Jerida Ngosha: Niliomba msamaha kwa makamu mwenyekiti ila msamaha haukutoka moyoni

Mawele

Platinum Member
Joined
Jul 25, 2023
Posts
1,161
Reaction score
4,251

Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Lushoto, Jerida Ramadhani Ngosha, amesema aliomba msamaha kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuitwa kwenye kikao Korogwe, lakini akasisitiza kuwa msamaha huo haukutoka moyoni.

Ngosha amesema walifika Korogwe kwa mwaliko wa uongozi wa chama kwa lengo la kusikilizwa kuhusu malalamiko yao, lakini badala yake waliombwa kukiri makosa na kuomba msamaha bila kupewa nafasi ya kueleza kwa kina chanzo cha malalamiko yao.

Soma: Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

Amesema baadhi ya viongozi wenzake waliondoka kwenye kikao hicho kutokana na kutoridhishwa na namna walivyoshughulikiwa, huku yeye akibaki na kuendelea kutoa ushirikiano.

Ameomba CHADEMA kuhakikisha masuala ya malalamiko ndani ya chama yanashughulikiwa kwa haki, kwa kutoa nafasi kwa kila upande kujieleza kabla ya kuchukuliwa hatua.

Pia soma: Waliomtuhumu Heche waanza kutii hadharani, wengine wasema hawawezi kuomba msamaha mbele ya kamera
 
Kiswahili nacho ni kigumu. Anayeomba msamaha ana msamaha gani tena wa kutoa moyoni? Mimi nilidhani anayeombwa msamaha ndiye anayeweza kutoa msamaha!
 
Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Lushoto, Jerida Ramadhani Ngosha, amesema aliomba msamaha kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuitwa kwenye kikao Korogwe, lakini akasisitiza kuwa msamaha huo haukutoka moyoni.

Ngosha amesema walifika Korogwe kwa mwaliko wa uongozi wa chama kwa lengo la kusikilizwa kuhusu malalamiko yao, lakini badala yake waliombwa kukiri makosa na kuomba msamaha bila kupewa nafasi ya kueleza kwa kina chanzo cha malalamiko yao.

Soma: Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

Amesema baadhi ya viongozi wenzake waliondoka kwenye kikao hicho kutokana na kutoridhishwa na namna walivyoshughulikiwa, huku yeye akibaki na kuendelea kutoa ushirikiano.

Ameomba CHADEMA kuhakikisha masuala ya malalamiko ndani ya chama yanashughulikiwa kwa haki, kwa kutoa nafasi kwa kila upande kujieleza kabla ya kuchukuliwa hatua.

Pia soma: Waliomtuhumu Heche waanza kutii hadharani, wengine wasema hawawezi kuomba msamaha mbele ya kamera
hii ni kutest mitambo tu kwaajili ya mkutano mkuu wa baraza kuu la chadema taifa, September 15 🐒
 
Lipenda rushwa na lijizi linatamani sana na CHADEMA wapende rushwa na wawe majizi kama yeye. Exactly sifa za shetani anataka kila mtu awe mtenda dhambi kama yeye
fisadi heche anakataliwa kila kona ya nchi na wanachama wake 🐒
 
Mbowe ataipasuwa CDM kwa msaada wa CCM, wavaa ushungi wote wataenda na Mbowe.
 
Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Lushoto, Jerida Ramadhani Ngosha, amesema aliomba msamaha kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuitwa kwenye kikao Korogwe, lakini akasisitiza kuwa msamaha huo haukutoka moyoni.

Ngosha amesema walifika Korogwe kwa mwaliko wa uongozi wa chama kwa lengo la kusikilizwa kuhusu malalamiko yao, lakini badala yake waliombwa kukiri makosa na kuomba msamaha bila kupewa nafasi ya kueleza kwa kina chanzo cha malalamiko yao.

Soma: Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

Amesema baadhi ya viongozi wenzake waliondoka kwenye kikao hicho kutokana na kutoridhishwa na namna walivyoshughulikiwa, huku yeye akibaki na kuendelea kutoa ushirikiano.

Ameomba CHADEMA kuhakikisha masuala ya malalamiko ndani ya chama yanashughulikiwa kwa haki, kwa kutoa nafasi kwa kila upande kujieleza kabla ya kuchukuliwa hatua.

