Rais Magufuli leo saa 3.00 asubuhi ananamuapisha Katibu mkuu kiongozi mteule Dr Bashiru Ally.
Tukio hili muhimu litakuwa mubashara katika luninga zote za ndani zikiwemo Upendo tv, ITV, TBC, Channel ten, Star tv nk
Karibu.
Updates:
Rais Magufuli ameshaingia ukumbini na Dr Bashiru anakula...
Mkuu wa mkoa Tanga ni Miongoni mwa Majina yaliyoko mezani kwa mkuu likiwa ndani ya majina mengine mawili yaani Harrison Mwakyembe na Asha Rose Migiro.
Ila kwa wanaojua wanaona upepo unamnyemelea Shigella anakijua sana chama chetu.
Hata hivo kuna Wanazuoni wawili ambao Mkuu amesema nao...
Napongeza uteuzi wa Dk. Bashiru kuwa Katibu Mkuu kiongozi kwa sababu moja.
Nilipokuwa mhadhiri wa business administration mahali nilifundisha sana juu ya teamwork.
Kuna nadharia nyingi. Lkn pointi kuu ni kwamba kama unataka timu nzuri ya mpira unahitaji watu 11 wenye vipaji tofauti na...
Kwanza poleni sana kwa misiba iliyoikumba nchi yetu.
Pili, watu huelewa uchapakazi wako bila wewe kuwaambia.
Wanaweza wakakupendekeza kama uchapakazi wako ni mzuri au wasikupendekeze kulingana na uchapakazi wako wa hovyo hovyo.
Ile watu wakisema fulani anafaa basi hata usipopewa nafasi hiyo...
Katibu Tawala wa Mkoa wa Kagera, Prof. Faustine Kamuzora amewaagiza maofisa wa idara ya elimu katika mkoa huo kutathimini sababu zinazochangia wimbi kubwa la walimu wa shule za msingi na sekondari mkoani humo za kuchukua uamzi wa kuomba kustaafu kazi kabla ya kufikisha umri wa miaka 60 wakati...
Anatuhumiwa kushiriki rushwa wakati wa mchakato wa kumpata Meya wa Manispaa hiyo.
Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa CCM Mh Magufuli akiwa ziarani Mkoani humo.
====
Katibu CCM asimamishwa kwa rushwa, Magufuli asema…
KATIBU wa Chama Cha Mapinduzi (CCM), Mkoa wa Morogoro, Shaka Hamidu Shaka...
Salaam Wakuu,
Habari Mbaya ni kwamba Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Bw.Richard Kwitega amefariki Dunia kutokana na ajali.
Richard Kwitega kafariki alasiri ya leo kwa ajali ya gari katika kituo cha afya cha Magugu. Alikuwa anaenda Dodoma Kikazi, alipofika maeneo ya Mdori Manyara gari lake...
Balozi Richard Mariki amefariki Jumapili iliyopita.
Amesumbuliwa na changamoto ya kupumua kwa muda mfupi.
Anakumbukwa kwa ustaarabu wake na alikuwa muumini pale Mbezi Beach KKKT.
Tarehe 16 Januari, 2021 siku ya Jumamosi chama kilifanya Kikao cha Halmshauri kuu ya Taifa kwenye ukumbi wa msimbazi Center, Jijini Dar es Salaam.
Kikao hicho kilikuwa na ajenda kuu 2
Kufanya tathimini ya uchaguzi wa mwaka 2020
Kujaza nafasi zilizo wazi ndani ya chama.
Kwa mujibu wa katiba...
Kutoheshimu katiba ya nchi unayo apa kuifuata na kuilinda ni kosa kubwa la pili baada ya uhaini na mauaji.
Spika wa Bunge Job Ndugai na Katibu wa Bunge wanapaswa kupelekwa mahakamani kama sio leo basi baada ya utawala huu unaowalinda kuondoka madarakani.
Sakata la Wanachama wa CHADEMA...
Pamoja na kuwa Katibu wa Mkoa wa Mbeya, Brother Boyd alikuwa pia diwani wa Kata ya Forest, aliyewatumikia wananchi pamoja na chama chake kwa uaminifu mkubwa sana.
Tunamuomba Mwenyezi Mungu aipokee roho yake.
Amina
Kwanini Katibu Mkuu wa CCM azungumzie na kuonya watendaji wa serikali? Katibu Mkuu Kiongozi kazi yake ni kutangaza watenguliwa na wateuliwa tu? Yeye siyo sehemu ya mamlaka ya nidhamu ya watumishi wa umma?
Wakoloni (Wajerumani hasa) walitumia Sana huu utaratibu wa kuchapa watu wazima pale Bomani...
Updates :-
RAIS wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amemuapisha Mhandisi Zena Ahmed Said kuwa Katibu wa Baraza la Mapinduzi na katibu Mkuu Kiongozi, akichukua nafasi ya Dkt. Abdulhamid Yahya mzee aliestaafu. Hafla hiyo ya kiapo imefanyika Ikulu Jijini...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.