Katibu wa Mkoa wa Mbeya Hamadi Mbeyale amekamatwa na Jeshi la Polisi tangu Jana Tarehe 01 Novemba, 2026 majira ya Jioni na muda huu wametoka nyumbani kwake kufanya Upekuzi bila kusema Wanamshikilia kwa Kosa Gani, Wamempeleka katika Kituo Cha Polisi (Central).
Soma Pia:
Katibu wa CHADEMA...
Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Kanda ya Nyasa kimesema kinafuatilia taarifa za kuchukuliwa kwa Katibu wake wa Kanda hiyo, Grece Shio, ambaye inadaiwa alichukuliwa na watu waliojitambulisha kuwa polisi usiku wa kuamkia leo akiwa nyumbani kwao Kimara, Dar es Salaam.
Taarifa...
Katibu wa Chadema mkoa wa Mara anetoa wito huo akirejea mifano ya Nelson Mandela alivyoweza kukaa meza moja na makaburu na muafaka ukapatikana.
My Take:Inaelekea kuna misimamo miwili kinzani ndani ya CDM juu ya hatua za kufanya katika utatuzi wa maswala muhimu ndani ya chama chao.
Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Lushoto, Jerida Ramadhani Ngosha, amesema aliomba msamaha kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuitwa kwenye kikao Korogwe, lakini akasisitiza kuwa msamaha huo haukutoka moyoni.
Ngosha amesema walifika Korogwe kwa mwaliko wa uongozi wa chama kwa lengo la...