Pia soma: Waliomtuhumu Heche waanza kutii hadharani, wengine wasema hawawezi kuomba msamaha mbele ya kamera
Hii mbinu ilisha feli vibaya sana mnapoteza muda tuu
 
Mbowe ataipasuwa CDM kwa msaada wa CCM, wavaa ushungi wote wataenda na Mbowe.
Sioni CHADEMA ikipasuka. Atakachoweza ni kuimarisha zaidi CHADEMA. Ni kweli CCM inaweza kuwaonga baadhi ya viongozi wa chadema kama ilivyozoea. Lakini wanasahau kwamaba msimamo wa Lissu, Heche, John Mnyika et al ni game changer kwenye siasa za tanzania. CCM bado wanadhani fedha ndio itakayoisambaratisha CHADEMA, hizo ni zilipendwa.
Kama wameshindwa kumpiga mchungaji then amini kuwa kondoo hawatatawanyika
 
Watu wanafiki sana kuna hayo mazuzu hapo yamekazana peoples! nyokooooo! Wanadhani watanganyika bado wanaujinga wa kiccm, hawasemi udikteta wa ccm ambao hadi wanafila hadi wana ccm wenzao, huyu kweli **** kunuka. Hiyo mbinu achaneni nayo ilisha feli
 
Katibu wa CHADEMA Wilaya ya Lushoto, Jerida Ramadhani Ngosha, amesema aliomba msamaha kwa Makamu Mwenyekiti wa chama hicho baada ya kuitwa kwenye kikao Korogwe, lakini akasisitiza kuwa msamaha huo haukutoka moyoni.

Ngosha amesema walifika Korogwe kwa mwaliko wa uongozi wa chama kwa lengo la kusikilizwa kuhusu malalamiko yao, lakini badala yake waliombwa kukiri makosa na kuomba msamaha bila kupewa nafasi ya kueleza kwa kina chanzo cha malalamiko yao.

Soma: Aliyemtuhumu Heche kula hela za CHADEMA aomba radhi, Baraza la Wazee Lushoto wamsamehe na kumrudisha kwenye nafasi yake ya ukatibu

Amesema baadhi ya viongozi wenzake waliondoka kwenye kikao hicho kutokana na kutoridhishwa na namna walivyoshughulikiwa, huku yeye akibaki na kuendelea kutoa ushirikiano.

Ameomba CHADEMA kuhakikisha masuala ya malalamiko ndani ya chama yanashughulikiwa kwa haki, kwa kutoa nafasi kwa kila upande kujieleza kabla ya kuchukuliwa hatua.

Pia soma: Waliomtuhumu Heche waanza kutii hadharani, wengine wasema hawawezi kuomba msamaha mbele ya kamera
Hili ni tatizo kubwa la Chadema. Tumeona kwa wale G55 ambao waliambiwa kuwa watapewa nafasi ya kujieleza lakini wakaishia kusimangwa. Tuliona jinsi Heche hakutaka kumsikiliza Sigrada na kumbeza baada ya kuumizwa na mlinzi wake. Chadema inaiga mambo ya CCM ( zidumu fikra sahihi za viongozi wetu n.k.) badala ya kujitofautisha nao. Sidhani kama kutakuwa na mabadiliko yeyote ya maana Chadema ikishika dola. Itakuwa ubabe ule ule. Na kwa vile kinajiona kuwa ndio chama pekee kinachostahili kuitwa upinzani, kitawaumiza wengi

Amandla...
 
Usiwe unaropoka usiyoyajua. Sigrada alipewa muda mrefu sana wa kujieleza kwenye kikao, mbele ya wajumbe waliokuwa wanajua kila kitu juu ya chuki zake dhidi ya Tose Mayemba. Malalamiko yake yalijaa majungu matupu. Heche kwa kuwa hakuwa na uhakika na tuhuma zake, aliwauliza wajumbe. Kila mjumbe akazikataa tuhuma zake. Kila mjumbe aliposimama kutoa maoni yake, Sigrada alipoambiwa atulie hakutaka. Baadaye akaambiwa atoke nje, asubiri atakapoitwa.

Nje akaanza kulazimisha kurudi ndani. Akaanza kumdukuma mlinzi. Mlinzi naye alioomsukuma, Sigrada akaanguka. Na hayo yalifanyika mbele y polisi ambao wlikuwa wakilinda kikao. Sigrada aliposimama, akazira na kwenda baa ambako alibugia bia mpaka sa 8 usiku alipodai kusikia kuumwa. Hata alipoenda hospitali, ilishindikana kumpa baadhi ya matibabu kutokana na kiwango kikubwa cha pombe mwilini.
Wewe unadhani kama mlinzi angekuwa alimpiga Sigrada, polisi wliokuwepo hapo wangeshindwa kumdhibiti huyo mlinzi?
 
