katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Erythrocyte

    Mwanza: BAWACHA wapata safu mpya ya uongozi wa Kitaifa: Sharifa Suleiman, Catherine Ruge, Bahati Chumu, Nuru Ndossi, Aisha Machano

    Amechaguliwa leo kwenye Mkutano Maalum ulioitishwa Mwanza ili kuziba pengo la wale Corona 19 waliovuliwa uanachama. ===== Sharifa akabidhiwa mikoba ya Mdee Bawacha Chama cha Chadema kimemteua Sharifa Suleiman kuwa kaimu mwenyekiti wa Baraza la wanawake la chama hicho (Bawacha) ambapo...
  2. J

    Hongera Bi Nenelwa Muhambwi kuteuliwa kuwa Katibu wa Bunge, katende haki!

    Binafsi nampongeza sana bi Nenelwa Muhambwi kwa kuteuliwa kuwa Katibu wa bunge la JMT. Katibu wa bunge ndio kiungo muhimu kati ya bunge na serikali tuna imani utakwenda kutenda haki. Kadhalika utawakuta wale wabunge 19 wa Chadema ambao ubunge wao una utata, Tafadhali kamshauri ipasavyo mh...
  3. M

    TAMISEMI njooni muondoe wezi Tanga Jiji na Mkinga

    Ninawasalimu wanajukwaa wa JF Wakati Mh.Rais akitembea na kauli mbiu ya kazi iendelee,wapo manaibu makatibu wawili wa Tume ya Utumishi wa Walimu(TSC) wa wilaya za Tanga Jiji na Mkinga Halmashauri kauli yao itakua wizi unaendelea. Wanafanya wizi wa dhahiri,unyanyasaji,uonevu na ukandamizaji wa...
  4. T

    Hongera Rais Samia, kitendawili cha uhamisho wa watumishi chateguliwa na Katibu Mkuu Tamisemi, Prof. Riziki Shemdoe

    Prof. Shemdoe atengua kitendawili cha uhamisho Nteghenjw Hosseah, OR-TAMISEMI Katibu Mkuu Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Prof. Riziki Shemdoe amesema uhamisho wa watumishi wa Tawala za Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa utafanyika mara nne kwa mwaka yaani kila robo ya...
  5. The Mongolian Savage

    VIDEO: Aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango

    Yeereeeeeh! Maisha yanaenda kasi sana na kubadilika ghafla. Video hapo chini aliyekuwa katibu mkuu CCM alivyosimamisha Msafara wake kusoma mabango.
  6. J

    Cheo ni dhamana: DC amekuwa Katibu mkuu CCM na RC amekuwa Naibu Katibu mkuu, siasani siyo jeshini!

    Ni katika kuwatia moyo tu watendaji wa serikali kwamba wachape kazi bila ya kujali ukubwa wala udogo wa vyeo vyao kwani CCM fursa ni nyingi mno. Nawatakia Dominica yenye baraka. Kazi Iendelee!
  7. MPUNGA MMOJA

    Katibu Mkuu CCM, Chongolo urafiki wake na Mzee Kikwete

    Udugu hazina kubwa. Ni kijana mwaminifu kazi maalum zote alizotumwa alizifanya kwa weledi na Umakini. Uteuzi huu ni furaha kubwa kwa Nape na Ridhiwani.
  8. B

    Ushauri kwa Katibu Mkuu Wa CCM

    Katibu Mkuu Wa CCM nakupongeza kwa kuteuliwa kwako. Naomba nichukue fursa hii kukushauri mambo yafuatayo. 1. Pambana na kinachoitwa JK, Sukuma Gan nk ndani ya chama. Walete pamoja wanaccm kwani utulivu ndani ya CCM ni utulivu wa dola na ni utulivu wa serikali. 2. Epuka kutumia approach za...
  9. K

    Kalamu ya Mperembaji wa Rushwa kwa uteuzi wenye harufu ya Rushwa

    Viongozi walioteuliwa na Mwenyekiti wa CCM ni ishara kwamba hakuna kiongozi ndani ya chama hicho. Nianze na Mkuu wa Mkoa wa Ruvuma, kwa kipindi chote alichokaa Ruvuma hakuna jambo unaloweza kusema amefanya lakiubunifu na lenye tija kwa mkoa huu. Leo hii unamteua akapange mipango ya chama, means...
  10. GENTAMYCINE

    Je, niliyestushwa na hii kauli 'tata' ya Naibu Katibu Mkuu CCM Mpogole ni peke yangu tu au tupo wengi? Mama kuwa makini sana!

