kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Start-Menu

    Unaponunua laptop iliyotumika fanya hivi kupima battery inakaa muda gani, usitegemee kauli mali

    Walengwa ni hasa wale tunaonunua laptops zilizotumika lakini pia vyuo vinakaribia kufungua ni kipindi ambacho laptops zinanunulika sana. Unaponunua Pc ni rahisi kukagua Ram, Hard Disk, Processor, Speaker, tachi, n.k. lakini wengi wanategemea kauli mali linapokuja suala la battery, utaambiwa tu...
  2. Robert Heriel Mtibeli

    Kauli ya Damu ni nzito kuliko Maji ni Uongo

    Anaandika, Robert Heriel Mtibeli. Misemo na kauli za kilaghai imekuwa ikitumiwa kujenga jamii ya kinafiki katika jamii na Ulimwengu huu. Moja wapo ya misemo au kauli za Uongo au kilaghai ni pamoja na kauli isemayo, Damu ni nzito kuliko Maji. Hiyo dhana au kauli hiyo haina ukweli wowote...
  3. Fortilo

    Hakuna Kauli mbovu na ya kizembe niliyowahi kuisikia kama hii ya "Tafuta Hela"

    One of the most reckless statement ever... Kauli ya kizembe sana.. Mtu anafanya kaz serikalin au kwa Kampuni binafsi unamwambia tafuta hela? Unataka aibe au? Na hii kauli ya reja reja sio ya bahati mbaya, ni ya machekbobu wanaotamba kwenye mitandao na scraps za dola 10-15k. Hii kauli inakuwa...
  4. Idugunde

    Nimeshangazwa na kauli ya Waziri mwenye dhamana ya mitandao ya kijamii kuwa kura zipo mitaani sio mitandaoni

    Kauli zingine zinafikirisha sana. Maana dunia ya leo kila kitu kipo kidijitali. Maoni ya watu wananapiga kelele kupitia mitandao ya kijamii. Watawala wanaumia. Hao hao wanaopiga kelele mitandaoni wanaishi mitaani. Alafu waziri aliye na digrii anasema hawapigi kura. Inashangaza.
  5. Mzee wa Chai

    Waziri Mchengerwa: Haijawahi kutokea kiongozi wa nchi kupita vijijini kama anavyofanya Rais Samia

    Waziri wa OR-TAMISEMI akihojiwa na Clouds Media amesema... Haijawahi kutokea kiongozi wa juu wa nchi kupita maeneo ya vijijini kama alivyofanya Dkt. Samia Suluhu Hassan hasa kipindi ambacho si cha uchaguzi lazima tuliweke hili hewani. Maeneo ambayo Mhe. Rais amepita siku ya jana maeneo ya...
  6. L

    Kauli ya kuusema uchumi wa China unaporomoka, ni kauli zinazofilisika

    Siku hizi, vyombo vya habari vya Magharibi vimejitokeza pamoja kuusema vibaya uchumi wa China, na kwamba hata rais Joe Biden wa Marekani alikuja mwenyewe, akisema kuwa China inakabiliwa na matatizo ya kiuchumi na hata akadokeza kuwa uchumi wa China utaporomoka. Lakini ukweli ni kwamba: uchumi wa...
  7. S

    Mashindano ya CAFCL: Yanga akizifunga timu vigogo barani Afrika, Simba watakuja na kauli gani?

    Hili ndio swali ninalojiuliza iwapo Yanga atatinga hatua ya makundi kombe la Club Bingwa Afrika na kukutana na baadhi ya vigogo na kuwafanga hapa nyumbani au ugenini kwani kwa Yanga hili linawezekana kabisa. Hii ni kwasbabu, baada ya Yanga kutinga makundi kombe la Shirikisho na kufikia...
  8. kyagata

    Kauli za Rais Samia Suluhu na watangulizi wake ni kama hazina tofauti.

    Huyu mama alianza kazi akiwa na lugha flani hivi tamu mpaka wakati mwingine akawa anamponda aliyekua boss wake (Magufuli ila sasa hivi kaacha) kwa vijembe.baadhi ya watu wakiongozwa na chadema wakampenda na kumpa sifa zote. Sasa leo anatoa kauli ya kejeli kama hii,anatofauti gani na yule...
  9. V

    Vibali vitumike kwa wakulima wa mbaazi

    Wananchi na wakulima wa zao la mbaazi wanaomba kauli ya Mheshimiwa Rais ya kushauri wakulima wa korosho wasafirishe korosho zao kwa vibali. Pia itumike kwa wakulima wa mbaazi wilayani Kiteto kuruhusiwa kuuza mbaazi zao kwenye masoko yenye bei kubwa, kuliko kulazimishwa na watu wachache kuuza...
  10. K

    Kauli za Ney wa Mitego ni ngumu kuliko za sifa boniventure. Sifa anaonewa. Aachiwe haraka

    Kauli za ney wa mitego ni ngumu kuliko za sifa. Sifa boniventure anaonewa. Aachiwe haraka. Hivi hiki kiwimbo Cha sifa kina maneno mazito Kama nyimbo ya amkeni ya ney? Kama sio why ney yupo nje na sifa yupo ndani? Tuachane na Hilo, twende kwa Lissu, Hivi kwa maneno ya lisu ukiyalinganisha na...
  11. Jemima Jackson

