Kanisa Katoliki Jimbo la Moshi, limemuamuru Padri Sosthenes Bahati Soka (41) anayekabiliwa na mashtaka ya kubaka watoto watatu wa kike kuondoka katika nyumba za kanisa hilo.
Badala yake, barua ya Askofu wa Jimbo hilo, Ludovick Minde ya Septemba 26, mwaka huu ambayo gazeti hili limeona...