Kauli ya GL kuhusu Jamaa ilinipelekea kuzama vyanzo vyangu nikajua ndo basi na machozi yalinitoka, ulale pema

Kauli ya GL kuhusu Jamaa ilinipelekea kuzama vyanzo vyangu nikajua ndo basi na machozi yalinitoka, ulale pema

Hii nchi inatuvijana tuoga hakuna mfano duniani, mfano Mdude hajulikani alipo hata kuandamana kuulizia haviwezi vinawaza kubeti na stendapu komedi na kuimba mama-mama
Ushujaa wako usio na uoga tungeanza kuuona hapa kwa kuweka jina lako kamili kabisa nankuendeleza harakati kama kina John Heche ,Tundu lisu na wengineo, lakini kuita wenzio waoga na wewe umajificha huku inafanya na wewe uwe sawa na hao ai zaidi ya hao unao waita waoga
 
Ungeuliza nimefanya Nini mpaka Sasa na nimechangia kiasi gani kwenye harakati!! Kilasiku nijitoe mm ninyi mlale usingizi??
 
Ungeuliza nimefanya Nini mpaka Sasa na nimechangia kiasi gani kwenye harakati!! Kilasiku nijitoe mm ninyi mlale usingizi??
Wote hatuwezi kuwa sawa kiujasiri ndio maana kuna wengine wanaogopa mende lakini wengine wanamshika nyoka, na woye hatuwezi kuwa majasiri ndio maana nchi zote zilizo kombolewa walijitoa wachache wakapambania wengi, unadhani nchi hii wangapi wanaweza kuvivaa viatu Tundu lisu?
 
Serikali karibu zote za Afrika zimejaa damu za watu...
 
Walimuua Mzee Kibao kweupe mchana na kibibi kikaja kikatukana na kutishia watu hadharani, ila one thing for sure malipo ni hapa hapa duniani
Huyo mwache aendelee kuuwa kikombe kikijaa MUNGU naye atakaulia mbali Kama kwa MWEZAKE tu
 
Kuwa makini na JF. Huyo anaweza kuwa siye wale lakini niamini au fuata tahadhari alizotoa huyo jamaa hasa kwa britanicca.
Humu wenyewe wamo sana tu na wanatujua wote wale wanahitaji kuwajua.
Huwezi kuamini haya hadi siku ukikutana nao pale ukiingia 18 zao.
Changia lakini kwa kipimo, never cross redlines.
Ninaheshimu maoni yako.
ila linapokuja suala la mapambano/ vita, dhidi ya dhuluma, aina hii ya maoni hayana nafasi.

Hii ni vita kama vita nyingine, askari anajua wazi kufa vitan ni jambo ambalo ni bayana ila wanajitoa mhanga kwa ajili ya wengine.
Acha 'nature' ichukue nafasi yake, ukiona unaona woga kupambana ujue wewe ni wa kupambaniwa...kama ilivyo mfumo wa siafu.
 
Back
Top Bottom