    CCM kwa kauli hizi za Katambi, haileti maendeleo; ni dharau kwa watanganyika

    Waliomwambia JPM kuwa Katiba haileti maendeleo, huenda ni haohao wanaomwambia Samia kuwa Katiba inaweza kuwepo na isifuatwe. Ni aibu kwa viongozi wa CCM walioapa kwa Katiba kutamka maneno haya hadharani. Kimsingi wanapswa kuitetea sana Katiba maana hata Urais wao umetokana na Katiba. CCM...
  12. Pascal Mayalla

    Ijue Katiba ya JMT kwa Jicho la Mtunga Katiba: Watanzania Tusishabikie Uhaini. Hukuna Uhaini wa Kauli na Maneno, Uhaini ni Mipango na Matendo

    Wanabodi, Kama kawa, kila nipatapo fursa Kufuatia tishio la matamshi yenye viashiria vya uhaini dhidi ya serikali ya JMT kwa baadhi ya watu, na watu hao kushikiliwa na vyombo vya dola, waneibuka watu, mashirika, wanaharakati kupigia kelele kuna kesi ya uhaini, na hadi baadhi ya taasisi za...
  13. K

    Kauli ya Naibu Spika kwa Waitara siyo ya kiungwana

    Leo Bungeni Waitara alikuwa anajenga hoja ya swali la nyongeza lakini kabla hajamaliza hoja yake Naibu Spika akamwamuru na kusema "Kaa Chini". Kitendo cha Naibu Spika kumtolea lugha ya kaa chini siyo lugha ya kiungwana na hii inaonyesha ubabe wa Naibu Spika. Unapokuwa Bungeni unatakiwa...
  14. K

    Rais Ruto atoa kauli tata katikati ya kutekwa kwa billionea wa kihindi

    katika kile kinachoonekana kama copy & paste ya njia zilizotumiwa na shujaa wa chato katika kukabiliana na matajiri wanaotumia nguvu ya fedha kujimilikisha mali za waafrika wajinga,Rais wa taifa la Kenya,dokta Ruto ameomekana kufurahishwa na kitendo cha kutekwa kwa billionaire wa Kenya mwenye...
  15. Richard

    Raisi Putin atoa kauli kuhusiana na kifo cha Prigozhin na atoa salamu za rambirambi

    Raisi wa Urusi Vladimir Putin jioni ya jana ametoa salamu za pole kwa familia ya Yevgevy Prigozhin ambae alifariki katika ajali ya ndege ndogo binafsi akiwa na abiria wengine 9. Raisi Putin amesema alimfahamu Prigozhin kwa tangu miaka ya 90 na kwamba kiongozi huyo wa Kundi la askari wa kukodi...
  16. Nsanzagee

    Rais Samia, kunyamaza kuhusu matatizo ya Watanzania ni kufurahia shida zao

    Ni kweli kabisa sisi TANZANIA ndo wa kuhangaika kutafuta kituo kipi chenye mafuta, hapa Tanzania, kweli kabisa Rais? Umeme, vibarua wote wanaofanya kazi kwenye viwanda, wanalaza njaa watoto wao, gereji, salon, wanaishi kwa tabu sana kwa sasa Mungu akupe moyo wa kutovumilia haya mateso ya...
  17. mirindimo

    ILE KAULI YA SAMIA " KAZI IENDELEE" JE ALIMAANISHA NA KUKAMATA NA KUTESA KUENDELEE ?

    Huyu mama ambae ni Rais wetu alianza vizuri sana lakini tunapokuja kwenye swala la kutofautiana kimtazamo amekua akitoa amri za watu kukamatwa kuteswa na kubambikizwa kesi za uhaini au uhujumu uchumi....hili jambo lina fedhehesha sana hasa pale ambapo unashindwa kupokea ushauri na mawazo...
  18. D

    Maoni Yangu: Kauli hii ya Rais Samia imekaa kibabe sana! Je, ni hasira?

    Licha kudai kukaa kimya na kuendelea kukaa kimya kuhusu sakata la Bandari lakini bado akazungumza, hakukaa kimya kama alivyodai ina first statement. Rais Samia Suluhu Hassan amesema, "Hakuna mtu mwenye ubavu na misuli kuigawa nchi hii, kuiuza au kuharibu amani yake iliyodumu kwa miaka mingi"...
  19. J

    Ukiangalia Uongozi wa ACT wazalendo unaweza kupingana na kauli ya mstaafu Kikwete!

    Uongozi wa ACT wazalendo enzi za Mwigsmba ulibalance yaani Akina Kitila, Akina Mghwira rip, Zitto, Mchange nk Baada ya kuhamia Pemba kimekuwa hakina Wagalatia kabisa Membe rip alijaribu Lakini wapi Ukiingia kwenye kikao cha Baraza kuu la ACT wazalendo unaweza kudhani ni Baraza la Eid tofauti...
  20. GENTAMYCINE

    Ni vyema Vilabu vitakavyocheza na Timu ya Jeshi ya Mashujaa FC wakaielewa vyema hi Kauli Mbiu yao tukuka

    Kauli Mbiu ya Mashujaa FC kutoka Mkoani Kigoma ( kwa Watani zangu Washamba ) inayomilikiwa na JWTZ na inayoshiriki Ligi Kuu ya NBC Tanzania inasema MAPIGO NA MWENDO hivyo mtakavaana nao Kikitokea cha Kuwatokea tusije Kulaumiana. Na kuna Wachezaji kama Watatu humo ni wale Wazee wa Morogoro sasa...
Back
Top Bottom