Yaani binti kachora huu mchoro wa kukashifu vita na hii imetosha babake kuswekwa ndani miaka miwili..... Ujamaa ni mfumo wa hovyo sana maana ndio umesababisha Warusi wamekua wazungu mazombi tofauti na wazungu wengine....
Russia: Two-year prison sentence for child's drawing
Juri Rescheto...
Wachora Katuni ulimwenguni kwa kawaida ndiyo watu wanaothibitisha ule msemo wa "Picha huongea maneno zaidi ya Elfu kwa wakati mmoja". Na sheria ya sanaa katuni mmoja hutafsiriwa kutegemea na mtu anayeiangalia.
Nchi za Afrika ya Mashariki wachora Katuni hutoa tafsiri jinsi ya watu husika...
Salaam ndugu zangu,
Katuni imekuwa ni michezo/ Filamu muhimu sana katika kusaidia malezi na kuwafariji watoto wetu. Baadhi ya katuni maarufu ni kama Tom and Jerry, Moana, Zootopia, Luca, Sing, Rango na nyinginezo.
Ni kweli kwamba filamu nyingi za katuni zimeundwa kwa ajili ya watoto. Lakini...
1. Yaani hapo kuna mbwa na chatu.
2. Chatu amemmeza mbwa.
3. Miguu ya mbwa imetoboa tumbo la chatu.
4. Mbwa anatembea huku amemezwa.
5. Najaribu kulitazama jicho la chatu nimebaki nimeduwa sielewi kwanini liko hivo.
Kiukweli sipendi kulishwa maneno, sipendi kulishwa taarifa, na sipendi Kukashifu. Sipendi kauli mbichi [Generalities] kwani huwa zinapotosha au kupotosha maana halisi iliyomo kwenye maudhui. Nimekutana na mijadala mitatu tofauti, ikimaanisha maudhui matatu tofauti, lakini kwa kauli na misemo ya...
Masoudi Kipanya ana uwezo wa kuwasilisha fikra za Watanzania na jinsi wanavyohisi kuhusu maisha yao ya kila siku.
Hata hivyo, anaeleza kwa lugha rahisi kwamba Watanzania wamechoka na siasa kutokana na uwongo, unafki, ufisadi, wizi, na ulaghai ambao unafanywa na wanasiasa wa nchi hiyo. Kwa...
Katuni maarufu ya Scooby-Doo ambayo imekuwa ikionyeshwa katika chaneli mbali mbali kama Cartoon Network, imemtambulisha mmoja wapo wa wahusika kama msagaji (lesbian).
Mhusika huyo anayeitwa Velma ameonyeshwa katika toleo jipya la katuni hiyo kama mwanamke anayevutiwa kimapenzi na mwanamke...
TAARIFA YA AWALI.
Taarifa zilizotufikia ni kuwa Hakimu amefuta kesi ya mchoraji Oppter Fwema leo baada ya kurindima kwa muda mrefu bila polisi kuleta ushahidi mahakamani lakini alipokuwa anatoka mahakamani polisi wamemkamata tena na inasadikika wameempeleka kituo cha polisi Oysterbay...
Kwema Wakuu!
Moja ya mambo ninayoyapendelea kutazama kwenye Luninga ni Cartoons na filamu za Wanyama.
Ninapendelea Cartoons zaidi kuliko filamu za maigizo za watu halisi. Nachelea kusema Watunzi na Wazalishaji wa Cartoons ni ma- genius ambao hawatajwi katika ulimwengu wetu.
Mpaka sasa hakuna...
MTAZAMO wa msanii wa Katuni baada ya Serikali kuingilia kati kudhibiti Mfumuko wa Bei na kupunguza Kodi mbalimbali kuleta unafuu wa maisha kwa wananchi.
Jana hali yangu ya afya haikuwa njema sana,ilibidi ninywe dawa ambazo kumbe zilinipa usingizi.Wakati huo huohuo nilikuwa nasubiri Kwa hamu wanaume wa Kiafrica. Senegal na Cameroon wapindue meza!
Baada ya kuamka nilikimbilia kwenye simu yangu kuitafuta mechi live, baada ya kuserch kidogo...
Wengi humfahamu kwa jina la Masoud Kipanya, lakini hilo si jina lake halisi, tunaweza kusema hilo ni jina lake la sanaa kwani limetokana na na katuni za Kipanya ambazo huwa anachora.
Jina lake ni Ali Masoud, jina la Kipanya ni matokeo ya katuni ya Kipanya aliyoibuni zaidi ya miaka 28 iliyopita...
Ndugu wana jamvi,
Japo mimi sio mchoraji wa katuni lakini nawaombeni kujua mawili matatu kuhusu hii fani; hivi huwa inaleta picha gani au taswira gani unapomchora mtu/kibonzo cha mtu kwenye gazeti tena ukurasa kwa mbele kwa taswira ya ng'ombe?
Maadili ya kiuandishi hapa yanasemaje?
Naombeni...
Ukishaipakua application kutoka Playstore, utaifunugua na kupakua katuni zinazopatikana kwenye database yetu. Katuni hizi zina mb chache hivyo kuokoa data bundle na nafasi kwenye simu.
App hii ni ndogo na nyepesi hivyo inaweza kutumika kwenye simu zenye RAM na nafasi ndogo. Ingawa ni ndogo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.