    " Uchaguzi Mkuu halali Kikatiba CCM tutaufanya mwakani 2022 ila huu wa leo ni wa Kuziba tu nafasi na hata Rais Mama Samia akishika hatamu atakuwa ni Mfariji Mkuu kwa Viongozi wa CCM pamoja na Wanachama wote ndani na nje ya nchi " Ukitulia kabisa, Kuichambua na hata Kuidadavua vyema hii Kauli ya...
  11. Poppy Hatonn

    Majukumu ya Katibu Mkuu

    Katibu Mkuu atakuwa na kazi ya; 1. Kuandaa uchaguzi wa ndani unaotarajika kufanyika 2022:kuchagua viongozi katika ngazi zote;matawi,kata,wilaya,mkoa na Taifa. 2. Pia atakuwa na jukumu la kusimamia rasilimali za Chama. 3. Atakuwa na kazi ya kudhibiti makundi ndani ya Chama yanayojitokeza wakati...
  12. Fatma-Zehra

    Mwenyekiti Samia ambakize Mzee Mangula lakini amteue Dkt. Rehema Nchimbi kuwa Katibu Mkuu

    Kwa sasa Mzee Mangula abaki kuwa Makamu Mwenyekiti ili kumlinda Samia lakini kwa ajili ya ku-manage dynamics za 2025 na unpredictable CCM yenye visa na "uhuni" wa kila aina. Hata hivyo, chama kinahitaji mtendaji mwenye hekima na asiye fisadi. Mtu ambaye siyo mgeni na ambaye amefanya kazi na...
  13. msovero

    Ajira 6,000 za walimu zagubikwa na utapeli. Waziri Ummy amuagiza Katibu Mkuu kufanya uchunguzi

    Waziri wa TAMISEMI, Ummy Mwalimu amesema kuna Watu wamejitokeza mitaani ambao wanawadanganya Walimu ambao hawajaajiriwa kuwa wanatakiwa kutoa Tsh. Milioni moja ili wapate ajira kwa haraka kwani nafasi hizo hazitatangazwa na Serikali bali zitatolewa kisirisiri. Waziri Ummy ameyasema hayo mapema...
  14. T

    Midahalo ya kisiasa ya makatibu wakuu wa vyama itafanikisha kuongeza mshikamo wa kisiasa.

    Rais Samia Suluhu ameonesha nia ya dhati ya kutaka kufanya kazi na upinzani. Tunaamini Mhe.Rais atakapokutana na viongozi wa vya upinzani watajadiliana mengi hususani mambo yatakayokuza na kuimarisha ushirikiano na demokrasia. Kwa tathmini fupi niliyofanya nimegundua Rais wetu anapenda muafaka...
  15. J

    Mkuu wa Wilaya ya Sengerema ataka kupigana na Katibu wa Mbunge mkutanoni

    DC Emanuel Kipole ametishia kumsweka ndani Katibu wa mbunge baada ya Katibu huyo kuzungumzia migogoro ya ardhi kwenye mkutano wa hadhara. Baada ya tishio hilo la DC ndipo Katibu wa mbunge alisimama na kuchachamaa na kumwambia DC kama yeye ni kidume basi amkamate muda ule. Ndipo mwenyekiti wa...
  16. B

    Rais Samia, Katibu Mkuu Kiongozi undeni upya vetting section

    Niombe sana Mhe. Rais upitie upya mfumo wa serikali unaopelekea majalada yafike mezani kwako kwa utiaji sahihi. Yawezekana mfumo huu ulivurugwa au umevurugwa bila kuzingatia utaratibu uliowekwa kwenye Utumishi wa Umma. Upo uwezekana wapo watu wachache wasio waadilifu wameingizwa jikoni lakini...
  17. J

    Kiuhalisia Bunge liko chini ya Rais wa JMT, Katibu wa Bunge ni mteule wa Rais na mikutano ya Bunge inaahirishwa na Waziri Mkuu

    Haya mambo ya mihimili ni lugha za kisiasa tu lakini kiuhalisia Rais wa JMT yuko juu ya Bunge na Mahakama. Ndio maana Mtendaji mkuu wa Bunge ni mteule wa Rais na anafanya kazi kwa karibu " zaidi " na Waziri Mkuu na Mwanasheria Mkuu wa Serikali. Rais ana uwezo wa kulivunja Bunge. Watendaji...
  18. MsemajiUkweli

    Dkt. Bashiru Ally kuwa tena Katibu Mkuu wa CCM?

    Aliyewahi kuwa Waziri Mkuu wa Uingereza, Sir Harold Wilson aliwahi kusema, ''A week is a long time in politics''. Katika historia ya Tanzania, Dkt. Bashiru Ally kama inavyododoswa kwa sasa kurudi tena kuwa Katibu Mkuu wa CCM atakuwa ni mmoja wa watanzania ambao utumishi wao wa umma unaweza...
  19. P

    Katibu Mkuu Kiongozi mstaafu, Dkt. Bashiru Ally unasumbuka sana. Rais Samia tarehe 30, Aprili atashinda kwa asilimia 100%

    Dr. Bashiru juhudi zako unazofanya za chuki na hasira dhidi ya Rais wetu mpemdwa tukwambie tu unasumbuka sana. CCM ni chama chetu, Tumekulia ndani ya CCM, tunazijua tamaduni zetu, tunazijua saisa za rough na nzuri za CCM. Tunakuhakikishia tu kuwa Rais Mama Samia Suluhu tunaenda kumpa Uenyekiti...
  20. mngony

    Mwigulu atolewe Uwaziri, apokee kijiti cha Polepole kuwa Katibu Mwenezi

    Akiwa kama Waziri wa fedha ana majukumu mazito ya kumsaidia Rais kukuza uchumi wetu na kuongeza pato la mwananchi mmoja mmoja. Ni wazi uchumi wetu umedorora na unahitaji juhudi kubwa sana huku mambo mengi yakitukabili, kuna wastaafu, watumishi wanataraji nyongeza mishahara, miradi mikubwa...
Back
Top Bottom