zipompa
JF-Expert Member
- Aug 19, 2014
- 12,508
- 27,663
yaani hii nchi kitu mtu anaweza pigania ni pale akipokonywa mke, ama mpenzi wake ila kitu cha maana hawezi hata jitoa muhanga anakaa akihisi hakimuhusu ila siku ikifika zamu yake anatamani watu waungane nae ili hali yeye hakuungana na wenzake pindi wanadhurumiwa