Bila bila
JF-Expert Member
- Dec 20, 2016
- 22,898
- 40,547
Kauli kama hii si kauli ya kimichezo. Hivi ni vitisho na no dhahiri ni jinai. Kauli za vijiweni hazipaswi kugeuzwa kauli rasmi za timu. Hakuna kauli ya Msemaji wa timu inayoweza kuchukuliwa kama kauli binafsi.
Kauli ya Gerson Msigwa ni kauli rasmi ya serikali. Kauli ya David Misime ni kauli rasmi ya Jeshi la Polisi. Hakuna utani toka kinywa cha Msemaji.
Kauli ya Gerson Msigwa ni kauli rasmi ya serikali. Kauli ya David Misime ni kauli rasmi ya Jeshi la Polisi. Hakuna utani toka kinywa cha Msemaji.