Ponjoro wa Kinondoni
JF-Expert Member
- Jan 5, 2024
- 3,771
- 10,311
'KIFO NI KIFO TU'
SAMIA SULUHU HASSAN.
SAMIA SULUHU HASSAN.
lini sasa? Wakati inahtajika maandamano ya aman kufkisha ujumbe.Ipo siku tu
Mbona sukari imekupanda haraka sana mzee?Sioni chakujadili namtu mwoga na mjinga,wenzio wanapotea wewe Umelegealegea kama mlenda unapepeta mdomo tuu huna unachoweza kufanya kijana Bure kabisa hata mke utataka usaidiwe...kwendaaa
mawazo nilimshuhudia walipokuwa wakimlima na majembe ya palizi ya vitunguu, Cjui nae alikua kitunguu.Mdude kafa kifo kibaya kama ilivyokuwa kwa Kamanda Alfonse Mawazo.
NDUGU ili mradi upo tanzania, usiwe na haraka, kila mtu atachanganyikiwa kwa muda wake, ni swala la muda na kusubiri..Mtu upo zako kitandani unawaza kesho utakula Nini!! mara paaap unakutana na code ngumu kama hizi, tutashindwa kuchanganyikiwa kweli
Wapo bize kuimba mapambio.Wadukuzi wangetusaidia kwenye maswala kama haya
mie namba yako PM tuingie mzigoni tuandamane mkuu tuanzie postaHii nchi inatuvijana tuoga hakuna mfano duniani, mfano Mdude hajulikani alipo hata kuandamana kuulizia haviwezi vinawaza kubeti na stendapu komedi na kuimba mama-mama
Wazo zuri sana,halafu awe front line.Nitu
mie namba yako PM tuingie mzigoni tuandamane mkuu tuanzie posta
MdudeCode ngumu hii
Hatari sana!Huku tunaomboleza kifo cha Mdude kule G 55 wanagongenyesheana glass za mvinyo na wauaji.
Kuwa makini na JF. Huyo anaweza kuwa siye wale lakini niamini au fuata tahadhari alizotoa huyo jamaa hasa kwa britanicca.deepstate Wana muda na kuchambana jamii forums...
Nikuambie mkuu hanitishi kwa lolote muuza simu wanadhani humu kila.mtu ni WA kumpush, tukianza kutoa konekshen zetu hapa atakunya mavi. Ajaribu aone. Sio kila mtu ni WA kumjaribu. Kabla hajanitafuta nitaanza kumtafuta anieleze baba yangu amemjuaje na kwanini amemtukana. Mshenzi mkubwa muuza simu za iphone.Kuwa makini na JF. Huyo anaweza kuwa siye wale lakini niamini au fuata tahadhari alizotoa huyo jamaa hasa kwa britanicca.
Humu wenyewe wamo sana tu na wanatujua wote wale wanahitaji kuwajua.
Huwezi kuamini haya hadi siku ukikutana nao pale ukiingia 18 zao.
Changia lakini kwa kipimo, never cross redlines.
Hana uhatari wowote kwa usalama wa nchi... Wao sio wajingaKuwa makini na JF. Huyo anaweza kuwa siye wale lakini niamini au fuata tahadhari alizotoa huyo jamaa hasa kwa britanicca.
Humu wenyewe wamo sana tu na wanatujua wote wale wanahitaji kuwajua.
Huwezi kuamini haya hadi siku ukikutana nao pale ukiingia 18 zao.
Changia lakini kwa kipimo, never cross redlines.