2003 INVASION OF IRAQ: Kanisa Katoliki Vatican na ushawishi wake juu ya msamaha kwa Waziri Tariq Aziz. Mkristo kindakindaki na swahiba mkuu (Inner Circle) wa Saddam Hussein.
Waziri wa zamani wa mambo ya nje wa Iraq katika utawala wa Saddam Hussein na mtu wa upande wake wa kulia (right-hand...
Askofu wa Kanisa Katoliki nchini Togo ni miongoni mwa watu waliolengwa na udukuzi uliofanywa kwa zaidi ya watu 1400 katika mtandao wa WhatsApp uliofanywa na Taasisi ya NSO Group ya Nchini Israel
Askofu Benoît Alowonou pamoja na watu wengine watano ambao ni wakosoaji wakubwa wa matendo na...
Aisee sikujua kama pia wapo mapadre wa catholic, kanisa lenye heshima naye alitaka kwenda bungeni. Shame on you maccm!
Haya amefukuzwa aende vizuri huko CCM.
Kuanzia uvaaji, nidhamu ya ibada hadi swala la kuzingatia muda maaskofu wa Katoliki wako vizuri.
Nimesikiliza mahubiri ya mhashamu baba askofu Ngalale Kumtwa hayakuwa na mbwembwe wala malalamishi bali yalijaa busara, hekima na upendo.
Kiukweli ipo tofauti ya kutosha kabisa baina ya maaskofu wa...
Mtoto Nazia Samweli (6) mwanafunzi wa darasa la kwanza shule ya msingi St. Anne Maria Mbezi, amefariki dunia baada ya kutumbukia kwenye sufuria la chai siku ya Jumanne.
Mama mkubwa wa marehemu, Happy Msenga, ameiambia Habarileo kuwa mpaka sasa uongozi wa shule hiyo umeshindwa kutoa maelezo...
Nauliza tu wadau kama baba askofu wa Kanisa Katoliki anaweza kugombea ubunge.
Kwa mfano baba askofu Ruwaich anaweza kugombea ubunge jimbo la Ilala?
Maendeleo hayana vyama!
Nafahamu kuna huu utaratibu wa maaskofu kuzikwa ndani ya makanisa yao na hili nimelishuhudia kwa madhehebu ya Anlican na Katoliki.
Nakumbuka askofu Sepetu wa Anglican aliziikwa ndani ya Kanisa la mt Nicolaus Ilala Dsm na pale Njombe askofu wa jimbo Katoliki alizikwa Kanisani hata wa Anglican...
Katibu Mkuu wa Baraza la Maaskofu Katoliki Tanzania anaitwa Padri Dr. Charles Kitima amefafanua tamko la Kanisa Katoliki kuzuia watu kufunga ndoa nakusema hawajazuia sakramenti hiyo ila wamezuia wale wanaotaka kufanya sherehe.
“Ibada ya kupokea Sakrament ya ndoa na kipaimara hizi shughuli...
Habari wanajamii,
Katika kipindi hiki cha wasiwasi na sintofahamu juu ya coronavirus ndani ya taifa letu viongozi wa taasisi mbalimbali yapaswa kuonyesha umahiri na umadhubuti kukabiliana na janga hili.
Nitaongelea taasisi za kidini kwani kwa macho yangu naona zimevurugwa zaidi
Mpaka sasa...
Rais wa TEC baba Askofu Nyaisonga ambaye pia ni askofu wa Dayosisi ya Mbeya amesema katika kupambana na maambukizi ya Covid 19 wanasitisha Huduma za sakramenti ya ubatizo na ile ya Ndoa.
Baba askofu amesema Huduma hizo zitarejea tena kama kawaida pale ugonjwa huo utakapokuwa umedhibitiwa.
Baba...
Mwenyekiti wa CHADEMA, Freeman Mbowe (kushoto) na Mwenyekiti wa CCM, John Magufuli (kulia)
USULI
Maaskofu Katoliki Tanzania wametoa waraka wa Kwarezima ya 2020. Katika makala hii nafupisha, kutafsiri na kutumia hoja yao yenye madokezo makuu saba, katika kuonyesha kwamba Tanzania inayo Katiba...
Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yanaweza kutupa sura mpya tusiokuwa tukiifahamu sote, Pengine ni kwa mara ya kwanza Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ndio kinaeleza uhusika kikamilifu wa Kanisa katoliki duniani katika uhuru wa Bara la Afrika na hasa Tanganyika chini ya shirika nguli la...
Maadhimisho ya Uhuru wa Tanganyika yanaweza kutupa sura mpya tusiokuwa tukiifahamu sote, Pengine ni kwa mara ya kwanza Kitabu cha Ujasusi wa Kidola na Kiuchumi ndio kinaeleza uhusika kikamilifu wa Kanisa katoliki duniani katika uhuru wa Bara la Afrika na hasa Tanganyika chini ya shirika nguli la...
Baba Mtakatifu Francisko amemteua Askofu Ludovick Joseph Minde, ALCP/OSS kuwa Askofu mpya wa Jimbo Katoliki Moshi, nchini Tanzania. Kabla ya uteuzi huu Askofu Ludovick Joseph Minde alikuwa ni Askofu wa Jimbo Katoliki Kahama. Itakumbukwa kwamba, Askofu Minde alizaliwa tarehe 9 Desemba 1952 kwenye...
Huwa nashangaa kwenye shughuli za serikali au vyama vya siasa Bakwata huwa na mwakilishi mmoja sawa na madhehebu mengine kama KKKT, Anglican, Katoliki, TAG na Pentecostal wakati Bakwata ni Baraza kuu la waislamu wote.
Kwanini Bakwata isiwe na uwakilishi wa mashehe hata watatu ili kuleta uwiano...
CHONDE VIONGOZI WA KANISA KATOLIKI - HISTORIA INAWASUTA.
"Viongozi wa dini kuhamasisha watu kupiga kura wakati huu, ni sawa na kuchochea chuki"
Hali ya maisha katika nchi za mashariki ya kati ndio mfano halisi wa mambo makuu matatu yanayoweza kumfanya binadamu aamue kwa hiari yake kuondoa...
Kama kweli kanisa halijawa compromised lijitafakari Ni Mara nyingi kanisa limeteleza haijaanza Leo.
Kanisa likishawahi kuuwa wanasasansi nadhani alikuwa Galileo au Corpenicus sikumbuki vema kisa aliamini kinyume na kanisa kwamba dunia ilikuwa duara.
Kanisa katoliki Tanzania kama kweli dhamira...
Kanisa katoliki limeanza uchunguzi kubaini chanzo na sababu za masista wake wawili kupata ujauzito baada ya kutembelea Africa ambap walikuja kwa kazi ya kimisionari.
Uchunguzi rasmi umeanza kwa Watawa wawili wa Kanisa Katoliki ili kuweza kujua ni kivipi wameweza kupata Ujauzito wakati walipokuwa katika Ziara ya Kikanisa katika bara la Afrika.
Na Kanisa hilo Katoliki linashangaa pia kwamba kumetokea nini wakati hao Watawa walishafanya Ziara kadhaa katika...
PAROKIA YA MT. MIKAELI KAWE, DAR ES SALAAM
Tamko la waumini wanaopinga Parokia ya Kawe kuendeshwa kinyume cha taratibu za Kanisa Katoliki
Tarehe 04 Novemba 2019
Askofu Mkuu wa Jimbo Kuu la Dar Es Salaam, Juda Thaddeus Ruwaichi, ambaye ndiye Askofu mwenye mamlaka na Paroko wa Parokia ya Kawe...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.