RPC Muliro kachonganisha kanisa katoriki na serkali ya CCM kuliko hata aliyemshambulia Fr. Kitima.
Kwanza, kama kamanda wa Dar tukio hili kutokea katika mkoa wake ameshindwa kusimamia ulinzi wa raia katika mkoa wa Dar Es Salaam kwa hiyo mkoa hauko salama.
Pili, kitendo cha mharifu kuingia katika makao makuu ya TEC na kufanya uhalifu hata kama asingekuwa kumudhuru Katibu wa TEC hii imechonganisha kanisa na serikali. Tatu tukio hili limechafua serikali ya Tanzania kuwa hii nchi haiko salama tena siyo mkoa TU.
Ni ukosefu TU wa uwajibikaji RPC Muliro hasitahili kwa sasa kuwepo kwa nafasi hii. Hasitahili kuwa na nyumba ya hdhi ya RPC, V8 na ulinzi binafsi.