"Kuna Maisha baada ya Uchaguzi" Kauli ya Kipuuzi inayotumiwa na Wapumbavu kuhalalisha Maisha yao ya Kifisadi !!

"Kuna Maisha baada ya Uchaguzi" Kauli ya Kipuuzi inayotumiwa na Wapumbavu kuhalalisha Maisha yao ya Kifisadi !!

Carlos The Jackal

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2017
Posts
29,314
Reaction score
93,919
Wote wanaotumia hii Kauli, nawaweka kwenye Kundi la Watu wapumbavu, wahuni, wezi wa Nchi hii .


Hoja zao ni zile zile

Amani ikipotea tutaseka.
Tuilinde Aman yetu .
Kuna Maisha baada ya Uchaguzi.


Wapumbavu Wakubwa Nyinyi ,msokua na Haya ,majizi na wazandiki ,mifilisi ya Nchi hii


Maisha baada ya Uchaguzi, kwamba Baada ya Kuiba Kura, kuua watu, uchaguzi ukishaoitaz kuendelea Sasa kula Nchi Kwa Utulivu nyinyi na watoto wenu??.

Watoto wa Samia wanakoswa nn?
Watoto wa Kikwete na Mke wake, mmekoswa nn??.

Mnajiteua na kunipa Ubunge ,Sasa mnakuja kukuambia upuuzi wenu !!.


Shame on you!!.
 
Back
Top Bottom