Kwa sisi Waafrika, katuni na movies zina madhara makubwa sana kwa watoto. Kwenye movies na katuni asilimia kubwa ya heroes ni wazungu. Hili suala huwa linamjenga mtoto kisaikolojia kwamba wenye uwezo, wenye maadili, wazuri na wenye sifa zingine nzuri ni wazungu.
Hili linamfanya asijithamini...