kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. B

    CHADEMA na kauli za watu tunazotaka kuzisikia

    Hapa ni kauli tokea katika kile chama ambacho wapuuzi hawapendi kusikia kwamba ni tegemeo la wengi: Lissu: Tusipopata Katiba Mpya kabla ya Uchaguzi tunyamaze milele Ameyatamka TAL rais wa wapenda haki hapa nchini. Katiba mpya ni sasa tuunganishe nguvu zetu. "Tunahitaji kupambana na...
  2. Pang Fung Mi

    Wanaume heshima yetu kauli mbiu yao ni kuwa tuwapelekee moto

    Hello, Taarifa toka kwa Wadiz a.k.a Baharia Ukipata nafasi kuwasikia wanawake wakisema ukweli ni raha sana, mara kadhaa nimesikia hii kauli heshima ya mwanaume ni kuupeleka moto, mengine tutajua mbele. Pamoja na kauli mbiu yetu tukufu ya kutafuta pesa na kuvimba kwenye matumizi. Wito wa...
  3. peno hasegawa

    Kauli ya Tanzania kuingia uchumi wa kati Dr Philip Mpango wakati huo ulikuwa waziri wa Fedha, imeishia wapi ?

    Mwenye kuweza kutuambia ile kauli mbiu imeisha wapi?
  4. M

    Wenye timu yenu mjibuni Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe juu ya hii kauli yake

    Akizungumza Mubashara na Kipindi cha Michezo cha Jioni Uhai FM Msemaji wa Azam FC Hashim Ibwe amemuuliza Swali Mtangazaji wa zamu Omary Katanga ambalo nitalinukuu hapa; "Samahani Mtangazaji Azam FC tuko Fainali ya ASFC na Yanga SC nao wako Fainali ya CAFCC Je, wale Wengine wako wapi?"...
  5. M

    Ndiyo tuheshimu kauli ya Rais, lakini ni ile isiyokinzana na sheria! Vinginevyo tutatembea gizani

    Rais tumemchagua sisi wenyewe kwa mujibu wa katiba. Anaongoza serikali na nchi kwa jumla kwa mujibu wa katiba na sheria za nchi kwa ujumla wake. Kutokumtii Rais ni kuwadharau wananchi na kutokuitii katiba ambayo imemweka madarakani. Huo ni upande mmoja wa shilingi. Upande wa pili ni kwamba Rais...
  6. Kichuguu

    Kauli tatu za ajabu sana Tanzania kuhusu vifo vya viongozi

    1. Mungu kaamua ugomvi 2. Watu wazuri hawafi 3. Keshaanza kuoza. Naona kama vile kauli hizi zitatutesa sana kwenye umoja wetu kama taifa huko tuendako.
  7. nyboma

    UTEUZI: Amos Makalla ahamishiwa Mwanza, Chalamila apelekwa Dar

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan amefanya uhamisho wa baadhi ya Wakuu wa Mikoa kama ifuatavyo: 1. Bw. Amos Gabriel Makalla amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa wa Mwanza. Alikuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. 2. Bw. Adam Kighoma Malima amehamishiwa kuwa Mkuu wa Mkoa...
  8. Mpinzire

    Kauli ya Rais ni Sheria! Hii kauli ilitokea wapi?

    Nimekuwa nikisikia mara nyingi kuwa kauli ya Rais ni sheria! NImejaribu kupekua Katiba yetu ya Tanzania ya mwaka 1977 na marekebisho yake ya mwaka 2008 sijaona ibara yoyote ya katiba yetu kuwa atakacho zungumza Mh Rais ni sheria! Leo Waziri Mkuu anaibuka anakazia maneno ya Mh Rais kuwa TRA...
  9. Msanii

    Kama mzee Makamba alirekebishwa kauli, kwanini kauli nzito ya Zitto dhidi ya TISS imebarikiwa?

    Jana katika ibada ya kumuaga mpendwa wetu Bernard Kamilius Membe pale Karimjee, watu mbakimbali walipata fursa ya kutoa maneno ya rambirambi kwa familia na jamaa wa Marehemu Membe. Kiongozi wa ACT Wazalendo alipata fursa ya kutoa rambirambi zake. Lakini ndani ya content aliyoisoma pale...
  10. Trainee

    Ushauri kwa Rais Samia: Acha kutumia kauli "Nawasalimu kwa jina la Jamhuri (ya Muungano wa Tanzania")

    Habari... mara nyingi namuona rais samia anaposimama kutoa hutuba zake huwa anasema "nawasalimu kwa jina la jamhuri..." kisha anaenda moja kwa moja kwenye hoja zake za kiprotokali mimi binafsi namshauri rais aache mara moja kufanya hivyo kwani jambo hilo siyo jema kwa yeye mwislamu. hoja zangu...
  11. Boss la DP World

    Ndugu Nape, kwenye hili pia Mungu ameamua ugomvi?

