kauli

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. D

    Kauli ya papa na upotoshaji wa BBC makusudi

    UPOTOSHAJI JUU YA KAULI YA PAPA FRANCIS NA KANISA LA ROMAN CATHORIC KUHUSU NDOA ZA JINSIA MOJA NA TAARIFA ZA VYOMBO VYA HABARI Na Mansour Jumanne (Senior Journalist ) Kumekuwa na upotoshaji mkubwa saana ,ambao umenukuliwa na Vyombo vingi vya habari vya ndani na nje kuhusu Kauli aliyoitoa Papa...
  2. MamaSamia2025

    Tupendekeze majina ya watakaoshindana kwenye Ligi ya wenye kauli mbovu kwa wateja. Makonda wa daladala wataanzia fainali moja kwa moja

    Wakuu nimeona kutokana na malalamiko ya wateja kutamkiwa kauli mbovu na watoa huduma kwenye sekta mbalimbali ni vema tukataja majina ya wahusika ili tuwaandalie ligi yao maalum. Wadhamini watapatikana. Makonda wa daladala wao wanaingia fainali moja kwa moja kutokana na kiwango chao kuwa juu...
  3. GENTAMYCINE

    Je, tukishafanikiwa kimaisha huwa tunawakumbuka kwa Shukrani Kauli, Pesa na Mali wale waliotusaidia Shidani?

    Labda tu GENTAMYCINE nisipate Kipato au Utajiri au Mafanikio ila nje ya Kumshukuru Mwenyezi Mungu kwa Baraka zake na Kunifanikisha nina List ya Watu wangu 35 na Watu Watano ( 5) wako hapa JamiiForums na hii ID yangu Wanaijua na kunijua ndani nje na hao 20 ni wa Kwingineko (Ndugu, Jamaa na...
  4. Erythrocyte

    Mchengerwa hutokuwa Waziri milele. Napinga kauli zako za Kibabe kwa Watumishi

    Uongozi ni kuongoza kwa kuelekeza na kuonyesha njia utaratibu wa kuongoza Taasisi ya serikali unayo miongozo yake, huongozi tu kwa akili yako. Kwamba wewe kwa vile ni kiongozi wa kuteuliwa kutokana na koneksheni basi unadhani una akili kuliko watendaji wote wa kitengo chako huko ni kujidanganya...
  5. J

    Je, Kauli za Putin za kujigamba kuhakikisha anatimiza LENGO lake, VITA ya Ukraine inaonyesha atashinda vita hiyo?

    Putin amekuwa na desturi ya kufanya mkutano wa mwisho wa mwaka wa Waandishi wa Habari, hata hivyo mwaka 2022 alishindwa kufanya mkutano huo kwakuwa vita ya Ukraine ilikuwa imemkalia vibaya. Mwaka huu 2023, amerejesha tena utamaduni huo na ktk mkutano wake ameahidi kuendelea na vita hiyo ili...
  6. R

    Utoaji wa VISA Duniani unasimamiwa na principle ya Reciprocity; kauli ya Rais wa Kenya imejaa presha ya kisiasa kuwakabili wakosoaji wa sera zake

    Dunia inaendeshwa kwa nipe nikupe, au kwa kauli nyingine nikune nikukune. Visa nayo ipo hivyo; tafsiri nyepesi ni makubaliano ya nchi na nchi kuhusu taratibu za kuingia na kutoka katika mataifa husika. Rais wa Kenya amekaribisha wageni kuingia Kenya bila visa, lakini hakuna Sehemu kwenye...
  7. M

    Kauli ya RC Chalamila ''Mtu akifia Polisi wanasema polisi kaua, lakini ikiwa ni hospitali ni mipango ya Mungu'' siyo ya kiungwana

    Akiongea wakati wa kukabidhi magari manne ya wagonjwa kwenye hafla iliyofanyika Hospitali ya Rufaa ya Amana wakati wa hafla ya kukabidhi Chalamila amesema "Hii sekata ina Umungu ndani yake, leo nikifa mikononi mwa Polisi watu watasema Polisi wameuwa, lakini Hospitali wanasema ni mipango ya...
  8. THE FIRST BORN

    Kauli Mbiu hii ya SKUDU tuishi nayo Wana-YANGA, Hii ni moja ya Kauli Mbiu nyingine nzuri sana

    Kuna video moja Skudu Kijana ya Amapiano kutoka kwa Mzee Mandela. Ametoa Kauli ambayo sisi kama Mashabiki wa Yanga Tumeikubali na Tumeipitisha. #The SUN is YELLOW....The LAND is GREEN...The colors of the Universe! #Hii Imeenda
  9. mlinzi mlalafofofo

    Kauli zipi tamu hauwezi kuzisahau kwa jinsi zilivyokuletea shida/tatizo kubwa?

