Habari zenu wanaJF wenzangu,
Huyu mtu baada ya kushindwa kuiongoza wizara aliyopewa bure kutokana umaarufu wa baba yake huko chamani, na pia kushindwa kuisimamia vyema wizara ya mambo ya nje aliyohamishiwa, sasa kaamua kuja na mkakati wa kumchafua hayati Magufuli kwa lengo la kutrend katika...
Kichama na kiserikali namfahamu Komredi Kinana tangu miaka ya 80. Naujua uhodari wake kijeshi (kwakuwa nami nilitumikia mojawapo ya vyombo vya ulinzi na usalama), kiserikali na kichama. Komredi Kinana si mtu wa maneno mengi. Ni mtu wa mipango ya viwango na vitendo na mwendo.
Sikushangaa pale...
Kuna msemo wa kale wa Kichina unaosema Jitumie Kuwahukumu Wengine, ambao unamaanisha kutumia mawazo yako mabaya kuwafikiria wengine. Ingawa ulitungwa katika Enzi ya Han ya China miaka 800 iliyopita, haujapitwa na wakati hata kidogo unapotumiwa kuelezea serikali ya Marekani ya sasa. Hivi majuzi...
Nimeandika kwa masikitiko makubwa sana baada ya kupokea malalamiko kutoka kwa baadhi ya marafiki zangu manufacturers kutoka nchini India ambao hutengeneza na kuuza vifaa vya hospitali. Kuna wenzetu wameingia tamaa na kuishia kudhulumu watu waliowaamini na kuwapa mzigo bila kulipa chochote kwa...
Friends and Our Enemies,
Niliposikia kauli ya Shangazi Fatma Karume aliposema ya kwamba Chadema waache chuki dhidi ya waislam na uislam nikatanabahi kuwa kumbe siyo Mimi pekeyangu ambae nimeliona jambo Hilo.
Siyo mara ya kwanza Kwa chadema kama Taasisi au kama viongozi wake kuingia kwenye...
Martin ukishatoa jini la udini kwenye chupa ni vigumu sana kulirejesha. Je Bashe angekuwa Mkristo na angesema ikifika Ramadhan sukari itakuwa nyingi ungesema hawajali Wakristo au ungesema anataka kuhakikisha stability ya bei ya SUKARI ikifika Ramadhan? Think sometimes.
Source X. Zamani...
Mwenezi wa CCM Bwana "Daudi Albert Bashite" al maaruf kama Po Makonda, amekuwa na kauli tofauti tofauti dhidi ya mtu yeyote.
So far kishawazodoa karibu viongozi wote,wa kisiasa na kidini isipokuwa aliyemteua.
Unakumbuka kauli ipi kwa kiongozi yupi ?
Nukuu tafadhali!
Mbunge wa Lupembe, Edwin Swalle: Ipi Kauli ya Serikali Kuhusu Taarifa za Mitambo Miwili ya Kufua Umeme Katika Bwawa la JNHPP
Naibu Waziri wa Nishati Judith Kapinga amesema kutokana na jitihada za Serikali na wakandarasi, kwa mara ya kwanza jana Februari 15, 2024 yamefanyika majaribio ya kuwasha...
Nimefuatilia huu mjadala, kweli kuna tatizo kwa jinsi tunavyochukulia matukio, jinsi tunavyochukulia matamshi. Kilichonishangaza ni badala ya wapinzani na mashabiki wao kuiona hatari iliyo mbele yao, jinsi hawa jamaa wa CCM walivyojipanga strategically na systematically kuwin the battle and mind...
DC wa Wilaya ya Mjini Unguja amepiga marufuku kwa watu wa jamii ya kimasai kutembea na rungu na sime akiviita kama silaha.
https://youtu.be/W-xkQJRDO0c?si=AFIG5omTxVoCeNyZ
Kauli yake si tu inavunja katiba ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, bali inakiuka mikataba mbali mbali ya kimataifa...
Kauli ya CDF, mkuu wa majeshi Gen Jacob John Mkunda, kwamba kuna wakimbizi wamepewa nafasi nyeti serikalini naona ni kauli dhaifu na inawachafua zaidi wao kama walinzi namba moja wa mipaka ya nchi. Inamaana jeshi limeshindwa kazi ya kulinda mipaka ya nchi?
Wakimbizi wakishakua raia by...
Paul Makonda a.k.a Bashite wa Kolomije ameteuliwa hivi karibuni kuchukua nafasi ya Uenezi wa CCM.
Bashite ikumbukwe alikuwa mkuu wa Wilaya na Baadaye Shujaa alimteua kuwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam.
Bashite inasemekana amekuwa na kauli zisizo safi masikioni, be it kwa wadogo ama wakubwa zake...
Kwanini CDF atoe ushauri kuhusu suala hili kwa mhe rais hadaharani?
Kuna mtu anatafutwa kisiasa? Ndiyo! Kuna mfukunyuku amenipa hint kwamba yule mtu wa watu ambaye mara nyingi hupata ajali za kiafya ndiye target ktk hili. Sababu kubwa ni kwamba mama mwenye nyumba anamhofia sana ktk mbio za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan akishiriki kwenye Mkutano wa Saba wa CDF na Makamanda unaofanyika 302 KV Brigade Mess, Mwenge jijini Dar es Salaam leo tarehe 22 Januari, 2024
CDF: VIJANA WETU WA MIAKA 15 HADI 35 WANALENGWA NA WANA MTANDAO WA UGAIDI
Mkuu wa...
Nikiri wazi kutoka sakafu ya moyo wangu, nimefurahi sana kilio changu na kampeni yangu ya miaka mingi kuona leo imejibiwa na Mkuu wa Majeshi nchini. Nilionya kuwa nchi yetu tumeingiliwa, tunahujumiwa tena vya kutosha.
Nakumbuka 22 December 2019 niliandika makala hii hapa chini nikitilia mashaka...
"Hatusemi tukafanye chaguzi za kutumia nguvu hapana, taratibu, sheria na miongozo ya uchaguzi itafuatwa lakini Jeshi na vikosi vyote vya ulinzi na usalama vikae tayari kukabiliana na hali yoyote itakayojitokeza."
" Hapo mwakani 2025 tunaenda kwenye uchaguzi mkuu na ule ndiyo uchaguzi wenye...
Wiki hii huyu Mwanadada Catherine Magige Mbunge wa Viti Maalum CCM ametrend sana kwenye mitandao baada ya kumshambulia Luhaga Mpina kwa tuhuma alizozitaja magige lakini ikavuja hii picha akiwa na Januari Makamba je kuna uhusiano wowote wa hii picha na maneno ya Catherine
Salam,sipo hapa kwa ajili ya kuwatonesha vidonda wahanga wa mvua zilizoleta kadhia na vifo,ila nawakumbusha kwa maneno ya serikali kupitia RC.
Kwa wenzetu na uongozi wenye utu na busara ungeona kaamti ya maafa ikifanya jitihada za dharura za makazi na mlazi kwenye maeneo ya umma na hata walau...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.