kauli za makonda

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. JamiiForums Tanzania Sandaland: Makonda hana mamlaka ya kuingilia shughuli za chama cha soka, yeye ni ‘third party’

    Mwanasheria na Mwakilishi wa Kampuni ya Sandaland Fashion Wear Limited, Cletus Tharcisiusy Nziku ametoa ufafanuzi kuhusu sintofahamu iliyojitokeza juu ya ubora wa jezi za Timu ya Taifa, huku akisisitiza kuwa kauli zilizotolewa zikiponda ubora wa mavazi hayo si za kiungwana na hazipaswi kufumbiwa...
  2. JamiiForums Tanzania PreGE2025 Makonda: Sioni mtu wala kabila litakalonizuia 2025 kuzunguka katika taifa hili kutafuta kura za Rais Samia na Mwinyi

    Wakuu, Huyu Makonda ni mkuu wa mkoa au ni katibu mwenezi wa CCM? Hivi karibuni wakati anaongea mbele ya Rais Mwinyi, Makonda alisema kuwa haoni kitu kitakachomzuia kumpigia kampeni Rais Mwinyi na Rais Samia kwenye uchaguzi unaofuata. Pia amesema kuwa ameshaona kuna baadhi ya watu wana nia ya...
  3. JamiiForums Tanzania Watanzania wanampa kiburi sana Makonda, nikiwa mkubwa nataka niwe kama yeye

    Kama anachofanya Makonda ni udhalilishaji watanzania wameridhika na huo udhalilishaji. Kama anachofanya Makonda ni ubabe huo ubabe ndiyo watanzania wanautaka sasa. Kama anachofanya Makonda ni misifa watanzania wanataka makonda aendelee na misifa yake. Kama anachofanya Makonda ni uuaji (kwa...
  4. JamiiForums Tanzania Makonda anafanya kazi nzuri, ila awe makini na kinywa chake

    Madudu anayoyaibua yanawaumbua watangulizi wake na hata "maRC"wa mikoa mingine. Kwa sasa anajulikana nchi nzima, lakini kuna watu hawayajui hata majina ya wakuu wa mikoa yao. Mbali na kuwa anayoyafanya yana maslahi kwa umma, si wote, hasa watawala wenzake, watakaomfurahia. Naamini naye ana...
  5. JamiiForums Tanzania Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa (TALGWU) walaani matamshi ya Paul Makonda

    Chama cha Wafanyakazi wa Serikali za Mitaa Tanzania(TALGWU), kimesema kinatambua kazi kubwa anayofanya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Paul Makonda katika masuala mbalimbali ikiwemo kusimamia miradi ya maendeleo lakini hakijapendezwa na kitendo chake cha kumdhalilisha Mtumishi wa Umma Wilayani Longido na...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…