kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. VUTA-NKUVUTE

    Chalamila, kauli yako juu ya wafanyabiashara Makumbusho inavunja Katiba

    Nisikilize kwa makini mwanangu Chalamila, Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam. Jana nimekuona na kukusikia, ukiwa Stendi ya Makumbusho, ukiongea na wafanyabiashara wadogowadogo stendi pale. Kuna mambo ya msingi yalielezwa nao kwao; nawe kwao na hata na Mstahiki Meya Songoro pamoja na Mkuu wa Wilaya...
  2. BARD AI

    Nape Nnauye: Dkt. Slaa, Mdude na Wakili Mwabukusi wamekamatwa kwa kauli za Kutaka Serikali Ipinduliwe

    Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari amesema hayo kupitia chapisho aliloandika kupitia Mtandao wa X (Twitter). Nape amesema "Moja ya kauli za hivi majuzi zaidi kutoka kwa shirika la kimataifa la kutetea haki za binadamu limeamua kupotosha ukweli kwa nia mbaya kwa kudai...
  3. Suley2019

    KWELI Dkt. Slaa alitoa kauli ya kuipindua Serikali wakati wa mahojiano

    Salaam Ndugu zangu, katik pitapita zangu mitandaoni hasahasa kwenye mjadala unaomuhusu Dkt Slaa nimekuwa nikikutana na clip fupi ya Sekunde zipatazo 15 ikimuonesha anatamka kuhusu kupindua Serikali. Kwa namna Clip hiyo ilivyokatwa nashindwa kuelewa muktadha wa kauli hiyo. Naombeni mtusaidie...
  4. FaizaFoxy

    Ahsante IGP Wambura kauli yako imeturudishia utulivu kwa haraka sana

    Natoa pongezi zangu za dhati kwa IGP Wambura na Waziri wa Mambo ya ndani Masauni. Tangazo lako la juzi, limetoa faraja na amani na tunaelewa kuwa vyombo vya usalama vipo kazini. Maana ilikuwa hohehahe, kila mmoja na lake, mitandaoni, hususan sii wa hapa JF, tulikuwa badala ya kupingana kwa hoja...
  5. K

    Unakumbuka Kauli tata za Mama zetu? Hebu tupia na ya kwako…

    1. Mama: Naongea na wewe unajifanya kukaa kimya siyo? Mtoto: Lakini mama...... Mama: Nyamaza, yaani mimi naongea na wewe unaongea? 2. Haya nenda kacheze halafu uchelewe kurudi. (Kakwambia uchelewe sasa ole wako uchelewe) 3. Baada ya kumuogesha mtoto eti anamwambia halafu ukajichafue tena...
  6. K

    Hii kauli ya Mo ina maana gani?

    Rais wa heshima wa Simba Mohammed 'Mo' Dewji, amewaambia wanasimba wote: "Nimetoa almost 3 billion kufanikisha huu usajili, istokee kwamba MTU aseme ‘Mo hajatoa hela’ tuepuke na wapotishaji' Nimejiuliza hii kauli ina maana gani? Kwa nini itoke sasa? Kama ni kutoa pesa kwa nini atoke hadharani...
  7. F

    Rais Samia atengue kauli yake ya yeye na Magufuli ni wamoja, au aombe radhi kwa madhila yaliyowapata baadhi ya watanzania kwenye awamu ya 5

    Baada tu ya kuingia madarakani kama Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Rais Samia Suluhu Hassan aliwahi kusema kuwa yeye na Magufuli ni wamoja. Sijui kama wakati ule au hata wakati huu Rais anafahamu uzito wa maneno hayo. Kusema kuwa ni mmoja na mtu mwingine kunaweza kumaanisha mengi ila...
  8. GENTAMYCINE

    Bondia Mandonga adhibitiwe kauli zake za kihuni zisije kuchafua Mchezo wa Ngumi

    "Nimepigwa na huyu Bondia Golola kwakuwa nimegundua ni Mganga wa Kienyeji, kwani nilikuwa naona mauzauza tupu ulingoni. Leo mnaniletea Mganga wa Kienyeji ipo siku mtaniletea hata majini ili kupigana nami sitaki jamani." Amesema Bondia Mandonga jana baada ya kupigwa kwa KO na Bondia Fundi Moses...
  9. Sol de Mayo

    Jabiri kuwa makini na kauli zako za kidini/kibaguzi

    Rais wetu, ifike mahala watu wa aina hii wakamatwe na kushikishwa adabu haraka Napinga sana ubaguzi wa aina yoyote, udini na ukabila. Mwenyezi Mungu akuongoze mama yetu, na Watanzania wote kwa ujumla...wale wenye chuki dhidi ya waarabu/waislamu mtambue kuwa mnachokifanya sio sahihi, na...
  10. THE BIG SHOW

    Sheikh Mwaipopo: Muislam atakayehudhuria mkutano wa CHADEMA litakalomkuta ni juu yake

    Friends and Enemies. Nimesikitishwa sana kwa kauli ya Sheikh Mwaipopo aliyotamka Leo Kwa kusema kwamba Muislam yeyote atakaehudhuria mkutano huo atamsomea kunuti na litakalo mkuta ajilaumu yeye mwenyewe. Pia ameendelea kusema kwamba ni wakati sasa waislam wote warudishe kadi za uanachama wa...
  11. J

