britanicca
Platinum Member
- May 20, 2015
- 18,261
- 48,864
Uwa sometimes sileti taarifa hovyo hovyo na siku ile naleta sijashtuka maana nilijiandaa kisaikolojia muda mrefu. Na nakumbuka GL alisema siku ileile kuwa ikiwa ndio mara ya mwisho kumuona jamaa basi watakutana siku ya mwisho. Kauli Ile kwangu ilitosha kunijulisha kuwa ni mwisho wa mwenzetu.
Hasira niliyonayo kwa Sasa haiwez kuelezeka ila najua nitaitumia wapi. Ikiwa sote tulizaliwa siku Moja, sote tutakufa siku Moja. Uzalendo fake ukikufanya ushindwe kuwa na utu, wewe ni mnyama kama wanyama wengine 😭😭😭
Ulale pema Kamanda
Britanicca encyclopedia