Katibu Mkuu wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) Ndg. Daniel Chongolo amefanya mazungumzo na Balozi wa Angola nchini Tanzania Mhe. Sandro de Oliveira
Mazungumzo hayo yamefanyika leo tarehe 09 Septemba, 2021 Makao Makuu ya CCM Dodoma, ambapo Balozi aliambatana na mwakilishi wa Chama Tawala cha Angola...