    1. Kwani we huniamini? - sasa ww msikilize hlf ujimix kuamini uone kitakachotokea. Utaishia kutibu gono, uti, kaswende, malengelenge, pangusa vyote kwa pamoja. 2. Mi ndo mara yangu ya kwanza - atakushangaza kwa kubinuka styles zote na kulia vilio vyote vya kimahaba pamoja na kile cha "ntukanie...
  10. D

    Hii kauli imepita muda wake ibadilishwe

    Hii kauli kwa sasa sikubaliani nayo aisee ukitaka kwenda kombo fuata hii kauli "KWENYE KILA MAFANIKIO YA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE" ila kwa mimi naamini kwanyakati hizi "KWENYE KILA ANGUKO LA MWANAUME KUNA MWANAMKE NYUMA YAKE" N:B..Either atakuwa mweupe or Anamkalio makubwa
  11. Domhome

    Hakika kauli hii ilinishangaza

    Tarehe 08 Desemba 2008 siku ya Jumatatu majira ya saa 4 usiku nilifiwa na shemeji yangu mdogo wake kabisa na wife. Shemeji yangu huyo aliugua kwa zaidi ya wiki mbili na siku alofariki ndo siku aliruhusiwa toka hospitali moja kubwa ya private akiwa na nafuu kabisa. Hata nami niliporudi job majira...
  12. Analogia Malenga

    Kauli ya Juma Homera inasema jambo kubwa kuhusu hali ya demokrasia nchini

    Mkuu wa Mkoa wa Mbeya katika harakati za kumsifia Dr Tulia Ackson amesema atakuwa peke yake mwaka 2025. Kauli hiyo imejadiliwa sana na gazeti la mwananchi la leo, ambapo wasafi FM wakisoma magazeti asubuhi ili kuzungumzia hilo. Katika mahojiano hayo ya asbuhi ya leo amesema "Sijamzuia mtu...
  13. S

    Makonda hatoboi. Kauli zake zinawaudhi "wenye nchi"

    Kama unadhani wananhi wote tuna hadhi na haki sawa unajidanganya. Nchi hii Ina wenyewe na kila anayetaka kuwa kiongozi ni lazima akubalike na hawa watu. Makonda katoa kauli zinazowakwaza na kuwachokonoa wenye nchi. Kauli kama "hata nishikiwe bastola sitamakana Magufuli", "kama umestaafu kaa...
  14. benzemah

    Rais Samia Akabidhi Nyumba Kwa Mjane wa Dkt Magufuli (Mama Janeth Magufuli)

    Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye mazungumzo na mjane wa Hayati Dkt. John Pombe Magufuli aliyekuwa Rais wa awamu ya tano, Mama Janeth Magufuli wakati wa hafla fupi ya kukabidhi nyumba ya kuishi iliyopo wilaya ya Kinondoni ambayo imejengwa na Serikali...
  15. Webabu

    Kauli za Zelensky na Zaluzhny kuonesha wameshindwa vita

    Kauli za raisi wa Ukraine na kamanda wake wa majeshi hazitii shaka kuwa vita vya Ukraine karibu vitaisha kwa kushindwa Ukraine. Hayo yamepaikana katika machapisho ya CNN tarehe 3 Novemba baada ya kuhojiana na viongozi hao wakuu katika kuongoza vita vyao na Urusi. Kwa mtazamo wa muandishi wa...
  16. GENTAMYCINE

    CDF Gen. Mkunda tafadhali tupitie pamoja hizi baadhi ya Kauli za Raia waliopokea Kipondo cha MP wako Lugalo na Kauli za Wazazi wao kisha tuzielewe

    Kijana aliyepokea Kipondo kikali cha MP wa Lugalo tokea Juzi na Jana Jioni Kuachiwa "Yaani nashindwa Kutembea hivi huku Macho yangu hayaoni vizuri kutokana na Adhabu na Kipigo. Labda hawa Wanajeshi wasije kushinda nasi huku Kawe Kisasi nitakilipiza tu" Mdada aliyepokea Kichapo kutoka kwa MP wa...
  17. R

    Kuna kampeni ya kuua Tembo na wanyama pori inaanzishwa taratibu kwa kauli mbiu " Tembo/wanyama siyo bora kuliko binadamu"

    Ndugu zangu watanzania tuwe makini na wanasiasa hasa kipindi cha uchaguzi. Tuliona namna wanasiasa wa kanda ya ziwa walivyopambana kushangilia uvuvi haramu wakidai ziwa ni mali yao na wapo tayari libaiki kama swimming pool . Kauli hizi walizitoa wakitaka watu wavue bila kudhibitiwa na...
  18. matunduizi

    Watu wenye kauli hizi uwaepuke, zinaambukiza

    1: Mimi au sisi ni masikini Mtu anayekiri umasikini ataishia kuwa masikini tu na ukimuendekeza atakuambukiza. 2: Maisha ni magumu Haisaidii kitu kukiri ugumu wa maisha. Tumia Muda mwingi kutafuta suluhisho. Ukizungukwa na watu wa namna hii kila kitu na wewe utakiona ni kigumu. 3: Haiwezekan i...
  19. D

    Jinsi kauli ya hauna connection na GPA haina maana inavyosababisha wanafunzi wengi wa vyuo vikuu kuwa na matokeo duni vyuoni

    Habari wanajamvi, Inabidi tuzungumze uhalisia wanajamvi matokeo ya wanafunzi wengi wa vyuo wa miaka ya hivi karibuni yamekua duni ukilinganisha na vizazi vilivyopita vya miaka 90s,80s,70s, GPA kuanzia 3.8 ni za kutafuta na tochi vyuoni haswa haswa vyuo vya umma Moja ya sababu ni kumekua na...
  20. Pang Fung Mi

    Kauli za viongozi wa Serikali zimekosa uaminifu na utambuzi wa dhamana ya CCM kama chama

    Rais wa nchi ni mwanachama wa CCM, amebeba dhamana na kutenda kwa niaba ya CCM, yeye ni mwenyekiti wa chama, Rais wa Serikali ya CCM. Utambulisho wa Rais haupo katika ubinafsi bali yupo katika hali ya uwakilisho jumuishi na shirikishi. Viongozi wa Serikali katka ngazi mbali mbali Rais Hassan...
Back
Top Bottom