. Fuatilia mubashara Mdahalo wa Makatibu Wakuu wa Vyama vya Siasa Maktaba ya UDSM ambapo wanaotazamiwa kushiriki ni; 1. Dk. Emmanuel Nchimbi - CCM 2. Martha Chiomba - NNCR Mageuzi 3. Ado Shaibu ACT Wazalendo 4. Ahmad...
  12. Mkalukungone mwamba

    Pre GE2025 Katibu Mkuu CUF: Uchaguzi Mkuu CUF Utapita Bila Mgogoro, Wanachama hawana Tamaa ya Madaraka

    Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi CUF Mheshimiwa Hamad Masoud amesema kuelekeka uchaguzi Mkuu ndani ya chama hicho ngazi ya Taifa, hakutakua na mgogoro wowote kwa kuwa wanachama hao hawana tamaa ya madaraka Hamad ameeleza hayo wakati akichukua fomu ya Kugombea nafasi ya Uenyekiti Taifa wa...
  13. Zeyfu_ed

    SI KWELI John Mnyika ajiuzulu nafasi ya Katibu Mkuu CHADEMA

    Mbona mmekaa nayo kina John Mrema au hamtaki watanzania wajue...? Pole sana kamanda Mnyika ila nakupongeza kwa uamuzi huu muhimu na Mkubwa uliochokiamua ni ishara Tosha kuwa hukubaliani na wizi unaoendelea ndani ya Chadema
  14. U

    Kikao cha maandalizi ya Maulid ya kitaifa kufanyika Geita

    Katibu Mkuu BAKWATA alhaj Nuhu Jabir Mruma anaongoza kikao cha Bakwata mikoa sita kinachofanyika ukumbi wa maonyesho EPZ mjini Geita. Kikao hiki kinashirikisha masheikh, makatibu, wenyeviti, wahasibu na wajumbe wawakilishi wa halmashauri ya Bakwata taifa wawakilishi wa mikoa pamoja na...
  15. Travelogue_tz

    KERO Barua ya wazi kwa Waziri wa Afya, Katibu Mkuu na Mkurugenzi Mkuu wa NHIF

    YAH: MALALAMIKO KUHUSU ZUIO LA USAJILI WA POLYCLINICS (KLINIKI ZA KIBINGWA) MPYA KATIKA MFUKO WA TAIFA WA BIMA YA AFYA (NHIF) Mhe. Waziri wa Afya, Katibu Mkuu wa Afya, Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Sisi, wadau wa sekta ya afya nchini Tanzania, tunakuandikia barua hii kwa nia ya kuwasilisha...
  16. Ojuolegbha

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita .

    Ziara ya Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi CCM Dkt Emmanuel John Nchimbi na Wajumbe wa Sekretarieti ya Halmashauri Kuu ya CCM Taifa Mkoani Geita . #ChamaImaranaSSH #KaziIendelee
  17. Ojuolegbha

    Pre GE2025 Mkutano mkubwa wa hadhara wa Katibu Mkuu wa CCM Dkt. Nchimbi

    Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Dkt. Emmanuel Nchimbi leo alasiri anatarajiwa kuzungumza na wananchi wa Lindi kwenye mkutano mkubwa wa hadhara utakaofanyika Uwanja wa Mpilipili, Mjini Lindi. Balozi Nchimbi na msafara wake, atapokelewa rasmi katika Ofisi za CCM za Mkoa huo, ambapo...
  18. Matulanya Mputa

    Mkuu wa mkoa wa Mtwara kuonekana kavaa nguo za chama cha Mapinduzi wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ ni sahihi?

    Picha kama inavyojionesha kwa mkuu wa mkoa wa Mtwara leo tarehe 28.07.2024 kuonekana kavaa nguo za chama cha CCM wakati yeye ni mtumishi wa JWTZ je leo jeshi letu ni CCM au ndyo utaratibu wa kijeshi. Mkuu wa majeshi kwa kukomesha ili mchukulieni hatua mkuu wa Mtwara kwa kuvunja kanuni za JWTZ...
  19. L

    Balozi Dkt Emmanueli Nchimbi Katibu Mkuu wa CCM Kuongoza Secretarieti Katika Ziara Nzito ya Mikoa Ya Kusini

    Ndugu zangu Watanzania, Wakati vyama kama CHADEMA viking'ang'aniana na kila mtu akijitangaza kuwa ndiye mgombea Urais,wakati CHADEMA ikiendelea kupukutika na kukimbiwa na wanachama wote wenye akili Timamu na wanaojitambua,wakati vyama kama CHADEMA vikiwa vimepotea kabisa mitaani kutokana na...
  20. Tajiri wa kusini

    Katibu mkuu kiongozi kiongozi umeshindwa kumshauri Rais kuhusu mishahara ya watumishi wa umma? Tukiibia serikali mtatulaumu?

    Just imagine kwenye harusi moja ya mtoto wa kiongozi mmoja wa serikali ya mapinduzi zanzibar amezawadiwa bilioni 1.5 ndiyo 1.5 bilion hizo pesa zinatoka wapi? Sio kama wizi nini? Mtumishi wa umma unapataje kiasi chotee cha pesa hiko? Hii haikubaliki hata kidogo Yaani haiwezekani mtumishi wa...
Back
Top Bottom