Usiwe unaropoka usiyoyajua. Sigrada alipewa muda mrefu sana wa kujieleza kwenye kikao, mbele ya wajumbe waliokuwa wanajua kila kitu juu ya chuki zake dhidi ya Tose Mayemba. Malalamiko yake yalijaa majungu matupu. Heche kwa kuwa hakuwa na uhakika na tuhuma zake, aliwauliza wajumbe. Kila mjumbe akazikataa tuhuma zake. Kila mjumbe aliposimama kutoa maoni yake, Sigrada alipoambiwa atulie hakutaka. Baadaye akaambiwa atoke nje, asubiri atakapoitwa. Nje akaanza kulazimisha kurudi ndani. Akaanza kumdukuma mlinzi. Mlinzi naye alioomsukuma, Sigrada akaanguka. Na hayo yalifanyika mbele y polisi ambao wlikuwa wakilinda kikao. Sigrada aliposimama, akazira na kwenda baa ambako alibugia bia mpaka sa 8 usiku alipodai kusikia kuumwa. Hata alipoenda hospitali, ilishindikana kumpa baadhi ya matibabu kutokana na kiwango kikubwa cha pombe mwilini.
Wewe unadhani kama mlinzi angekuwa alimpiga Sigrada, polisi wliokuwepo hapo wangeshindwa kumdhibiti huyo mlinzi?
Huyu jamaa anajitoaga ufahamu wala usihangaike naye. Ni wale team Mbowe waliohamia ''CHAUMWA'' wakidhani ni watu maarufu lakini wananchi wakawapuuza. Sasa Mrema au James Mbowe ni watu wenye hoja za kuvutia wananchi?
 
Hili ni tatizo kubwa la Chadema. Tumeona kwa wale G55 ambao waliambiwa kuwa watapewa nafasi ya kujieleza lakini wakaishia kusimangwa. Tuliona jinsi Heche hakutaka kumsikiliza Sigrada na kumbeza baada ya kuumizwa na mlinzi wake. Chadema inaiga mambo ya CCM ( zidumu fikra sahihi za viongozi wetu n.k.) badala ya kujitofautisha nao. Sidhani kama kutakuwa na mabadiliko yeyote ya maana Chadema ikishika dola. Itakuwa ubabe ule ule. Na kwa vile kinajiona kuwa ndio chama pekee kinachostahili kuitwa upinzani, kitawaumiza wengi

Amandla...
Wewe ni mwongo mkubwa. Wale 55, waliitwa kwenye kikao ili watoe hoja zao, wakakubali, lakini siku ya kikao wakadai kuwa wao wana kikao na wanahabari. Ulitaka CHADEMA ifanye nini? Imfuate kila mmoja nyumbani kwake kwenda kumhoji? Ukumbuke kuwa wale 55 baada ya kupokea hongo, hawakutaka kuhudhuria kikao chochote, wakaanza kutangaza kimakundi kuwa wanaenda CHAUMA. Wale hawkuwa na haja ya kutaka kusikilizwa na yeyote kwa sababu mikakati yao waliyokuwa wamrpanga ilikuwa kuiua CHADEMA, na kutengeneza chama kingine. Walikuwa busy kuwashawishi wanachama na viongozi mbalimbali ili wahame na kundi kubwa. Wanachama na wananchi kwa ujumla, wakawadharau.
 
Huyu jamaa anajitoaga ufahamu wala usihangaike naye. Ni wale team Mbowe waliohamia ''CHAUMWA'' wakidhani ni watu maarufu lakini wananchi wakawapuuza. Sasa Mrema au James Mbowe ni watu wenye hoja za kuvutia wananchi?

Kama ni ile team Mbowe ya CHAUMA, basi hana lolote. Na ajue kuwa hata malipo ya CCM kwao yatadorora sana maana walichowaaminisha wauaji kuwa wana uwezo wa kuiua CHADEMA, hakitafanikiwa, na wauaji wataona hakuna sababu ya kuendelea kuwapa pesa.
 
Back
Top Bottom