katibu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. CCM haina Mwenyekiti wala Katibu Mkuu, hivi sasa inaendeshwa na Dola

    Baada ya kifo cha Magufuli aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM na Bashiru kuwa Katibu Mkuu Kiongozi na baadaye kutenguliwa na kuteuliwa kuwa Mbunge, CCM haina uongozi wa juu na hivi sasa inategemea Dola kuendeshwa katika shughuli zake za kila siku. Jambo hili si la afya kwa mustakabali wa siasa za nchi...
  2. B

    Katibu mkuu wizara ya habari asema anasubiri maelekezo kufungulia magazeti

    Katibu Mkuu wa Wizara ya Habari, Dkt. Hassan Abbasi amesema agizo la kufungulia vyombo vya habari lililotolewa na Rais Samia Suluhu linahusu televisheni za mtandaoni pekee, na siyo pamoja magazeti. Amesema endapo kukiwa na maagizo mengine yanayohusu magazeti, atatekeleza. https://t.co/fdXzgvlz3l
  3. N

    Barua ya wazi kwa Rais Samia Suluhu juu ya Katibu Mkuu wa TAMISEMI

    BARUA YANGU YA WAZI KWA MHESHIMIWA RAIS SAMIA SULUHU HASSAN KUHUSU KATIBU MKUU WA TAMISEMI INJINIA JOSEPH NYAMHANGA. Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa mama Samia Suluhu Hassani, naomba kwa heshima na unyenyekevu mkubwa nitoe ombi langu kwako juu ya Katibu Mkuu wa...
  4. J

    Tokea afe Horace Kolimba cheo cha Katibu mkuu wa CCM kimekuwa kama hakina Baraka

    Jaribu kuwafuatilia Makatibu Wakuu wa CCM walioteuliwa baada ya Horace Kolimba kukutwa na yaliyomkuta utawaona ni kama wamevurugwa kwa namna fulani. Yaani shukrani ya chama kwao huwaga kama ni " mateke" Niwakumbuka akina mzee Gama R.I.P baadae Nchimbi akamvuruga, kuna huyu mzee wetu Mangula...
  5. Rais Samia: Kila mwenye nia ya Urais 2025, aache mara moja

    RAIS SAMIA AAWAAPISHA MAWAZIRI, MANAIBU WAZIRI NA KATIBU MKUU KIONGOZI Rais wa Jamhuri ya Muungano, Samia Suluhu amewaapisha mawaziri nane, na manaibu waziri 8 na Katibu Mkuu Kiongozi Ikulu Dodoma. Katibu Mkuu Kiongozi Hussein Katanga amechukua nafasi ya Bashiru Ally. Mwaziri walioapishwa ni...
  6. L

    CV ya Katibu Mkuu Kiongozi Balozi Hessein Kattanga

    Habari ndugu zangu, naomba mwenye CV ya Katibu Mkuu Kiongozi mpya, Balozi Hessein Katanga, atupatie. Sisi kama wananchi tunahitaji kumfahamu vizuri Kiongozi wetu huyu...
  7. Bashiru Ally kuondolewa ikulu kama katibu kiongozi kunatupa picha gani? Wahafidhina hawakufurahia uteuzi wake?

    Hii sio kawaida kabisa katibu mkuu kiongozi kuhudumu kwa muda wa mwezi mmoja tu. Japokuwa aliyemteua aliaga dunia kwa mapenzi ya Mungu hii sio kawaida, ni sawa na mtu alikuwa anaviziwa itokee bahati mbaya ili avurumishwe nje. Katibu mkuu kiongozi ni nafasi nyeti na kubwa sana hapa nchini. Mtu...
  8. J

    Bado nafasi mbili wazi Katibu Mkuu CCM na Waziri wa Fedha, hivyo January, Dkt. Nchimbi na Dkt. Mwigulu vuteni subra

    Ni katika kuwatia moyo makada wa CCM ndugu zangu January Makamba, Dkt. Nchimbi na Mwigulu Nchemba kwamba wawe na subra nafasi bado zipo. Bado kuna nafasi ya Katibu Mkuu wa CCM iko wazi. Kadhalika imejitokeza nafasi nyingine nyeti ya Waziri wa Fedha. Ila na nyie muachane na hayo makundi yenu...
  9. Katibu Mkuu wa Chadema John Mnyika amtembelea Mama mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo kijijini kwake

    Helena Yegera ambaye ni mama Mzazi wa Hayati Alphonce Mawazo , mtu aliyeuawa kinyama pengine kuliko binadamu yeyote nchini Tanzania , leo amepokea ujumbe mzito kutoka Chadema Makao Makuu ulioongozwa na Katibu Mkuu wa Chama hicho Mh John Mnyika . Baadaye Msafara huo ukatembelea Kaburi la...
  10. Kenya Abdallah Hassan, Katibu Mkuu wa kwanza Muislam Wizara ya Elimu, amefariki

    KENYA ABDALLAH HASSAN KATIBU MKUU WA KWANZA MUISLAM WIZARA YA ELIMU AMEFARIKI Kenya Abdallah Hassan nimemfahamu toka utoto wangu Moshi katika miaka ya 1960. Siku hizo mimi nikiwa shule ya msingi madarasa ya chini sana yeye alikuwa Mawenzi Secondary School. Kenya alikwenda Makerere, Uganda...
  11. TANZIA Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali Mkoa wa Mara, Jeswald Majuva afariki dunia

