MBOWE NI BABA NA MZEE NA MWANZILISHI WA CHADEMA ALIYEBAKI ATOE KAULI

Mwana kondoo 2025

JF-Expert Member
Joined
Apr 6, 2025
Posts
495
Reaction score
580
Nimemsikiliza kwa kina BONI YAI hoja zake ni za msingi sana na kwa kweli zimetufungua macho ila nilikuwa naomba Mbowe atoe kauli na kuwashauri walioondoka warejee Chadema. Awepo Lissu na Heche Mzee kwa heshima aliyebaki ndani ya chadema pamoja na wengine ni Mbowe. Huyu siyo wa kuondoka Chadema ukizungumzia Chadema umezungumzia Mbowe /Mtei ila kwa sasa anayeongoza ni Lissu hilo halina ubishi Hii ni sawa kuzungumzia ACT na ZITTO anayeongoza ni Doroth Semu.
 
Hivi wewe unaweza kwenda kuokota taka taka ulizotupa jalalani ukazirudisha ndani kwa ajili ya matumizi au kama mapambo 😳😳
 
Nimemsikiliza kwa kina BONI YAI hoja zake ni za msingi sana na kwa kweli zimetufungua macho ila nilikuwa naomba Mbowe atoe kauli na kuwashauri walioondoka warejee Chadema. Awepo Lissu na Heche Mzee kwa heshima aliyebaki ndani ya chadema pamoja na wengine ni Mbowe. Huyu siyo wa kuondoka Chadema ukizungumzia Chadema umezungumzia Mbowe /Mtei ila kwa sasa anayeongoza ni Lissu hilo halina ubishi Hii ni sawa kuzungumzia ACT na ZITTO anayeongoza ni Doroth Semu.
Kama G55 wanavyoondoka kwa mafungu basi nadhani hata chadema nao wanatoa silaha zao za maangamizi kwa mafungu
 
Back
Top Bottom