THE FIRST BORN
JF-Expert Member
- Apr 24, 2019
- 2,516
- 5,463
Mda Mwingine hua najiuliza unayosema unayaelewa au vipi bibi?
Ile kauli ya kusema kua "kama washaharibu Nchi kwao wasije Nchini kwetu kutuharibia pia"
Inaonyesha Ubinafsi wa hali ya juu sana na inaharibu picha ya Tanzania ambayo ilikua imejengwa enzi na enzi.
Mataifa Mengi yanayo tuheshimu leo wapigania uhuru au amani mwao walikimbilia Tanzania kwa ajili ya usalama wao na kujipanga vizuri.
Siwez kuwataja ila ni more than 5 hapa majirani tu wa ukanda wa Afrika mashariki tunao walikuja Tanzania kujipanga vizuri.
Unavyosema hutaki waje Nchini ina maaana leo hii wewe uwe Rais halaf Kenya watawaliwe na ukoloni wakenya waanze kuandamana wauliwe wakimbilie Tanzania utawarudisha Nchi mwao we mama kwa unavyoogopa Vita.
Yani hata mtu kuja tu saiv Nchi unahisi unapinduliwa...hio ni TAMAA kubwa ya Madaraka inaonyesha unayo na ni Muoga sana.
Kwa ile kauli Yako we hulindi Amani ya Nchi bali unalinda Urais wako, Aman ya Nchi haitokei bila kua na Amani kwa Majirani zako, kipindi kimenuka Burundi si tulikua na wakimbizi wengi hapa Bongo hadi tukaaanza kuwa na hofu na sisi, kipindi kimenuka kule Nchi za kusini karibuni karibuni ilikuaje nako si hadi waliingia Mikoa ya Kusini watu wakaanza kukimbia?
So usione Majirani kuongelea mafachu ya polis na uongozi wako ni kutaka kuharibu Amani yetu (kitu ambacho kwanza naamin hatuna) bali wanafanya hivo pia kwa maslahi ya Amani yao kikinuka Bongo hata wakenya wataishi kwa hofu.
So usishupaze shingo Bibi elewa historia vizuri.