    Mbunge wa jimbo la mtama ndugu Nape Nnauye aliwahi kusema kuwa kifo cha rais Magufuli ni Mungu ndiye aliye amua ugomvi, swali langu kwake je, kifo cha Membe ni Mungu pia ameamua ugomvi dhidi ya ndugu Cyprian? Fundisho: Tuchunge midomo yetu, tusiendeshwe na hisia zetu, tutumie akilizetu vyema ku...
  12. Stephano Mgendanyi

    Nini Kauli ya Serikali Kuhusu Makato ya Tozo na Mtandao Kutokufanya Kazi Vizuri

    MBUNGE KUNTI MAJALA - NINI KAULI YA SERIKALI KUHUSU MAKATO YA TOZO NA MTANDAO KUTOKUFANYA KAZI VIZURI Mhe. Kunti Majala Mbunge wa Viti Maalum amemuuliza swali Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kupitia Wizara ya Habari na Mawasiliano na Teknolojia ya Habari...
  13. T

    Nawakumbusha tena, mbingu ni yetu sote, ili ufike huko, lazima ufe, ku wapi kufurahia afapo mtu? Wazuri hawafi ni kauli ya kijinga!

    Kuchekelea na kufurahia anapokufa mtu hata kama huyo mtu alikuwa adui yako, bado ni ujinga! Kauli ya wazuri hawafi, ilikuwa ni kauli moja Wapo kutoka kwa mtu mjinga aliyesahau kuwa naye iko siku na wakati asioujua atakufa! Mbingu ni ya kila mtu na ingawa inawahusu wanyoofu wa moyo, na ili mtu...
  14. Victor Mlaki

    Kauli tata kutoka Kwa Katibu wa Shirikisho la vyama vya wafanyakazi

    Miongoni mwa masuala yanayowafanya wafanyakazi kushindwa kuuelewa umuhimu wa vyama vya wafanyakazi ni pamoja na kauli tata za viongozi wa vyama vya wafanyakazi hususani wanapouulizwa maswali yanayowasumbua wafanyakazi wengi. Katibu alipoulizwa kuhusu kikokotoo jibu alilolitoa kwa kweli ni swali...
  15. peno hasegawa

    Ni nini kauli ya Serikali ya Tanzania/ IGP Dodoma kuhusu kifo cha Nasra mwanafunzi wa UDOM?

    Ninaomba michango kuhusiana na thread hii tafadhali?
  16. GENTAMYCINE

    Kuna Wapuuzi wataiamini hii Kauli ya Kiunafiki ya Kocha Mkuu wa Marumo Gallants FC kuelekea Mechi yao ya CAFCC

    " Kama kuna Timu naiogopa na Mchezaji Hatari kwa sasa Africa basi ni ya Yanga SC na Fiston Mayele. Hakika wako vizuri sana na Mayele atawafikisha mbali kwa Umahiri wake wa Ufungaji na ana uwezo wa hata Kucheza Timu Kubwa Uingereza na Kwingineko Ulaya" Dylan Keir Kocha Mkuu wa Timu ya Marumo...
  17. J

    "Meya" Boni Jacob: "Polisi wafuate sheria na katiba, sio kauli za watawala au wanasiasa."

    ..Boni Jacob amezungumzia mambo mbalimbali kuhusu haki, siasa, katiba, na sheria. ..mojawapo ya mambo aliyoyatilia msisitizo ni jeshi la Polisi kuheshimu sheria na katiba badala ya kutekeleza maelekezo batili ya watawala na wanasiasa. ..fuatilia mahojiano yake na GlobalTv hapa chini.
  18. Dasizo

    Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?

    Ni kauli gani unaweza kumwambia mgeni wako kuwa ni muda wa yeye kuondoka bila kumkwaza?
  19. Rwetembula Hassan Jumah

    Sijasoma hila unambii kitu utanidanganya nini kauli za vijana wa Kitanzania wenye Upumbavu uliokubuu

    Hivi mnajikutaga wakina nani? Elimu huna ata maarifa sifuri kila kitu unajua ,unafahamu wewe. Hata kama unakijua kitu sikiliza pinga kwa hoja sio kubishana. Kitu hujui ila utasikia unambii kitu wewe. Au wewe kama nani? Daah Kweli baadhi ya vijana wa kitanzania ni wendawazimu
  20. VUTA-NKUVUTE

    Waziri Mkenda, kiokoe Chuo Kikuu cha Dar es Salaam (UDSM) kwa kusimamia kauli yako

    Nakuandikia Waziri wangu wa Elimu, Prof. Adolf Mkenda, Mnamo mwezi Disemba, 2022 wewe Mhe Waziri ulitoa kauli: Waziri Mkenda: Ajira ya Chuo Kikuu isiwe kuangalia GPA pekee lazima wapimwe, wafanye na usaili. Mimi ni mstaafu chamani na Serikalini. Pamoja na kwamba nami pia nimehitimu Chuo Kikuu...
Back
Top Bottom