    Dharau ilianza pale Hayati Magufuli alipokejeliwa ni Uchwara na Mshamba na CCM kukaa kimya

    Ni vema tukaangalia tulijikwaa wapi na wala siyo tulipoangukia. Siasa za matusi na dharau hazijaanza leo na hata kumkejeli Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, kuna awamu aliitwa Dhaifu tena bungeni na watu wakakaa kimya. Shujaa Magufuli aliitwa Dikteta Uchwara na huyu huyu ni yeye CCM...
  12. D

    Kwa kauli hii ya Rais Samia, mjadala wa Bandari umefungwa RASMI

    Wajumbe, Kama unajua au unaweza kusoma body language ya mtu na hasa katika eyes contact utakubaliana na mimi kuwa mjadala wa Bandari umefungwa na kinachofuata ni utekelezaji. Samia kusema wakosoaji waje wafanyiwe vetting ili wafanye kazi pamoja na "sisi' maana yake ni kwamba hakuna kurudi...
  13. M

    Naomba faida ya Kauli za Majigambo za Wasemaji wa Simba na Yanga katika Maendeleo ya Soka Tanzania

    Ali Kamwe (Msemaji Yanga SC) Siku ya Wananchi (Yanga Day) Taifa litatulia na Watu hawatoamini kwani tunaenda Kumtambulisha Mchezaji ambaye atawafanya Watu fulani Walie, Wasiamini na Wengine hata kutamani Bora Wafe tu.kuliko Kumshuhudia huyo Mchezaji akicheza Yanga SC. Ahmed Ally (Msemaji Simba...
  14. Sildenafil Citrate

    SI KWELI UTPC yamtaka Dkt. Slaa kuomba radhi kwa kauli yake inayodhalilisha waandishi wa habari

    Julai 12, 2023, Balozi mstaafu wa Tanzania Nchini Sweden, Dkt. Wilbroad Slaa akiwa kwenye mkutano na waandishi wa habari alitoa kauli inayotuhumu waandishi wa habari kwa kufanya upotoshaji wa matamshi yake kwenye sakata la uwekezaji wa Bandari. Baada ya kauli hii, wadau mbalimbali walianza...
  15. R

    Wakili Madeleka: Kauli aliyotoa Masauni inathibitisha hafahamu wajibu anaoutumikia, inawezekana alipewa kwa bahati mbaya

    Wakili Madeleka amesema mamlaka aliyonayo Masauni kama Waziri wa Mambo ya Ndani ni mamlaka ya kisera kuhusu vyombo ambavyo vipo chini ya wizara ile lakini hana mamlaka ya kiutendaji ya kila siku ya vyombo vile. Kama ni polisi kuna IGP mwenye majukumu yake na yuko trained kuyatekeleza majukumu...
  16. L

    Namshauri Ummy Mwalimu Waziri wa Afya kutengua Kauli ya kuruhusu Clinic binafsi katika hospitali za umma

    Ndugu zangu watanzania, Muda mfupi nimetoka kumsikiliza Waziri wa Afya mh Ummy mwalimu kiongozi mchapa kazi na ambaye siku zote na wakati wote amefanya kazi kubwa Sana na ya kutukuka katika kila Wizara aliyopelekwa na kuaminiwa . Kauli ya Waziri inatoa ruhusa kwa madaktari kuwa na private...
  17. B

    Nasubiri kauli ya Dkt. Askofu Gwajima juu ya haya yanayoendelea

    Amekuwa akijinasibu kuwa mtetezi wa maliasili na uzalendo kwa Taifa. Mpaka sasa hii ni wiki ya tatu sasa sijamsikia Kauli yake. Juzi Jumapili nimeenda kwake lakini sikusikia akisema lolote? Je ni Gwajima huyu yule wa zamani wa enzi za Corona au huyu tumebadilishiwa?
  18. M

    Tusipokuwa Makini, Kauli ya Nyerere ya Wabara na wale Wazanzibar inaanza kidogo kidogo

    Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania inapaswa Sasa kuchukua hatua Kali sana dhidi ya Makundi ya watu mbalimbali ambayo hivi Karibuni yamekuwa yakisambaza sumu ya chuki, ubaguzi na mgawanyiko juu Kwa Watanzania. Kumekuwa na kauli za kumsema Rais wetu mpendwa kuwa ameuza Bandari za...
  19. R

    Kwa kauli za Masauni, Tanganyika tumekuwa koloni la Zanzibar

    Anawaagiza polisi watushughulikie tunahaoji mkataba wa kuiuza tanganyika. Ni rasmi tanganyika tumekuwa koloni la Zanzbar. Polisi msikubali Tanganyika iuzwe na wazanzibari. Tumieni akili zenu vizuri.
  20. Bwana Bongo

    Hivi hii kauli ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imeekaaje?

    Hii inshu ya mwanamke ishi nae kwa akili kwako imekaaje? maana imenifanya nitafakari sana kiutani lakini kwamba ukiacha kutafuta tu pesa basi tuakikishe tunafuta na akili, eeh hapo hapo tutulie kwanza kwani sisi hatuna akili? Sisi wakina abudala vichwa wazi? Tunazo! na kwanini tusisitizwe hapa...
Back
Top Bottom