Leo nimepata wasaa wa kuangalia mechi ya Azam na Kagera Sugar. Waliovaa barakoa ni kama hakuna kabisa.
Tumewasikia Kanisa Katoliki na ni wajibu wa kila mtu 'kuchunga abiria wake". TFF himizeni wanaokwenda kuangalia mpira uwanjani wavae barakoa kwa kuanzia na ikiwezekana "social distancing'...