    TANZIA Katibu Tawala wa Mkoa wa Mara anasikitika kutangaza kifo Cha Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali watu ndg Jeswald S. Majuva aliyefariki usiku wa kuamkia tarehe 12/3/2021. Ndg Jeswald Majuva enzi za uhai wake PICHA: Ndg Jeswald Majuva aliyezungushiwa alama, akiwa kwenye...
  12. Katibu Mkuu wa CHADEMA, John Mnyika kuongea na Vyombo vya habari vya ndani na nje ya nchi Makao Makuu ya Chama

    Ataongea kwenye Makao Makuu ya Chama , Kinondoni Mtaa wa Ufipa kuanzia saa 5 asubuhi, fahamu kwamba neno la CHADEMA ndio neno la wananchi. Ni muhimu Tuzingatie mwongozo wa WHO wa kudhibiti maambukizi ya Corona kwa kuvaa Barakoa. Wote Mnakaribishwa.
  13. Baada ya kuapishwa kuwa Katibu Mkuu Kiongozi, Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana

    Habari za wakati huu wanachama wa jamiiforums Baada ya kuapishwa kuwa katibu mkuu kiongozi, mzee Bashiru Ally alipaswa kwenda "rasmi" kuipa pole familia ya Balozi Kijazi. Huu ndio uungwana wetu sisi waafrika. He was supposed to go and condole the family of his predecessor. Nina imani kubwa...
  14. Katibu Mkuu mpya wa CCM: Mwendo wa kupandishwa vyeo, wapya wataharibu 'formula'

    Pamoja na ramli zote zinazopigwa kwenye uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM, taarifa za ndani ya chama zinaanika wazi kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM atakuwa ni Komredi Rodrick Mpogolo ambaye kwasasa ni Naibu Katibu Mkuu wa CCM Tanzania Bara. Uteuzi wake ambao utafanyika wakati wowote kuanzia juma...
  15. Uteuzi wa Katibu Mkuu mpya wa CCM utaoshangaza wengi ni huu..

    M. M. Mwanakijiji. Yes, I said it. M.M. Mwanakijiji ateuliwe kuwa Katibu Mkuu mpya wa CCM. By the way, to those of you in Rio Linda [hapa najua Mwanakijiji anajua nazungumzia nini😁], those 2 Ms stand for ‘Mimi Mzee’. Imagine you wake up on Monday morning and you hear news come over the wire...
  16. TAARIFA: Slaa alikuwa Katibu wa CHAMA kisha Balozi (Utumishi wa Umma)

    Wale waliosahau kabla ya teuzi za Babu mamvi pale Ledger Plaza 2015 mzee wetu alikua katibu mkuu wa Chama baadae kidogo akateuliwa kama Balozi kamili (Utumishi wa umma). So Bushlawyers msijisahaulishe. Mbona hamkupinga kipindi kile?
  17. Vijana watano (below 40 years) wanaofaa kwa nafasi ya Katibu Mkuu CCM taifa

    Leo nitawaongelea vijana watano (5) Wenye Umri chini ya Miaka 40 ambao naamini wanafaa kwa nafas hii kubwa kabisa nchini. Nimeona nijadili vijana kwa sababu utawala wa JPM umejielekeza zaidi katika kujenga Taifa imara kiuchumi na vijana ndio nguvu kazi ya Taifa. Inawezekana wasipate lakini...
  18. Mkenya ateuliwa kuwa Katibu Mkuu EAC, huku naye Rais Uhuru akichukua uenyekiti

    Binafsi huwa sina imani kwenye huu usanii wa hiki kitu tunaita EAC, lakini wacha tuone mwisho wake.... pia naona sarafu ya pamoja ipo kwenye hatua za mwsho kutekelezeka The chairman of the EAC Heads of State, Rwandan President Paul Kagame has announced Dr Peter Mathuki from Kenya as the new...
  19. Dkt. Peter Mathuki Atangazwa Kuwa Katibu Mkuu Wa Jumuiya Ya Afrika Mashariki

    Mwenyekiti wa Jumuiya ya Afrika Mashariki, Paul Kagame amemtangaza Dkt. Peter Mathuki kuwa Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Afrika Mashariki Dkt. Mathuki ambaye ni mkenya ni mtaalamu wa Uchangamano wa Kikanda, pia aliwahi kuwa Mbunge wa Afrika Mashariki (EALA) ambapo alikuwa mwenyekiti wa kamati ya...
  20. Uteuzi wa Katibu Mkuu wa CCM kuwa Katibu Mkuu kiongozi wazua mjadala, Mnyika ajitokeza hadharani kuonyesha masikitiko yake

    Je Katibu Mkuu kiongozi anapaswa kuteuliwa kutoka kwenye kundi gani , anaokotwa popote au anatoka kwenye Utumishi wa Umma ? Huku kwenye nyaraka za Nchi (Katiba) kunamuelezaje mtu anayepaswa kuwa Katibu Mkuu kiongozi ?
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…