Kwa wakati huu wakati taifa linakabiliwa na tatizo kubwa la kukosa maadili kumetokea pia namna nyingi za shetani na wafuasi wake kuwakatisha tamaa wale wote wanaopigania maadili mema. Imefikia wakati mtu ambaye anashauri kuhusu mwenendo mzuri kwenye jamii kudhalilishwa na kuonekana mjinga na...
Ally Kamwe ( Msemaji wa Yanga SC ) Siku ambapo Simba SC ilifungwa na Raja Casablanca FC Goli 3 kwa 0 ( tena akiwa Clouds FM Kipindi cha Sports Extra ) Studioni akiwepo Mtangazaji mwana Yanga SC Prisca Kishamba na Mchambuzi mwana Simba SC Master Tindwa alitudhihaki wana Simba SC kuwa Tumebikiriwa...
Baadhi ya Wanahabari na Wachambuzi wa Soka nchini wamemtaka Afisa Habari wa klabu ya Simba, Ahmed Ally kuomba radhi kufuatia kauli yake ya kusema "Yanga ni kama maiti hivyo wanakwenda kuwakamua" kauli hiyo imevuka mipaka ya utani wa jadi na ni kinyume na ueledi na ni tusi baya.
Hivi Mwanamke akisema hata Mwanaume umpe umpe nini haridhiki, hiyo ‘nini’ humaanisha kitu gani?
Tuambieni hizo nini ni nini basi. Kama hamsemi mtaendelea kuita wanaume wote ni Mbwa.
Juzi walisema wameichukua Bakhmut, leo wameibuka na mengine na kusema bado ni mziki mkali na itachukua wiki kadhaa, wamekiri imewagharimu sana, makaburi kama yote....
=====================
Kiev, April 7, (dpa/GNA) - Ukrainian forces are continuing to resist Moscow’s attempts to seize the...
Wanajukwaa nawapungia mkono wa salam
Leo akipokea ripoti ya CAG iliyoibua madudu lukuki Rais Samia aliongea mengi lakini nimeona nigusie kauli moja ambayo inaonekana kuwapa mwanya wabadhirifu.
Amesema kila mwaka kuna madudu na wahusika wa ubadhirifu wanahamishwa tu ofisi.
Rais Samia...
Kuna watu wameongeza 110% kwenye gharama za Ununuzi wa Ndege ya Mizigo. Nadhani Sasa Mh. Rais ameanza kuwafahamu Watanzania. Hawa watu msiishie kuwafuta kazi waende mahakamani.
Hii Nchi watu Kuiba ni sehemu ya maisha Yao so kuwasimamia Kwa kuwabembeleza watakutafuna Hadi ukome. Watanzania...
hii
kauli
kuhusu
kutokana
maamuzi
manufaa
mara
mara ya kwanza
matusi
mizigo
mjadala
rais
rais samia
tujadili
ununuzi wa ndege
upigaji wa pesa za ndege
video
wazi
Kauli kama hii ni mwiba mkali sana kwa muzee RAO ambaye anajinasibisha kuwa kinara na bingwa wa mabadiriko ya siasa za Kenya.
Jamaa anamponda Odinga na Uhuru na kusema waende wakafanya bargain amendment wa walichopora na siyo kutaka hand shake!
Taarifa kwenye vyombo vya habari vya Kimataifa...
Akiwa 'nyumbani kwake' huko Ubelgiji, makamu wenyekiti wa mitandaoni wa CHADEMA, Mheshimiwa Tundu Lissu ameandika hivi mtandaoni.
Je huku sio kumkosea adabu partner wa CDM kwenye maridhiano ambaye technically ameshika upande wa mpini?
Si amesema hadharani kuwa mchakato unakuja na utakuwa...
Hii kauli ya kanjibai kwa wanasimba ingekuwa kwa wana yanga kusinekucha kuachia ngazi. Sema wanasimba hawajali sana wapo wapo tu. Ifike wakati wanasimba tuamke bora timu iwe kama PRISON kuliko kusimangwaaaa
"Mwanamke mwenye Maadili na mwenye Kujitambua ukipigwa na Mumeo hutakiwi Kutangaza kwa Majirani au hata kwenda Kushtaki Kwenu au Ukweni bali unavumilia na unamsubiria Mumeo Hasira zikipungua unamuomba Radhi hata kama unajua kabisa kuwa Mkosaji ni Yeye kwani kwa kufanya hivi utamjengea Kitu Mumeo...
Kabla ya Yanga kutinga hatua ya makundi na sasa kutinga robo fainali, hoja kuu ya makolo ilikuwa ni Yanga hawawezi kimataifa isipokuwa wao tu.
Sasa baada ya Yanga kutinga hatua ya robo fainali kwenye michuano ya Shirikisho, hoja yao kubwa imekuwa hilo ni kombe la loser kanakwamba hiyo sio...
Kwa mujibu wa yanayoendelea nchini sasa ni kwamba wananchi wengi hawaamini kauli nyingi za serikali hususani zinazotolewa na Jeshi la Polisi kuhusu masuala ama matukio ya kinyama waliyofanyiwa upinzani.
TUndu Antipas Lisu ni Mtanzania anayestahili haki zote za kikatiba na kisheria. Haki yake ya...
Mstaafu Jakaya Kikwete ameingilia kati mjadala wa kupanda kwa gharama za maisha kunakolalamikiwa na wananchi wengi na hii ni moja ya nukuu yake kupitia clip moja hivi inayosambaa sana kwenye mitandao.
'Bei imepanda sasa mtu ndio wanatunga na nyimbo, mafuta yamepanda bei ni unafiki mkubwa kwa...
Tuko zama za anaupiga mwingi na maridhiano. Hivyo ewe kiongozi mteuliwa kuwa mwangalifu utakapokuwa unatoa maoni kuhusu bwana yule hapo kesho, maana Zama zake zimepita na kitabu chake kimefungwa.
Maoni yako yakikolezwa Sana sifa itakula kwako. Kama ikiwezekana wakwepe Sana waamdishi wa habari...
Habari za usiku wana JF,
Niende kwenye mada moja kwa moja, nikuwa ninamwanamke ambaye nampnda sana, na bila shaka nataman nianze nae maisha kama mungu akijalia.
Huyu mwanamke amewai kuzaa miaka 5 iliyopita, anamtoto, alizaa akiwa na 17 yrs, japo hawasiliani na baba wa mtoto na waligombana...
Kuna kauli mpya mjini imezuka iliyoletwa na jamaa wetu wa ma'mbele, kuhusiana na vijana na bodaboda. Ningetumia fursa hii kuliomba Baraza la Kiswahili nchini (BAKITA), kukipa neno "Lema" kama neno jipya likimaanisha kisawe cha bodaboda. (Hapo tutasema mangi kaupiga mwingi). 😂😂 Utani Mangi...
Rais Samia: Hakuna kisichowezekana kwenye mazungumzo, tumeshuhudia nchi kadhaa zimeingia kwenye vita hawakupata suluhu, suluhu imepatikana kwenye mazungumzo kwahiyo tuendelee kuzungumza. Najua si rahisi kabisa watu kuja na utamaduni huu mpya ukakubalika mara moja, si rahisi, kwenuu kuna vikwazo...
"Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.