March, 19-2000. TV show THE SIMPSONS wali'release SEASON 11
S0 11, Episode ya 17 "BART TO THE FUTURE" ilionyesha RAIS mwanamke akiongoza USA 🇺🇸
Scenes zinaonesha characters waliopo sasa kina KAMALA, na TRUMP
Hmm! wanajarbu kutwambia nini?🤔
Yani Series ya mwaka aftisa mia huko wakaigiza mambo...
Mie kupitia jicho la Samaki kiongozi, namuona mzee wa Ufipa. Jirani yake (kwa nyuma) ni Wakili Msomi.
Taawili
Mzee wa Ufipa ameisha na si hai tena kubeba Itikadi yake ya mrengo wa kulia. Kifupi Samaki wanaongozwa na mfu.
Jicho la Wakili Msomi linaashiria amegundua kuwa mzee wa Ufipa licha ya...
Masoud kipanya ni moja ya watu wenye jicho la tatu wanaotumia katuni kujenga ujumbe na kuona mbele kuhusu hii nchi.
Mimi ni mpezi wa katuni za masoud kipanya na kila ukizirudia unaona zimebeba ujumbe unaofika mpaka leo.
Kuna kipindi fulani masoud alitoa kumuhusu huyu bashe na kumbuka kipindi...
I am not getting in deep but nakumbuka kuna movie moja jamaa alionyesha kuna matatizo ya kimtandao yataikumba dunia I don't know he was thinking about this year au kuna kubwa kuliko.
Masonic plans.
Edit: Matumiz ya Tv kwa watotot Cartoon na games (playstation)
Mimi nimeona nianze kuweka vitu vya ziada kwenye flash, hizi katuni zimekuwa too much sasa na sioni faida yake.
Video nilizoanza nazo nimeona niziweke zifuatazo, walimu wanafundisha kwa vitendo zaidi kuliko kuongea hivyo inakuwa...
OSCAR MAKOYE MCHORA KATUNI MAARUFU TANZANIA.
______________________
Katika pita pita zangu nime bahatika kukutana na moja Kati ya wachoraji maarufu wa katuni Hapa Nchini Tanzania kwenye mangazeti mbalimbali ya udaku na siasa na huyu si mwingine ni "Oscra makoye" ...
Naimani jina hili sio ngeni...
Leo nipo na watoto wangu tunaenda shopping,ghafla mwanangu wa kike aliyepo baby class akaanza kuniomba nimnunulie ice cream za rain bow.Nilishtuka sana,nikamuuliza amejuaje mambo ya rainbow?Akanijibu huyaona yakitangazwa kwenye katuni Masha and the bear.Nimeogopa mno sababu hiyo katuni nilikuwa...
Teknolojia ya vifaa vya kushikilia data imekuwa kubwa sana ni ajabu naona bado Tanzania tunaendelea kutumia Hard Disks.
Hard Disks huwa zinasoma data kwa vifaa kuzunguka ndani yako, Zipo slow sana, hata ukiweka ram kubwa ama uwe na processor nzuri, itakuwa na msaada kidogo, ni sawa na mtu...
Nikiwa mmoja wa wafuatiliaji wa karibu sana wa hii teknolojia ya akili bandia inayofahamika kama AI.
Nimejionea kwa karibu sana jinsi mambo yanavyokuwa ya moto sana.
Kwa kuanzia kidogo tu, nimeonana na mchoraji katuni aliyeamua kusoma kwa nguvu, ananunua bundle then darasa linaanza...
Katika miaka ya hivi karibuni, ushabiki wa kuigiza mavazi ya wahusika wa katuni aina ya anime umeendelea kuongezeka barani Afrika, na hata wadau husika wanasema Afrika inatarajiwa kuwa soko muhimu la kimataifa la katuni aina ya anime. Hata hivyo, miaka michache iliyopita, achilia mbali...
Katika majira ya joto ya mwaka huu, filamu ya katuni ya kichina “Chang An” (mji mkuu wa taifa la China katika enzi ya Tang) imejizolea umaarufu mkubwa. Ndani ya mwezi mmoja na zaidi tangu ilipoonyeshwa, filamu hiyo imepata yuan bilioni 1.6, na kuifanya kushika nafasi ya pili kwenye mauzo ya...
Gazeti la Mwananchi limechapisha katuni hii iliyochorwa na mchoraji wake King Kinya ikimuonyesha Mtu anayefanana na Makamu Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo Tundu Lissu akiwa na taswira kama ya kulalama huku ameshika kitu kama matope au kinyesi hivi na mengine yakiwa usoni mwake...
Godfrey Mwampembwa ni mchoraji wa katuni kutoka nchini Tanzania anayeishi Kenya. Katuni zake nyingi zinahusu habari za siasa lakini amechora pia Hekaya za Abunuwasi. Gado ni mchoraji anayechapishwa zaidi katika Afrika ya Mashariki.
wakuu habari ninahitaji katuni ya kirikuu (swahili version) kwa ajili ya watoto hawajawahi kuiona na wameniomba niwaletee.
Tafadhali kama kuna mwenye kunisaidia niipate nitashukuru.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.